Kiongozi analazimika kufuatana na Mwenza wake kwenye safari za kikazi na shughuli za Kitaifa nje na ndani ya nchi?

Asiye ambatana na mwenza ni mhuni au mrupo tu!
 
Kwahiyo mababa Askofu na Ma-padre hawaowi ni wahuni? maanake akifiwa na mume/mke huyo hafai?
Nje ya mada.

Maandiko yenyewe yanakwambia ni heri kuchagua kuwa wa moto au baridi na siyo uvuguvugu.
 
Naogopa kuchangia ila hata magufuli na ukali wake wote alikua safari za ndani zote anaongozana na mkewe, same kikwete na viongozi wote sababu ni mke wako kuna huduma huwezi pewa na mlinzi. ila sasa huyu chief mmmh hata kwenye ziara za ndani mwenyewe hatuwaoni ingawa sio lazima ila muhimu sana.
 
Niliwahi kuleta uzi humu kuulizia alipo mume wa Rais.

Lakini manyakanga wa humu wakatunisha shingo zao za mabox kuwa ni thread haramu.

Anyways

Hii nayo tena, inaulizwa kulikoni mama kuonekana mwali na siyo mke?
Mwali ana age ya 62 na watoto juu Lisa kutokusafiri na mmewe ndyo iwe shida hii nchi Raha sana[emoji23][emoji1787]
 
Kwani akimuonesha mume wake wewe kitaongezeka nini katika maisha yako??? Akili za kipumbavu ndio zinaweza ujinga ujinga kila siku.

Mwenzako àshatoboa, yake yanaenda wewe unakaa nyuma ya keyboard kuandika mada za udaku.
 
Kwani akimuonesha mume wake wewe kitaongezeka nini katika maisha yako??? Akili za kipumbavu ndio zinaweza ujinga ujinga kila siku.

Mwenzako àshatoboa, yake yanaenda wewe unakaa nyuma ya keyboard kuandika mada za udaku.
Wewe pia ni mdaku pasei
 
Nimemmiss msela wangu Mr Hafidhi kitambo sana sijamtia machoni tangu msiba wa Mzee Baba,all most a year now!!
Kwa anayejua anifahamishe tafadhali, Mr. Hafidh ana mke mwingine au la?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…