Watanzania tunapaswa kuzidi kumshukuru Mungu. Tumepata Rais ambaye anagusa kila kundi na makundi hayo yamekuwa yakinufaika sana na uongozi /mwongozo wa Rais wetu. Eee Mungu Baba tulindie kiongozi wetu ili azidi kutuongoza vyema. Ikikupenda wewe na awe kiongozi kwa miongo mingi zaidi. Hakika huyu anatufaa.
Mbona huu ndio umekua msimamo wake toka aingie madarakani, amekua akisema mtu hawezi kuhenyeka shambani alafu Serikali imuambie uza bei ndogo.Bei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.
Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.
Jee hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?View attachment 1464087
Huyo unayemwombea anafisha nafsi za wengi,Mungu unayemwombea ndiye aliyewaumba kwa mfano wake.Unaamini hiyo Dual itapokelewa?Watanzania tunapaswa kuzidi kumshukuru Mungu. Tumepata Rais ambaye anagusa kila kundi na makundi hayo yamekuwa yakinufaika sana na uongozi /mwongozo wa Rais wetu. Eee Mungu Baba tulindie kiongozi wetu ili azidi kutuongoza vyema. Ikikupenda wewe na awe kiongozi kwa miongo mingi zaidi. Hakika huyu anatufaa.
Kisha wanakamatwa kwa kukiuka maeleleko!Kuna mdau alisema kwamba Soko ndio litaamua bei na si kauli za viongozi na ndio maana hata sukari hakuna anayeuza kwa bei elekezi unauziwa according to mwenye duka kapata kwa Tsh ngapi.
Magufuli hajui kanuni za msingi kabisa za uchumi. Vinginevyo, anafanya maigizo.Kuna mdau alisema kwamba Soko ndio litaamua bei na si kauli za viongozi na ndio maana hata sukari hakuna anayeuza kwa bei elekezi unauziwa according to mwenye duka kapata kwa Tsh ngapi.
Hamna rais paleMagufuli hajui kanuni za msingi kabisa za uchumi. Vinginevyo, anafanya maigizo.
Hajui kwamba, kama bei ingekuwa inaamuliwa na muuzaji tu, kusingekuwa na kitu kisichouzwa kwa bei ya juu?
Au ana utapiamlo wa akili?
Na ndio maana wadau wakashauri Mgombea urais lazima awe amesomea Uchumi kidogo sio lazima iwe Major!!! Mambo mengi(Maamuzi) anayoyafanya Mkemia yanayumbisha sana Uchumi.Magufuli hajui kanuni za msingi kabisa za uchumi. Vinginevyo, anafanya maigizo.
Hajui kwamba, kama bei ingekuwa inaamuliwa na muuzaji tu, kusingekuwa na kitu kisichouzwa kwa bei ya juu?
Au ana utapiamlo wa akili?
Hilo ndio ambalo hawa mavuvuzela wa Lumumba hawalioni. Wao kazi yao kushangilia kila kitokacho mdomoni mwa mfalme, hata kama kinawaumiza.Kwa maana nyingine wakulima si watataka kuyauza soko la nje ili waifidike kuliko kuyauza ndani kwa bei rahisi. So lazma yatapungua kwenye soko la ndani kwa maana mtaishia kununua sawa na mkenya anapoyanunua. Mfano si juzi mmeyapeleka zimbabwe na bado tukaishia kununua unga bei mara mbili.
Stupid type of thinking!Mbona huu ndio umekua msimamo wake toka aingie madarakani, amekua akisema mtu hawezi kuhenyeka shambani alafu Serikali imuambie uza bei ndogo.
Ndio maana hata thamani ya korosho aliipandisha toka kilo moja 1500 hadi 3800 - 4000. Kama unaona vipi nawe si ukalime?
Hajajifunza matokeo ya kupandisha bei ya koroshow....mpaka leo wakulima wanadai serikaliMbona huu ndio umekua msimamo wake toka aingie madarakani, amekua akisema mtu hawezi kuhenyeka shambani alafu Serikali imuambie uza bei ndogo.
Ndio maana hata thamani ya korosho aliipandisha toka kilo moja 1500 hadi 3800 - 4000. Kama unaona vipi nawe si ukalime?
Wewe mwenyewe unaeongea uskute unaishi DSM au urban tu ambako hata shamba hulijui na unategemea wakulima ili ule. Suala ni hivi: watu wote si wakulima. Kuna wengine kama mimi tunategemea wakulima ili tule. Na maisha ndivyo yalivyo(kutegemeana). Sasa tunategemea kwamba mazao yakipatikana ya ktosha mwaka huu, angalau bei ya mahindi na unga ishuke kwa sisi wa mjini. Mtu anaposema bei zibaki juu, atakuwa anamkomoa yule mwananchi wa mjini ambae halimi!Swali kwa mtoa mada , ushawahi kulima? Unajua adha ya kulima? Acha kuanzisha nyuzi za ajabu , wakulima wanaumia sana kwa bei zikiwa chini, wacha watu wapandishe bei wafaidi matunda ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana wadau wakashauri Mgombea urais lazima awe amesomea Uchumi kidogo sio lazima iwe Major!!! Mambo mengi(Maamuzi) anayoyafanya Mkemia yanayumbisha sana Uchumi.
Kabisa mkuu Basics za Uchumi hazijui ni mweupe na ushauri wa wataalamu wa uchumi hautaki anasema wametumwa na Mabeberu.
Acha ngonjera Lima kila mtu akilima kelele zitatoka wapi,Bei ya chako la haiamul wi na serikali Bali uhtaui wa wakati huo,mfano sasa HV gunia 25000,-18000,mkulima akiuza kwa heka 20 gunia Mara Bei 500000-360000,mbolea 180000,Lima panda palilia vuna safirisha mkulima hapati kitu,kalime utajua madhira sio kuiba maofisini,Bei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.
Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.
Jee hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?View attachment 1464087
Ndio maana nikasema ni muhimu kusomea uchumi ili hata ikitokea kutokubali ushauri wa Timu yake lakini kwakuwa amesoma uchumi atajua hapa nafanya kosa.Mkuu kwenye hilo nakukatalia. Sio kila mkemia ni mgumu kiasi hiki, Bali huyu ni mbishi kukubali ushauri na kutumia ubabe tuu.
Rais ni kiongozi ambaye anakuwa na timu kubwa sana ya washauri wa kila aina na ni yeye tuu kutumia hekima zake na mambo yanakuwa byee!
Jamaa yetu ana hulka ya kupenda kuumiza watu, ona kuhusu issue ya mtunza Tausi alivyo umbuliwa na JK na kumwambia "sikukuambia umfukuze kazi" baada ya jamaa kutamba eti mimi nikamfukuza kama ni sifa kumharibia maisha mtu na familia yake
Swali kwa mtoa mada , ushawahi kulima? Unajua adha ya kulima? Acha kuanzisha nyuzi za ajabu , wakulima wanaumia sana kwa bei zikiwa chini, wacha watu wapandishe bei wafaidi matunda ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini sasa kiongozi anaingilia biashara za watu au yeye hajui kuwa soko ndiyo linapaswa kuamua?Kuna mdau alisema kwamba Soko ndio litaamua bei na si kauli za viongozi na ndio maana hata sukari hakuna anayeuza kwa bei elekezi unauziwa according to mwenye duka kapata kwa Tsh ngapi.
Kuna mdau kasema kwamba Jamaa anataka kufurahisha kila kundi ambalo anakutana nalo na ndio maana akikutana na machinga atasema rukhsa kufanya biashara sehemu yeyote!! Lengo ni kufurahisha kundi husika.Kwanini sasa kiongozi anaingilia biashara za watu au yeye hajui kuwa soko ndiyo linapaswa kuamua?