Kiongozi kutumia siku 3 kwenye matamasha katika nchi yenye changamoto kibao, tutafika kweli?

Muda mwingine maisha hayataki userious sanaaa...
 
Kqjitahidi kubrand icho kijiji lakini waapi
 
Chukua haraka ticket Kilimanjaro fast ferries au Zanfast ferries ukajionee
 
Hatufiki ng’o tumkatae yeye na CCM yake wanatuharibia nchi.
 
LIHYUNI KWENYE VIWANGO VYA KINATAIFA
 
Hatufiki. Hakuna kiongozi hapa wananchi wajue hivyo
 
Hii si ndio Ile KAZI NA BATA mliyoitaka? Sasa Si ndio anaonyesha mfano wake Ili mfuate?
 
Nchi kwa sasa inaongozwa na Abdul na Mchengerwa, wengine ni wasaidizi tu
 
Nasikia Boeing yetu imeenda kutambulishwa huko, Tanganyika muhimu sana kwa sasa,
 
Mwanamke si kiumbe wa kukiamini.
 
Na icho ndio anacho weza chura!! Raia w Tanganyika uko ngorongoro wanakua wakimbizi yy anacheza kigodoro tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…