Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 361
Hakuna cha mfumuko wa beiDaaa ndugu yangu yy yuko sawa kushauri hivo ila kwa wafanyakazi hao wa serikali vibosire hawana tabu hata vyakula vipande bei
Shida iko kwa wale wa kuunga unga na kazi zile zenye ujira mdogo hapo sasa ndo mtihani
Kuna watu wamepoteza kazi kipindi hiki cha korona sasa huo mfumuko wa bei ya chakula watu tutatubuu
Tuendelee kusubiriiii
Ila we dada unajicho zuri acha tu yaan😍Mmezoea kuwaumiza wakulima.
Watauza kwa bei ya wastani ya soko na si chini ya hapo.
Badala ya kupigania wananchi wasife njaa, Rais wetu anataka tupate tabu ya chakula na kununua kwa bei ya juu. Kasema,-
“Niwaombe wakulima, msiuze chakula kwa bei ya chini, mwaka huu na mwaka unaokuja si mzuri sana, sasa tutunze chakula, na kama tunaamua kuuza basi tuuze kwa bei ya juu sana, watwangeni sana” Rais Magufuli
#IkuluChamwino
Rais wa kweli anapigania wananchi wote wawe na maisha mazuri, wale vizuri, wavae vizuri, wawe na afya nzuri, lakini rais huyu anafanya kinyume cha yote na kuweka pesa za kodi mbele, kuanzia afya zetu mpaka makazi yetu, sababu bei ya juu ya chakula itatufanya tushindwe kulipa kodi za nyumba na matibabu hasa kwenye nchi isyopima korona.
Unaposema miaka minne nashindwa kukuelewa ujue!!Wanunuaji ndio hao hao watumishi wa umma wanaopigishwa kwata la nyongeza za mishahara kwa miaka minne kavu makato ya bodi ha mkopo kodi n.k
Nimejaribu kuipunguza ili kuwapunguia uchungu watumishiUnaposema miaka minne nashindwa kukuelewa ujue!!
Huu ni mwaka wa 5 CONSECUTIVELY mkuu.
Badala ya kupigania wananchi wasife njaa, Rais wetu anataka tupate tabu ya chakula na kununua kwa bei ya juu. Kasema,-
“Niwaombe wakulima, msiuze chakula kwa bei ya chini, mwaka huu na mwaka unaokuja si mzuri sana, sasa tutunze chakula, na kama tunaamua kuuza basi tuuze kwa bei ya juu sana, watwangeni sana” Rais Magufuli
#IkuluChamwino
Rais wa kweli anapigania wananchi wote wawe na maisha mazuri, wale vizuri, wavae vizuri, wawe na afya nzuri, lakini rais huyu anafanya kinyume cha yote na kuweka pesa za kodi mbele, kuanzia afya zetu mpaka makazi yetu, sababu bei ya juu ya chakula itatufanya tushindwe kulipa kodi za nyumba na matibabu hasa kwenye nchi isyopima korona.
Call me bro...,Mi si dada bossIla we dada unajicho zuri acha tu yaan😍
Zaidi ya asilimia 75 ya watanzania ni wakulima Sasa huoni anawapigania watanzania wengi? Acha kukaa maskani na kucheza pool table ingia shambani ulime halafu uje ufungue Tena nyuzi nyengineBadala ya kupigania wananchi wasife njaa, Rais wetu anataka tupate tabu ya chakula na kununua kwa bei ya juu. Kasema,-
“Niwaombe wakulima, msiuze chakula kwa bei ya chini, mwaka huu na mwaka unaokuja si mzuri sana, sasa tutunze chakula, na kama tunaamua kuuza basi tuuze kwa bei ya juu sana, watwangeni sana” Rais Magufuli
#IkuluChamwino
Rais wa kweli anapigania wananchi wote wawe na maisha mazuri, wale vizuri, wavae vizuri, wawe na afya nzuri, lakini rais huyu anafanya kinyume cha yote na kuweka pesa za kodi mbele, kuanzia afya zetu mpaka makazi yetu, sababu bei ya juu ya chakula itatufanya tushindwe kulipa kodi za nyumba na matibabu hasa kwenye nchi isyopima korona.
😂😂😂hebu weka picha inayoelewek sasaCall me bro...,Mi si dada boss