Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Ziko tonne ngapi ?Serikali pia ina chakula, unajua hilo?
Ziko tonne ngapi ?Serikali pia ina chakula, unajua hilo?
Hapana. Labda nimetumia neno ambalo si sahihi sama kiuchumi. Tatizo lako liko kwenye matumizi ya neno discouraged. Nikipata neno sahihi zaidi nitakujulishaKwahiyo hatakuwa discouraged kudemand chakula siyo ?
Mimi ni mkulima, niwe positive kwenye suala ambalo athari zake ni negative kwa watu wengi ukiwemo wewe ?Jambo ukiliangalia kwa chuki huwa baya ila ukiliangalia kwa nia njema naupendo huwa jambo zuri. Yes Mkuu kuna maneno anasema yakchanganya wengi ila kwa hili amesema ukweli mchungu kwa wakulima na walaji. So be postive.
Kwahiyo ni tatizo langu au ni tatizo lako kuleta neno ambalo siyo sahihi ?Hapana. Labda nimetumia neno ambalo si sahihi sama kiuchumi. Tatizo lako liko kwenye matumizi ya neno discouraged. Nikipata neno sahihi zaidi nitakujulisha
Siyo kila mmoja lazima awe na chakula kama chakula. Kinachotakiwa ni uwiano kati ya chakula na idadi ya watuKinatoka wapi wakati hawajizalishii chakula chao wenyewe?
Uwiano ukoje by numbers specifically??Siyo kila mmoja lazima awe na chakula kama chakula. Kinachotakiwa ni uwiano kati ya chakula na idadi ya watu
When I was at college, (more than 25 years ago), I used to be one of the best students in some subjets such as Economics, Commercial Law, Busimess Mathematics, Accounts, etc. Kuna wakati niliwahi kupata grade nzuri sana kwenye somo la Sheria, na siku Mwalimu anarudisha makaratasi ya mitihani hakunikuta darasani, nilikuwa nimetoka nimeenda mjini. Mwalimu kuita jina langu na kuambiwa sipo, akaamua kubaki na karatasi langu, akasema 'hapana, huyu Makanyaga lazima nimfahamu kwa sura". Alikuwa hanijui kwa sura kwa sababu wanafunzi wanakuwa wengi dararsani.Kinatoka wapi wakati hawajizalishii chakula chao wenyewe?
School grades has nothing to do with life skillsWhen I was at college, (more than 25 years ago), I used to be one of the best students in some subjets such as Economics, Commercial Law, Busimess Mathematics, Accounts, etc. Kuna wakati niliwahi kupata grade nzuri sana kwenye somo la Sheria, na siku Mwalimu anarudisha makaratasi ya mitihani hakunikuta darasani, nilikuwa nimetoka nimeenda mjini. Mwalimu kuita jina langu na kuambiwa sipo, akaamua kubaki na karatasi langu, akasema 'hapana, huyu Makanyaga lazima nimfahamu kwa sura". Alikuwa hanijui kwa sura kwa sababu wanafunzi wanakuwa wengi dararsani
Congrats for being a great learner.When I was at college, (more than 25 years ago), I used to be one of the best students in some subjets such as Economics, Commercial Law, Busimess Mathematics, Accounts, etc. Kuna wakati niliwahi kupata grade nzuri sana kwenye somo la Sheria, na siku Mwalimu anarudisha makaratasi ya mitihani hakunikuta darasani, nilikuwa nimetoka nimeenda mjini. Mwalimu kuita jina langu na kuambiwa sipo, akaamua kubaki na karatasi langu, akasema 'hapana, huyu Makanyaga lazima nimfahamu kwa sura". Alikuwa hanijui kwa sura kwa sababu wanafunzi wanakuwa wengi dararsani.
Sukari anapandisha bei kila uchwao,dish lake channel zimepoteaBei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.
Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.
Je, hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?
View attachment 1464087
You are abolutely right!School grades has nothing to do with life skills
Hilo ndiyo jibu la nilichouliza pale juu [emoji3516] nionyeshe how watu wa Dar wanajitosheleza chakula
Ulitakiwa uwe wazi na kusema tu kwamba nimetumia neno ambalo si sahihi kiuchumi kuliko kuanza kuzunguka zunguka. It was an oversight ukizingatia kuwa lugha hasa niliyokuwa natumia ni Kiswahili. Sasa wewe umezunguka zunguka just to prove me wrong for the whole idea kisa nimetumia a wrong word, kwani ninakuzidi nini?Kwahiyo ni tatizo langu au ni tatizo lako kuleta neno ambalo siyo sahihi ?
It is a slip of the pen.You are abolutely right!
Hilo la chakula mimi nami nimelisikia kutokana kwa viongozi na kuliamini. Kama hawajitoshelezi viongozi wamedanganya, basi wewe ndiye uanyetakiwa utoe hiyo proof. Hiki kitu kwenye sheria tunakiita REVERSAL OF BURDEN PROOF, kwamba mtu akisema kuwa A implies B and B implies C and therefore A implies C, halafu wewe ukabisha na kusema kuwa A does not imply C, inakuwa sasa ni zamu yako wewevkuthibitisha hili kwa unayempinga, na si yeye tena. Nashangaa kwamba hata hili nalo pia hulijui.
Absolutely right, School grades HAVE nothing to do with life skills
Kwani hoja ya wrong word nimeileta mimi ?Ulitakiwa uwe wazi na kusema tu kwamba nimetumia neno ambalo si sahihi kiuchumi kuliko kuanza kuzunguka zunguka. It was an oversight ukizingatia kuwa lugha hasa niliyokuwa natumia ni Kiswahili. Sasa wewe umezunguka zunguka just to prove me wrong for the whole idea kisa nimetumia a wrong word, kwani ninakuzidi nini?
Oversight meaning:-Ulitakiwa uwe wazi na kusema tu kwamba nimetumia neno ambalo si sahihi kiuchumi kuliko kuanza kuzunguka zunguka. It was an oversight ukizingatia kuwa lugha hasa niliyokuwa natumia ni Kiswahili. Sasa wewe umezunguka zunguka just to prove me wrong for the whole idea kisa nimetumia a wrong word, kwani ninakuzidi nini?
I'm pasting the above the above text. Mwishowe utanilazimisha nitumie maneno ambayo hutayaelewa.It is a slip of the pen.
Turudi kwenye hoja ya msingi haujaleta ushahidi wa kinajitosheleza unataka ushahidi wa hakijitoshelezi ?
Unatumia hearsay kujustify kuwa chakula kinajitosheleza ?
Huwezi kutumia ushahidi ambao ni inadmissible halafu ukataka mimi nilete ushahidi kuproveI'm pasting the above the above text. Mwishowe utanilazimisha nitumie maneno ambayo hutayaelewa.
Hilo la chakula mimi nami nimelisikia kutokana kwa viongozi na kuliamini. Kama hawajitoshelezi viongozi wamedanganya, basi wewe ndiye uanyetakiwa utoe hiyo proof. Hiki kitu kwenye sheria tunakiita REVERSAL OF BURDEN PROOF, kwamba mtu akisema kuwa A implies B and B implies C and therefore A implies C, halafu wewe ukabisha na kusema kuwa A does not imply C, inakuwa sasa ni zamu yako wewevkuthibitisha hili kwa unayempinga, na si yeye tena. Nashangaa kwamba hata hili nalo pia hulijui.
Kila kitu kulalamika Magufuli hakwenda sokoni kupanga Bei, miaka mingi wakulima hawaendelei sababu ya nyie kangomba. Rais kawashauri wakulima vizuri the sijui unalalamika Nini? Bado wakulima Wana Uhuru na mazao yao hakutaja Bei Wala hakutoa amri.Bei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.
Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.
Je, hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?
View attachment 1464087
Chadema pingapinga kila kitu.achana nao.Swali kwa mtoa mada , ushawahi kulima? Unajua adha ya kulima? Acha kuanzisha nyuzi za ajabu , wakulima wanaumia sana kwa bei zikiwa chini, wacha watu wapandishe bei wafaidi matunda ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Kuna watu hawataelewa !Rais hakulenga kuuza mahindi kwa watanzania
Ndio mana alisema wakitoka kujilock down watakua na njaa
Mnasubiri tu Rais aongee mpindishe maneno