Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
"Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anawapenda Sana ndio maana aliwaruhusu Mawaziri 8 kuja na kuwatangazia kuishi kwenye maeneo yenu lakini Kiongozi mmoja wa Mkoa anaonekana kuanza kupinga Agizo la timu ya Mawaziri 8 kwamba Miradi isiletwe kwenu huku Huku akijua kuna Shule, Zahanati" - Mhe. ALOYCE KWEZI
"Rais ametupatia Mradi wa Maji wa milioni 440 na Ujenzi wa Daraja la Mto Ugala umewekwa kwenye bajeti. Nawathibitishia Niko pamoja nanyi na Tamko la Mawaziri 8 Halijafutwa" - Mhe. ALOYCE KWEZI.