darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,863
- 6,041
Nakubali watu wanalia lia tu wanadhani kilimo ni kirahisi .Na anayeona bei iko juu, akalime mazao yake kisha ayauze kwa bei ya chini.
Nakubali watu wanalia lia tu wanadhani kilimo ni kirahisi .Na anayeona bei iko juu, akalime mazao yake kisha ayauze kwa bei ya chini.
Bei nzuri sio ya kuwatwanga wananchi kama rais anavyodai. Sio kila mtu ni mkulima na sio wakulima wote wanaolima mazao yote, mengine wananunua. Rais kazi yake ni kufanya maisha yawe rahisi kwa wote.Msikilize JPM vizuri, ''na asiyefanya kazi asile.'' wanaokwenda kulima sio wajinga, wanafahamu kwamba wakivuna ni halali yao kupata bei nzuri. Huo ni wito kwa Watanzania kwenda kufanya kazi bila kutegemea sadakarawe.