Kiongozi bora wa muda wote Simba

Huyu ni simba wa Yuda aliyetajwa kweli?

Hapanaaaa
 
HASANI DALALI......!

'Mo Arena' Ya Sasa ...Yeye na Wenzake Wakati huo ndio walikuja na JAPO wazo la Kutafuta sehemu ya ile....!

Kwa Utopolo Wazo La Uwanja Kule Kigamboni Alilileta 'Makonda' JAPO watabisha...! Ndo hivyo!
 
Sijui imekuaje Leo. Nimejikuta namkumbuka huyu mwamba.View attachment 2173199
Huyu huyu aliyeidai Simba Chapati zake? Aiseee........yaani kusema yupo tayari kufa kwaajili ya mikia unaona ndiyo kiongozi bora?

Hawa ndiyo wanaorudisha nyuma hizi timu za Kkoo,maana zinawalisha na familia zao.

Mrudishieni Chapati zake Mwina Seif Kaduguda
 
Alizuia vifaa vyote vya mazoezi mbaka arudishiwe hela zake za chapati. Viongozi ilibidi watafute hela ya kumrudishia ndio akaachia vifaa vya timu. Kwasasa ni kiongozi tegemeo pale Msimbazi.
 
Kwenye uongozi wa huyu jamaa kulikua na amsha amsha Sana leo waskia hivi kesho vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…