Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

Tatizo lenu mnachukua ka sentensi kamoja ka Rais mnaanzishia hoja ndio maana mnazidi kupwaya

Rais alikuwa anazungumzia kuwapiga bei wale walio ji lockdown wakati wa Corona akimaanisha Nchi jirani

Kuna ubaya gani kuhamasisha Raia wako kuwapiga bei ya Juu nchi za jirani ili kuimarisha uchumi wao?

Na hayo maneno unayosema umeyanukuu au ni uelewa wako?? Mkulima mdogo wa mahindi Iringa anauzaje mahindi Kenya?? Acha unazi mkuu, sio kila hali mbaya ni fursa. Kuwa na morals!!
 
Bwana Mapigano CR bora kuwahi kutokea katika chuo cha SUA, sina cha kuongea hapo.
 
Michango mizuri sana ya wadau.
Ngoja nisubiri vilaza waje niwasikie nawao watasemaje.
 
Tatizo lenu mnachukua ka sentensi kamoja ka Rais mnaanzishia hoja ndio maana mnazidi kupwaya

Rais alikuwa anazungumzia kuwapiga bei wale walio ji lockdown wakati wa Corona akimaanisha Nchi jirani

Kuna ubaya gani kuhamasisha Raia wako kuwapiga bei ya Juu nchi za jirani ili kuimarisha uchumi wao?
Kwa akili zako za kimbuzimbuzi unafikiri bei zikipanda huko nchi jirani wew huku nyumbani utabaki salama? Au nyie CCM mna maduka yenu special kuwauzia Watanganyika bei elekezi
 
Ukiwa na hela unaweza hata nunua gunia kwa 1m.

Sasa waache wakulima waingie mtegoni wao watakuja kuuziwa gunia kwa 2m.

Nawashauri watumie busara,wasije ingia mtegoni kwa kauli hizi.

Mfano mzuri ni bei za sukari na upatikanaji wake.
....ongezea na kauli ya korosho.
 
Rais anashindwa kuelewa kwamba wakulima wengi Tanzania wanakuwa wameshauza mazao yao tangu yakiwa shamba.
 
Hii thinking sijui ni ya aina gani, unachagiza wakulima wauze mazao bei wanayotaka wakati unabana watumishi wasipewe mishahara wanayotaka. In essence unataka kuwaua watumishi na njaa kwa sababu hawatamudu kununua chakula kuweza kukidhi mahitaji ya familia kwa mwezi mzima.......kuna yule waziri sijui anaitwa wasunga yeye kazi yake ni kubwatuka kila kitu anachoongea....sina uhakika kama anatumia hata akili yake ku-analyze.....safari hii tumepatikana..
 
Rais anashindwa kuelewa kwamba wakulima wengi Tanzania wanakuwa wameshauza mazao yao tangu yakiwa shamba.
Anashindwa kuelewa kinachofanyika ni kuwanufaisha wafanyabiashara na madalali, kwa sababu mkulima anakuwa ameshauza mazao tangu yakiwa shambani kwa bei cheee...
 
Tatizo lenu mnachukua ka sentensi kamoja ka Rais mnaanzishia hoja ndio maana mnazidi kupwaya

Rais alikuwa anazungumzia kuwapiga bei wale walio ji lockdown wakati wa Corona akimaanisha Nchi jirani

Kuna ubaya gani kuhamasisha Raia wako kuwapiga bei ya Juu nchi za jirani ili kuimarisha uchumi wao?
Kwani ilikuwa ni lazima aseme vitu obvious?
 
Bei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.

Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.

Je, hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?

View attachment 1464087
ukitaka ku make sense kwenye kauli za viongozi chini ya awamu hii utasubiri sana mkuu!
 
Kwa hiyo zile kelele zenu za kuwapatia Wakulima bei nzuri za mazao ni za kinafiki sio?
Kwa akili zako za kimbuzimbuzi unafikiri bei zikipanda huko nchi jirani wew huku nyumbani utabaki salama? Au nyie CCM mna maduka yenu special kuwauzia Watanganyika bei elekezi
 
Nimesitisha kuuza mahindi nasubiri Bei yangu nitakayoamua
IMG_20200529_102203_477.jpg
 
Hata vyakula vipande vipi wamjini hawawezi kufa kwa njaa. Mkulima anamateso kuliko mlaji. Mlaji ni starehe tuu hajui jua Kali, mvua kuzidi, mashamba kkuharibiwa na wadudu, wanyama, hadha yaviatilifufu feki
 
Swali kwa mtoa mada , ushawahi kulima? Unajua adha ya kulima? Acha kuanzisha nyuzi za ajabu , wakulima wanaumia sana kwa bei zikiwa chini, wacha watu wapandishe bei wafaidi matunda ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya mkulima huwa haina uhakika inategemea na mazao amepataje.....

Ardhi wewe uliilipa kiasi gani kukupa hayo mazao......?!
 
Back
Top Bottom