Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

Swali kwa mtoa mada , ushawahi kulima? Unajua adha ya kulima? Acha kuanzisha nyuzi za ajabu , wakulima wanaumia sana kwa bei zikiwa chini, wacha watu wapandishe bei wafaidi matunda ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
wenye daladala nao wasipangiwe bei wafanye wanavyotaka kila mtu anunue gari lake basi we unajua adha ya kununua gari na kuhudumia?
 
Tatizo lenu mnachukua ka sentensi kamoja ka Rais mnaanzishia hoja ndio maana mnazidi kupwaya

Rais alikuwa anazungumzia kuwapiga bei wale walio ji lockdown wakati wa Corona akimaanisha Nchi jirani

Kuna ubaya gani kuhamasisha Raia wako kuwapiga bei ya Juu nchi za jirani ili kuimarisha uchumi wao?
We unavo fikiri mkulima atamuuzia mkenya gunia 80000 la mahindi alafu. We mtanzania utauziwa 35000 wakati soko zuri analo apo ni bei juu kwa wote nje na ndani alafu maisha yatapanda huku kipato kipo chini vilevile wenzetu wakati huu wanatoa misaada kwa wananchi nyie mnapanga kupandishiana. Bei evil thinking hapo sikubaliani busara itumike purchasing power ya watu imepungua na mishahara imesimama palepale miaka 5 familiar zimeongezeka na matumizi yameongezeka (bills) mzee awe na busara muda mwingine haumuzi tu wa nje hata wa ndani bei haziwezi kuwa tofauti kwa wageni na wenyeji na ikiwa hivyo mwakani nchi jirani zitajipanga na kuitenga nchi yetu kwa maamuzi au kauli za kibaguzi na ukimkera jirani jua hatamuhifadhi adui yako wa mbali ili akushambulie kirahisi tuache kauli za kukuza migogoro leo mpakani kule kaskazini wafugaji wanalalamika mifugo hainunuliki Kenya wameacha kimya kimya Sasa wambieni wanasiasa wenu wa matamko ya kupayuka badala ya diplomacy wanunue mifugo hiyo wananchi wasife njaa
 
Siasa ni kama Mchezo wa kuigiza...wanasahau kwamba Mkulima nae ni Mwananchi na hawezi kuishi kwa kula tu hoho anazolima.

Hapo formula inayotumika inaitwa "tuvuke mto tukifika mtoni" siku akikaa na Walaji nao atawaambia "tutahakikisha vyakula havipandi bei".
 
Wanaoumia ni wale waliozoe kuishi kwa mazoe. Ni wale waliokariri kuwa maisha ni lazima yawe hivi na si vinginevyo. Unaweza usitambue sasa. Muda ni mwalimu mzuri nao husema. Itafika siku tutatamani ni heri angelikuwa yeye na angelibaki kwetu. Lazima tubadilike. Mabadiko sio yale ya kuzungusha mikono lah hasha, tubadili fikra zetu na mtindo wa maisha yetu. Hakika huyu atatuvusha.....!
Kama kuvuka ni hoja basi hata nyumbu huvuka kwenye mto wenye mamba lakini katika higher price kuliko wangevuka kwa akili tatizo ni strategies zinazotumika inabidi waziri mambo ya nje na wa biashara wakae Tena na mawaziri nchi jirani kutengeneza mahusiano Kila kukicha kutoa ufafanuzi wa hotuba za mzee maana Kila hotuba ina jipya na majirani hotupa ya rais si kama ya motivational speaker kwamba anaongea lolote tu kama Chris mauki hotuba ya rais ina . visions, mission and strategies so unapohutubia lenga hapo ili usiharibu kimoja hatawafumbua majirani wamtenge kibiashara kwa kutafuta solutions nyingine ya kununua mazao na hata kuhimizana kulima mazao Fulani hili majirani wafanye biashara wenyewe kuongea kwa uwazi kama mkuu wa nchi kupandishiana bei mazao kwa majirani ni Vita baridi umetangaza tayari je umejiandaa kutafuta soko jipya endapo wasipo nunua kwako
 
Unafu
Bei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.

Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.

Je, hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?

View attachment 1464087
Mkuu! Ungependa kuwaona wakulima wetu waliolima kwa shida wakibaki na umaskini?
Mbona nyie mnapandisha Kodi za nyumba?
 
We unavo fikiri mkulima atamuuzia mkenya gunia 80000 la mahindi alafu. We mtanzania utauziwa 35000 wakati soko zuri analo apo ni bei juu kwa wote nje na ndani alafu maisha yatapanda huku kipato kipo chini vilevile wenzetu wakati huu wanatoa misaada kwa wananchi nyie mnapanga kupandishiana. Bei evil thinking hapo sikubaliani busara itumike purchasing power ya watu imepungua na mishahara imesimama palepale miaka 5 familiar zimeongezeka na matumizi yameongezeka (bills) mzee awe na busara muda mwingine haumuzi tu wa nje hata wa ndani bei haziwezi kuwa tofauti kwa wageni na wenyeji na ikiwa hivyo mwakani nchi jirani zitajipanga na kuitenga nchi yetu kwa maamuzi au kauli za kibaguzi na ukimkera jirani jua hatamuhifadhi adui yako wa mbali ili akushambulie kirahisi tuache kauli za kukuza migogoro leo mpakani kule kaskazini wafugaji wanalalamika mifugo hainunuliki Kenya wameacha kimya kimya Sasa wambieni wanasiasa wenu wa matamko ya kupayuka badala ya diplomacy wanunue mifugo hiyo wananchi wasife njaa
Naamini Majirani wakishazisikia hizi kauli za wapigeni bei ya juu sababu wao walijiweka lockdown nao wanaanza kuangalia namna ya ku-survive mapema maana wanakua walishaelewa intention ya jirani yao.
Kama kuvuka ni hoja basi hata nyumbu huvuka kwenye mto wenye mamba lakini katika higher price kuliko wangevuka kwa akili tatizo ni strategies zinazotumika inabidi waziri mambo ya nje na wa biashara wakae Tena na mawaziri nchi jirani kutengeneza mahusiano Kila kukicha kutoa ufafanuzi wa hotuba za mzee maana Kila hotuba ina jipya na majirani hotupa ya rais si kama ya motivational speaker kwamba anaongea lolote tu kama Chris mauki hotuba ya rais ina . visions, mission and strategies so unapohutubia lenga hapo ili usiharibu kimoja hatawafumbua majirani wamtenge kibiashara kwa kutafuta solutions nyingine ya kununua mazao na hata kuhimizana kulima mazao Fulani hili majirani wafanye biashara wenyewe kuongea kwa uwazi kama mkuu wa nchi kupandishiana bei mazao kwa majirani ni Vita baridi umetangaza tayari je umejiandaa kutafuta soko jipya endapo wasipo nunua kwako
Na sijui ni kwanini mzee baba suala hao jamaa kujiweka lockdown hua linamuumiza sana,sio mara ya kwanza kusema hao waliojiweka lockdown watapat njaa muda si mrefu muwapige pesa ndefu.

Sasa sijajua lockdown zao yeye anapata hasira kwanini mkuu.
 
Naamini Majirani wakishazisikia hizi kauli za wapigeni bei ya juu sababu wao walijiweka lockdown nao wanaanza kuangalia namna ya ku-survive mapema maana wanakua walishaelewa intention ya jirani yao.

Na sijui ni kwanini mzee baba suala hao jamaa kujiweka lockdown hua linamuumiza sana,sio mara ya kwanza kusema hao waliojiweka lockdown watapat njaa muda si mrefu muwapige pesa ndefu.

Sasa sijajua lockdown zao yeye anapata hasira kwanini mkuu.
Inferior complexity kujifananisha na Fulani ili kujipa moyo na matumaini kwa watu wako kuwa upo sahihi so watulie ufanye yako lkn Kila rais au serikali ina maamuzi yake Kenya wanaweza kuwa walikuwa sahihi kujilock down na vilevile inawezekana na sisi tulikuwa sahihi kuto lockdown Kila rais kabet mkeka kwa magufuli anaonesha mkeka tu mkeka umejibu lakini hataki kuonyesha karatasi ya mkeka (takwimu za wazi kwa uma) mna ambiwa tu ugonjwa umepungua inamaana tangu waendelee kupima hawajapata wagonjwa wapya ,so tusubiri ila kwa Sasa dunia inaona ni ngumu kulock down hivyo mzee kapata Cha kuwapigia majirani lkn c vzuri kuwashambulia itaharibu mahusiano lile ni suala la maisha ya wetu si presidential trophies ipo siku na sisi maamuzi yetu yatatugharimu majirani watachukua credit Tanzania sio kisiwa tunawahitaji majirani ili tuwe salama Kenya anaweza achia vikundi vibaya vikastawi Kenya ili visumbue Tanzania so kuchunga kauli ni vizuri wapo magaidi ,waasi, majambazi,so jirani akiwasalama ni nafuu kwako c unaona kule juu Somalia mkenya anavyopambana kuwe salama ndo maana kapeleka jeshi Somalia sisi tushukuru kongo hakuna udini Wala ugaidi c umeona msumbiji kalegeza wamekuja kuua kwatu huku mtwara so majirani wanatunzana aache kauli ngumu za Vita baridi
 
Kuna mdau alisema kwamba Soko ndio litaamua bei na si kauli za viongozi na ndio maana hata sukari hakuna anayeuza kwa bei elekezi unauziwa according to mwenye duka kapata kwa Tsh ngapi.

Magu hana hata abc za biashara..jana mi mwenyew nimemskia nikabak kucheka...demand n supply ndo zinapanga hay mambo!soko ndo kila kitu! Hopeless kabisa
 
Wanaoumia ni wale waliozoe kuishi kwa mazoe. Ni wale waliokariri kuwa maisha ni lazima yawe hivi na si vinginevyo. Unaweza usitambue sasa. Muda ni mwalimu mzuri nao husema. Itafika siku tutatamani ni heri angelikuwa yeye na angelibaki kwetu. Lazima tubadilike. Mabadiko sio yale ya kuzungusha mikono lah hasha, tubadili fikra zetu na mtindo wa maisha yetu. Hakika huyu atatuvusha.....!

Atakuvusha na nani!?..
 
Bei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.

Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.

Je, hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?

View attachment 1464087
Kwa upande mmoja kama uko sahihi vile lakini nadhani kuna kitu ume-overlook. Umesoma uchumi? Unakijua kitu kinaitwa inflation? Worst cases scenerios za inflation ni mbili: kuna trotting inflation (hii inakuwa imevaa bukta, inakimbia kuzunguka uwanja wa mpira) na hyper inflation--- hii ya pili hadi hufikia hatua ya kulazimisha Nchi kuchapisha pesa mpya na kuzitupa kabisa zile za zamani. Nadhani unachoongelea hapa, ni situtaion ambayo lazima iwe coupled na swala la inflation. Kwa sasa hivi hatuna any of the cases za inflation. Kuna normal flucuation ya prices katika ile hali ya kawaida sana na ambayo haina uhusiano wowote na inflation. Kwa hiyo Mkuu ameshauri akiwa anajua kabisa kuwa kama wakulima watauza kwa bei ya juu, wata-discourage demanders na hivyo kusababisha demand iwe chini na wao kuendelea kubaki na chakula kingi
 
Rais hakulenga kuuza mahindi kwa watanzania
Ndio mana alisema wakitoka kujilock down watakua na njaa
Mnasubiri tu Rais aongee mpindishe maneno
Kwa wale walionyimwa hekima na maarifa ya kutosha, pamoja na wale ambao ni negative kwa asili au kwa kuzaliwa, wao wanaona hakuna kick kubwa kwao kwenye kipindi hiki, kama ile ya kumkosoa Rais wa awamu ya tano
 
Kwa upande mmoja kama uko sahihi vile lakini nadhani kuna kitu ume-overlook. Umesoma uchumi? Unakijua kitu kinaitwa inflation? Worst cases scenerios za inflation ni mbili: kuna trotting inflation (hii inakuwa imevaa bukta, inakimbia kuzunguka uwanja wa mpira) na hyper inflation--- hii ya pili hadi hufikia hatua ya kulazimisha Nchi kuchapisha pesa mpya na kuzitupa kabisa zile za zamani. Nadhani unachoongelea hapa, ni situtaion ambayo lazima iwe coupled na swala la inflation. Kwa sasa hivi hatuna any of the cases za inflation. Kuna normal flucuation ya prices katika ile hali ya kawaida sana na ambayo haina uhusiano wowote na inflation. Kwa hiyo Mkuu ameshauri akiwa anajua kabisa kuwa kama wakulima watauza kwa bei ya juu, wata-discourage demanders na hivyo kusababisha demand iwe chini na wao kuendelea kubaki na chakula kingi
Hivi mtu anaweza kuwa discouraged kula ? akaamua kumwachia Molina vyakula vyake ?
 
Hizi cases huwa zipo. Unakuta mtu alikuwa na chakula kingi lakini akaingiwa na tamaa ya pesa, akashindwa ku-balance akiba na kujikuta ameuza zaidi ya kile alichotakiwa kuuza (yaani ameuza akiba na zaidi---- refer mazungumzo ya jana TBC1 kati ya Queen Elizabeth na wageni wake jana pale studio). Anauza chakula zaidi ya akiba, halafu na pesa anatumia, na hatimaye anajikuta hana pesa wala chakula, halafu anaanza kulia njaa. Kwa wale tuliozaliwa na kukulia kijijini, mifano ya namna hii tunayo mingi sana. Hii hali huwa ipo, tena kwa wengi tu na si kwa wachache. Mwingine anaweza akauza halafu pesa akaenda kunywea pombe
 
Nauliza mtu anaweza kuwa discouraged kula akaamua kubaki na hela tu simply vyakula vimepanda bei ?
 
Bei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.

Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.

Je, hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?

View attachment 1464087
Blaza hii ni bongo.. Hili nalo litapita kiunafiki hivyo hivyo...

Jr[emoji769]
 
Nauliza mtu anaweza kuwa discouraged kula akaamua kubaki na hela tu simply vyakula vimepanda bei ?
You mean aamue kufa halafu hela iendelee kubaki? You need to rethink the premises of your argument/ assertion! They appear to be very illogical
 
Kwa upande mmoja kama uko sahihi vile lakini nadhani kuna kitu ume-overlook. Umesoma uchumi? Unakijua kitu kinaitwa inflation? Worst cases scenerios za inflation ni mbili: kuna trotting inflation (hii inakuwa imevaa bukta, inakimbia kuzunguka uwanja wa mpira) na hyper inflation--- hii ya pili hadi hufikia hatua ya kulazimisha Nchi kuchapisha pesa mpya na kuzitupa kabisa zile za zamani. Nadhani unachoongelea hapa, ni situtaion ambayo lazima iwe coupled na swala la inflation. Kwa sasa hivi hatuna any of the cases za inflation. Kuna normal flucuation ya prices katika ile hali ya kawaida sana na ambayo haina uhusiano wowote na inflation. Kwa hiyo Mkuu ameshauri akiwa anajua kabisa kuwa kama wakulima watauza kwa bei ya juu, wata-discourage demanders na hivyo kusababisha demand iwe chini na wao kuendelea kubaki na chakula kingi
Kwahiyo ulichokiandika hapa ni illogical siyo ?
 
You mean aamue kufa halafu hela iendelee kubaki? You need to rethink the premises of your argument/ assertion! They appear to be very illogical
Yes kama ulichoandika pale juu kuwa price ikiwa high itadiscourage demanders hivyo price kuwa chini na wakulima kubaki na chakula chao.

Unaamini hii premises yako ni logical ?
 
Back
Top Bottom