Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

Kama zaidi ya 75% ya watanzania ni wakulima (kama inavyosemekana) huoni kua anapigania maslahi ya walio wengi.

Angesema vinginevyo unadhani comments za wakulima zingekuaje?
Hao wakulima wanalima kila kitu bila kuhitaji kununua vingine? Ina maana soko la wakulima ni %25 tu? Uongo mwingine hauna nguzo, ni upuuzi tu. Ila wenye busara na akili wanajua ninachokisema, hivyo siyo shida, we ngoja wakati unashindwa kula ndiyo utie akili.
 
Nimegundua wenye busara na akili kuelewa hili ni wengi kuliko wapuuzi, kama korona.
 
Hahahahah mmebaki mnatia aibu kwaio ilo neno ndio limekuuzi?
Ni nyie mnao potoshwa na yeye kirahisi, kwa nini aseme watwangeni, unajua maana yake? Rais gani atasema hivyo kwa raia wake? Tumia busara na akili zako mwenyewe.
 
Aliyeshiba Hamjui Mwenye Njaa .

Mtu akishiba hamjui mwenye njaa aishie mjini. Nchi nyingi huja na sera ya kuhakikisha mkulima apata bei nzuri ya mazao yake na wakati huo huo serikali huja na mpangoruzuku wa kupoza bei kwa walaji wa mjini kwa kutoa bei elekezi iliyofidiwa na serikali hasahasa kwa vyakula muhimu .

Kauli hii ya serikali ya CCM Mpya maana yake haiwajali wananchi wanyonge wa mijini.

Ni kwa namna gani serikali ‘hufidia’ bei elekezi kwa manufaa ya wakulima.?

Ni nyie huko mjini kutwa kuwacheka wakulima mkishajipatia chakula kwa bei chee, bei ikipanda ili wakulima wanufaike mbona mnateseka na kulialia.?
 
Uo ujinga ndio magufuli hautaki
Wanaolima ni wa vijijini mashambani wa mjini hununua na kutumia toka shamba
Ebu twambia
Nani Mnunuzi anayetwangwa hapo kama sio wakazi wa mjini hata kuuza nje ya nchi mkulima hauzi nje.anayeangalia bei ni mfanyabiashara sio mkulima
 
Nani kakwambia najua hata kucheza pool? Nani kakwambia uongo huo wa %75 ya watanzania ni wakulima, ina maana mazao yanauzwa kwa asilimia 25 tu? Nani kakwambia kila mkulima analima vyote na kujikidhi na vyote? Tumia akili acha kujiabisha, wenye akili wanajua ninacho kisema.
Kama hujui haya utakuwa Ni mcheza pool table tu na unajidhalilisha tu
 
Wewe mwenyewe huenda ukawa mjinga uko unapigania hotuba za Rais na kuzikosoa badala ya kupanga maisha yako huenda ukawa mzigo Apo baadae wee endelea kulia Lia tu Rais yup dunian Ana wanunulia chakula wananch?
 
Wanunuaji ndio hao hao watumishi wa umma wanaopigishwa kwata la nyongeza za mishahara kwa miaka minne kavu makato ya bodi ha mkopo kodi n.k
Watumishi was umma wapi unaowaongelea wewe mkuu? Mimi ni mtumishi wa umma hapa nilipo nagunia zangu mia za mahindi na mpunga ,nasubiri bei ipande niuze halafu wewe unaleta ngonjera

Safi sana jpm,mwaka huu kama mahindi yatapanda ni wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema la maana mbona nyie mnatuuzia vitu bei juu? Yaan tutawatwanga haswa alaaaaa
 
Misimu karibu miwili mfurulizo wakulima tulishindwa kumudu ghalama za kilimo/pembejeo kwasababu ya soko baya Sana. Lkn sikuona mtu anawatetea wakulima
Sasa Kama bei itakua nzuri msimu huu itakua zamu ya mkulima kunufaika
Sasa hayo matamko yake analeta ya nini!? Yeye ana akili kuliko wakulima wote wa Tz ambao wamelima miaka yote? Yeye aende akachunge zake ng'ombe huko . Kwani maana ya nguvu ya soko kuamua bei kutokana na uhitaji na upatikanaji wa bidhaa haipo? Kwani yale maagizo yake uchwara ya bei za sukari si yalifeli kwa sababu ya nguvu ya soko, au amejisahaulisha? Okay, nimekumbuka , yeye analetewa sukari , hajui bei, mwache aendelee na.jeuri ya kulia kivulini. Mkumbusheni hilo na ule utopolo wa kwenye korosho, eti nitanunua korosho kwa 3500, mbona alichemsha?
 
We we uctukumbushe hlo
Sasa hayo matamko yake analeta ya nini!? Yeye ana akili kuliko wakulima wote wa Tz ambao wamelima miaka yote? Yeye aende akachunge zake ng'ombe huko . Kwani maana ya nguvu ya soko kuamua bei kutokana na uhitaji na upatikanaji wa bidhaa haipo? Kwani yale maagizo yake uchwara ya bei za sukari si yalifeli kwa sababu ya nguvu ya soko, au amejisahaulisha? Okay, nimekumbuka , yeye analetewa sukari , hajui bei, mwache aendelee na.jeuri ya kulia kivulini. Mkumbusheni hilo na ule utopolo wa kwenye korosho, eti nitanunua korosho kwa 3500, mbona alichemsha?
 
Sidhani kama ana maana hiyo ya moja kwa moja bali katumia usemi tu
Yaani mkalime wengi
 
Wakulima wanaumizwa sana bandugu! Tatizo wao wenyewe ndio huwa wanauza mazao hata kabla kulima kwa hiyo suala la bei ni KIMBEMBE.
 
Hahahahah.tuliolima mahind mwaka huu tunakenua tuu ..hiiiiiiii
 
Badala ya kupigania wananchi wasife njaa, Rais wetu anataka tupate tabu ya chakula na kununua kwa bei ya juu. Kasema,-

“Niwaombe wakulima, msiuze chakula kwa bei ya chini, mwaka huu na mwaka unaokuja si mzuri sana, sasa tutunze chakula, na kama tunaamua kuuza basi tuuze kwa bei ya juu sana, watwangeni sana” Rais Magufuli
#IkuluChamwino

Rais wa kweli anapigania wananchi wote wawe na maisha mazuri, wale vizuri, wavae vizuri, wawe na afya nzuri, lakini rais huyu anafanya kinyume cha yote na kuweka pesa za kodi mbele, kuanzia afya zetu mpaka makazi yetu, sababu bei ya juu ya chakula itatufanya tushindwe kulipa kodi za nyumba na matibabu hasa kwenye nchi isyopima korona.
Kweli wewe ni KILAZA. Period and period.
 
Back
Top Bottom