Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
BIGOTRYHao viumbe wa Visiwani urojo umewaharibu sana. Hawajawahi kuwa serious hao kwenye mambo yao.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BIGOTRYHao viumbe wa Visiwani urojo umewaharibu sana. Hawajawahi kuwa serious hao kwenye mambo yao.
Muda mwingine maisha hayataki userious sanaaa...Kiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua.
Technically, Kiongozi wa aina hii lazima awe na muda wa kukaa kutafakari. Cha kushangaza unakuta Kiongozi Mkuu wa nchi fulani anakaa kuadhimisha matamasha kwa siku zaidi ya tatu kwa nchi yenye changamoto za kutosha. Kwa mwenendo huu safari ni ndefu. Akimaliza hapo ni warsha, kongamano, uzinduzi na ziara.
Lini mwanamke akawa seriaz
Mambo mengine tunajikose wenywewe wanaume
Huwezi kuwa na akili timamu ukaweka mke kuwa msimamizi .
Mwinyi alikuwa wa Pwani lakni alijiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani lkn mawaziri wa nyanda za juu kusini wagumu kujiuzuluKiongozi ni mtu wa visiwani.....unadhani unaweza kumtoa kwenye taarabu kirahisi
Hatufiki ng’o tumkatae yeye na CCM yake wanatuharibia nchi.Kiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua.
Technically, Kiongozi wa aina hii lazima awe na muda wa kukaa kutafakari. Cha kushangaza unakuta Kiongozi Mkuu wa nchi fulani anakaa kuadhimisha matamasha kwa siku zaidi ya tatu kwa nchi yenye changamoto za kutosha. Kwa mwenendo huu safari ni ndefu. Akimaliza hapo ni warsha, kongamano, uzinduzi na ziara.
LIHYUNI KWENYE VIWANGO VYA KINATAIFAKiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua.
Technically, Kiongozi wa aina hii lazima awe na muda wa kukaa kutafakari. Cha kushangaza unakuta Kiongozi Mkuu wa nchi fulani anakaa kuadhimisha matamasha kwa siku zaidi ya tatu kwa nchi yenye changamoto za kutosha. Kwa mwenendo huu safari ni ndefu. Akimaliza hapo ni warsha, kongamano, uzinduzi na ziara.
Hatufiki. Hakuna kiongozi hapa wananchi wajue hivyoKiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua.
Technically, Kiongozi wa aina hii lazima awe na muda wa kukaa kutafakari. Cha kushangaza unakuta Kiongozi Mkuu wa nchi fulani anakaa kuadhimisha matamasha kwa siku zaidi ya tatu kwa nchi yenye changamoto za kutosha. Kwa mwenendo huu safari ni ndefu. Akimaliza hapo ni warsha, kongamano, uzinduzi na ziara.
Aje alie kwa uchungu mnamsema mamaake😪kazi kweli kweli
ngoja luca aje hapa
Nchi kwa sasa inaongozwa na Abdul na Mchengerwa, wengine ni wasaidizi tuKiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua.
Technically, Kiongozi wa aina hii lazima awe na muda wa kukaa kutafakari. Cha kushangaza unakuta Kiongozi Mkuu wa nchi fulani anakaa kuadhimisha matamasha kwa siku zaidi ya tatu kwa nchi yenye changamoto za kutosha. Kwa mwenendo huu safari ni ndefu. Akimaliza hapo ni warsha, kongamano, uzinduzi na ziara.
Kaz gni amefanya hangaya kuuza bandar I na ngorongoroAcheni Nongwa jamani.
.mtu anafanya kazi kila siku basi hata siku moja moja asiburudike?
Mwanamke si kiumbe wa kukiamini.Kiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua.
Technically, Kiongozi wa aina hii lazima awe na muda wa kukaa kutafakari. Cha kushangaza unakuta Kiongozi Mkuu wa nchi fulani anakaa kuadhimisha matamasha kwa siku zaidi ya tatu kwa nchi yenye changamoto za kutosha. Kwa mwenendo huu safari ni ndefu. Akimaliza hapo ni warsha, kongamano, uzinduzi na ziara.
Mbaguzi mkubwa wewe...Nasikia Boeing yetu imeenda kutambulishwa huko, Tanganyika muhimu sana kwa sasa,
Hukiamini kimekuzaa...Mwanamke si kiumbe wa kukiamini.