Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

Kwahiyo ulichokiandika hapa ni illogical siyo ?
Nipe kwanza quote ya SPECIFIC statement yangu inayoashiria discrepancy ya namna hiyo halafu ndiyo nitakuelewa na kukupa ufafanuzi muafaka
 
Yes kama ulichoandika pale juu kuwa price ikiwa high itadiscourage demanders hivyo price kuwa chini na wakulima kubaki na chakula chao.

Unaamini hii premises yako ni logical ?
Hiyo bold kwenye maandishi yako hapo juu is a blunder. Ipo kwenye maandishi yangu hapo juu? Definetely haipo
Still, kuhusiana na kile nilichoandika kwenye ujumbe husika, in fact siyo mimi niliyesema hayo wala hakuna mtu yeyote ambaye alishawahi kuyasema ili wengine wayafuate hapana, isipokuwa ni FACT inayotokana na MARKET FORCES kwenye system ya uchumi mahali popote pale, kwamba THE HIGHER THE PRICE, THE LOWER THE DEMAND AND THE VICE VERSA IS TRUE. Hii ni kanuni ya kwenye uchumi, wala siyo theory ya mtu msomi kwenye mambo ya uchumi. Ni kama vile binadamu kufa. Kifo ni kanuni ambayo ipo naturally, hakuna binadamu aliyeiweka wala kuitunga
 
Ndiyo nikauliza mtu anaweza kuacha kula kwa sababu price ni high ?
 
Mtu atatafuta alternative ya kununua kutoka sehemu nyingine. Price kuwa high ni kitu ambacho ni RELATIVE, kwa maana kuwa tunaposema kuwa bei iko juu tuseme Tanzania, maana yake ni kuwa kuna mahali iko chini kuliko Tanzania. Mwenye pesa zake ataamua kwenda kule ambako iko chini. Hata hivyo kuna factors nyingine pia zinaweza kuchangia. Naona unataka sasa tuanze somo la uchumi humu, si ndiyo?
 
Mbona kama unaanza kukimbia statement yako kuwa itadiscourage demanders ?
 
Mtu atatafuta alternative ya kununua kutoka sehemu nyingine. Price kuwa high ni kitu ambacho ni RELATIVE, kwa maana kuwa tunaposema kuwa bei iko juu tuseme Tanzania, maana yake ni kuwa kuna mahali iko chini kuliko Tanzania. Mwenye pesa zake ataamua kwenda kule ambako iko chini. Hata hivyo kuna factors nyingine pia zinaweza kuchangia. Naona unataka sasa tuanze somo la uchumi humu, si ndiyo?
Ni asilimia ngapi ya watanzania wanaweza kwenda kununua chakula sehemu nyingine nje na tanzania ?
 
Nipe kwanza quote ya SPECIFIC statement yangu inayoashiria discrepancy ya namna hiyo halafu ndiyo nitakuelewa na kukupa ufafanuzi muafaka
Statement yako hii hapa.
[emoji116]
" Kwa hiyo Mkuu ameshauri akiwa anajua kabisa kuwa kama wakulima watauza kwa bei ya juu, wata-discourage demanders na hivyo kusababisha demand iwe chini na wao kuendelea kubaki na chakula kingi"
 
Kiukweli mm sioni ubaya wowote ule sema kwa walanguzi ndio mnaweza chukia kauli ya Rais. Mnataka wakulima wawauzie bei poa while kuna njaa . Rais kasema kweli atakaye uza bei poa atakumbuka maneno ya Rais.
 
Mtu atatafuta alternative ya kununua kutoka sehemu nyingine. Price kuwa high ni kitu ambacho ni RELATIVE, kwa maana kuwa tunaposema kuwa bei iko juu tuseme Tanzania, maana yake ni kuwa kuna mahali iko chini kuliko Tanzania. Mwenye pesa zake ataamua kwenda kule ambako iko chini. Hata hivyo kuna factors nyingine pia zinaweza kuchangia. Naona unataka sasa tuanze somo la uchumi humu, si ndiyo?
Kwahiyo hatakuwa discouraged kudemand chakula siyo ?
 
Ni asilimia ngapi ya watanzania wanaweza kwenda kununua chakula sehemu nyingine nje na tanzania ?
Wa-tanzania chakula wanacho, hawahitaji kwenda kutafuta chakula nje ya Nchi. Wanachotakiwa kufanya ni kutokukiuza. Wasipokiuza, hawatahitaji kutafuta chakula tena, na kama wakiamua kukiuza, basi wauze kwa bei ya juu; na obvious watakokuwa wanawauzia watakuwa siyo wa-Tanzania kwa sababu kila m-Tanzania ana chakula.
 
Kiukweli mm sioni ubaya wowote ule sema kwa walanguzi ndio mnaweza chukia kauli ya Rais. Mnataka wakulima wawauzie bei poa while kuna njaa . Rais kasema kweli atakaye uza bei poa atakumbuka maneno ya Rais.
Nchi hii walanguzi ni wangapi na walaji ni wangapi ?

Walanguzi wanaweza kukinunua kwa bei hiyo hiyo kubwa kikaisha kwa wakulima.

Muziki unawageukia wakulima na walaji wengine kununua kwajili ya chakula kutoka kwa walanguzi unafikiri watakiuza kwa bei ndogo.?

Rais afanye mizaha kwenye mambo mengine ila siyo kwenye chakula.
 
Kwahiyo hatakuwa discouraged kudemand chakula siyo ?
Bei ya soko A itam-discourage, halafu bei ya Soko jingine B itamvutia kwa sabau itakuwa iko chin na hivyo atakwenda kununua chakula kutoka soko B. Bei itam-discourage kununua kutoka soko A na itamu-encourege kununua kutoka soko B
 
Wa-tanzania chakula wanacho, hawahitaji kwenda kutafuta chakula nje ya Nchi. Wanachotakiwa kufanya ni kutokukiuza. Wasipokiuza, hawatahitaji kutafuta chakula tena, na kama wakiamua kukiuza, basi wauze kwa bei ya juu; na obvious watakokuwa wanawauzia watakuwa siyo wa-Tanzania kwa sababu kila m-Tanzania ana chakula.
Dar es Salaam ina watu almost 6 million hawa wanajitosheleza kwa chakula chao cha kulima wenyewe ?

Unajua wakulima wanategemea hicho chakula wauze wanunue mahitaji mengine ya msingi kama nguo, dawa, pembejeo, kujenga, nk ?
 
Bei ya soko A itam-discourage, halafu bei ya Soko jingine B itamvutia kwa sabau itakuwa iko chin na hivyo atakwenda kununua chakula kutoka soko B. Bei itam-discourage kununua kutoka soko A na itamu-encourege kununua kutoka soko B
Anyway let's take Dar es salaam ikiwa price ya chakula itakuwa high option yao ya soko B outside Tanzania itakuwa wapi ? Ambalo kila mmoja atakwenda kujipatia chakula cha bei bwerere ?
 
Statement yako hii hapa.
[emoji116]
" Kwa hiyo Mkuu ameshauri akiwa anajua kabisa kuwa kama wakulima watauza kwa bei ya juu, wata-discourage demanders na hivyo kusababisha demand iwe chini na wao kuendelea kubaki na chakula kingi"
Haujanijibu hapa mchumi [emoji3516]
 
Nchi hii walanguzi ni wangapi na walaji ni wangapi ?

Walanguzi wanaweza kukinunua kwa bei hiyo hiyo kubwa kikaisha kwa wakulima.

Muziki unawageukia wakulima na walaji wengine kununua kwajili ya chakula kutoka kwa walanguzi unafikiri watakiuza kwa bei ndogo.?

Rais afanye mizaha kwenye mambo mengine ila siyo kwenye chakula.
Jambo ukiliangalia kwa chuki huwa baya ila ukiliangalia kwa nia njema naupendo huwa jambo zuri. Yes Mkuu kuna maneno anasema yakchanganya wengi ila kwa hili amesema ukweli mchungu kwa wakulima na walaji. So be postive.
 
Swali kwa mtoa mada , ushawahi kulima? Unajua adha ya kulima? Acha kuanzisha nyuzi za ajabu , wakulima wanaumia sana kwa bei zikiwa chini, wacha watu wapandishe bei wafaidi matunda ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi ,lakini bei za mazao hazipandishwi kimzuka namna hiyo...Serikali inatakiwa iweke Sera nzuri kwenye kilimo kuanzia pembejeo,kilimo chenyewe na masoko! Ukitarajia kupandishiwa bei ya mazao jukwaani ..huo ni kufanywa ujinga kwa kuwa ni matokeo ya muda mfupi tu!
 
Anyway let's take Dar es salaam ikiwa price ya chakula itakuwa high option yao ya soko B outside Tanzania itakuwa wapi ? Ambalo kila mmoja atakwenda kujipatia chakula cha bei bwerere ?
Premise yetu tunaanza kuipoteza. Ina base kwenye fact kwamba watu wote Dar es salaam wana chakula kingi. zingatia hilo. Scenerio unayoileta hapa kwa sasa haipo, na kama ingekuwepo, hakuna mtu angeshauri wakulima wapandishe bei, zingeachwa market forces zikafanya kazi yake
 
Dar es Salaam ina watu almost 6 million hawa wanajitosheleza kwa chakula chao cha kulima wenyewe ?

Unajua wakulima wanategemea hicho chakula wauze wanunue mahitaji mengine ya msingi kama nguo, dawa, pembejeo, kujenga, nk ?
Serikali pia ina chakula, unajua hilo?
 
Premise yetu tunaanza kuipoteza. Ina base kwenye fact kwamba watu wote Dar es salaam wana chakula kingi. zingatia hilo. Scenerio unayoileta hapa kwa sasa haipo, na kama ingekuwepo, hakuna mtu angeshauri wakulima wapandishe bei, zingeachwa market forces zikafanya kazi yake
Kinatoka wapi wakati hawajizalishii chakula chao wenyewe?
 
Back
Top Bottom