Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

Wanaoumia ni wale waliozoe kuishi kwa mazoe. Ni wale waliokariri kuwa maisha ni lazima yawe hivi na si vinginevyo. Unaweza usitambue sasa. Muda ni mwalimu mzuri nao husema. Itafika siku tutatamani ni heri angelikuwa yeye na angelibaki kwetu. Lazima tubadilike. Mabadiko sio yale ya kuzungusha mikono lah hasha, tubadili fikra zetu na mtindo wa maisha yetu. Hakika huyu atatuvusha.....!
 
Bei ya bidhaa haiamuliwi kwa kauli ya kiongozi ni ishu ya demand and supply. Mfano mahindi yapo kwa kiwango kikubwa unafikiri mkulima anaweza kuuza anavyotaka? Hapo mnunuzi ndio atanunua anavyotaka. Mkulima atauza anavyotaka kipindi mazao ni machache mnunuzi atakufuata kukubembeleza utauza kwa kuringa
 
Swali kwa mtoa mada , ushawahi kulima? Unajua adha ya kulima? Acha kuanzisha nyuzi za ajabu , wakulima wanaumia sana kwa bei zikiwa chini, wacha watu wapandishe bei wafaidi matunda ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
mleta mada ni mmoja wa wale madalali matapeli wanaowafanya wakulima wazidi kuwa maskini
 
Wote tunafahamu kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, je, kusema kuwa mwaka huu na mwaka ujao hautakuwa mzuri sana, nini maana yake?
Screenshot_20200531-180031.png
 
Hapo nadhani nikutokana na myumbo wa kiuchumia duniani kwa ujumla hali itakuwa sio nzuri, so tutunze chakula serikali haitakuwa na uwezo wa kuwahudumia chakula ikitokea njaa.

Upande wapili ni kijembe kwa wale jirani zetu nadhani ndo unataka tujadili
 
Ukiwa na hela unaweza hata nunua gunia kwa 1m.

Sasa waache wakulima waingie mtegoni wao watakuja kuuziwa gunia kwa 2m.

Nawashauri watumie busara,wasije ingia mtegoni kwa kauli hizi.

Mfano mzuri ni bei za sukari na upatikanaji wake.
 
Acheni ulalamishi. Kila mtu akalime. Wote si tunakula bana.

Huwezi kulima nunua gunia kilo moja ya mahindi kwa tshs.5,000.
 
Kuna umuhimu wa kujifunza wakati mwingine. Haitakuwa jambo jema kuyarudia haya makosa ya mwaka 2015! Ni vyema tukawapa dhamana wale waliojiandaa kwanza halafu wale walio kwenye majaribio, wasisukumiziwe tu ndani! badala yake wapewe muda zaidi wa kujipanga, au wapotezewe kabisa.

Ni ushauri tu lakini.
 
Wewe ni pumbafu wa mwisho, we unamaanisha ajabu kwa lugha nyingine raisi anasaidia inflation kt nchi yake. Wewe ni bogus
Swali kwa mtoa mada , ushawahi kulima? Unajua adha ya kulima? Acha kuanzisha nyuzi za ajabu , wakulima wanaumia sana kwa bei zikiwa chini, wacha watu wapandishe bei wafaidi matunda ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.

Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.

Je, hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?

View attachment 1464087
Anajaribu kuongeza kipato cha wakulima lakini ataishia kuwafadisha madalali.Pili hali ya kipato ya watu wengi ni ngumu na hii ni pamoja na watumishi wa umma.Ongezeko la bei za vyakula litakuwa mwiba mchungu kwa watu wengi
 
Atuguse na sisi wenye madaladala tupandishe bei na kwa atakaye lalamika na akanunue la kwake awe anapanda. Is that fair kweli??

... Basi na atuguse na sisi uyu bingwa wa kuyagusa makundi yote.
Watanzania tunapaswa kuzidi kumshukuru Mungu. Tumepata Rais ambaye anagusa kila kundi na makundi hayo yamekuwa yakinufaika sana na uongozi /mwongozo wa Rais wetu. Eee Mungu Baba tulindie kiongozi wetu ili azidi kutuongoza vyema. Ikikupenda wewe na awe kiongozi kwa miongo mingi zaidi. Hakika huyu anatufaa.
 
Wewe ni pumbafu wa mwisho, we unamaanisha ajabu kwa lugha nyingine raisi anasaidia inflation kt nchi yake. Wewe ni bogus
Asante sana, ubarikiwe sana ulipopungukiwa, nachoomba siku moja uje uombe radhi kwa jibu lako sio leo wla kesho, ila utajuta na hautojua mimi ni nani ila utatamani unijue na uombe radhi , asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.

Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.

Je, hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?

View attachment 1464087
K

Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom