Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hapa Kito bar!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
“Tulianza kumtafuta, lakini maelezo tuliyopata Hanje alichukuliwa saa 3:00 asubuhi na kiongozi aliyekuja gerezani akishirikiana na mbunge wa zamani wa viti maalum Dodoma,walioondoka naye, tulijibiwa hawapo na Hanje.”Huyo mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Dodoma alitumwa na nani kwenda kuwasubiri kina Hanje wakitoka gerezani?
Nani wenye mamlaka ya kuwatoa hao jamaa gerezani? jibu ni serikali.
Kwahiyo inaonekana huyo mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Dodoma alipokea maelekezo toka kwa kiongozi wa serikali aende gerezani hawa jamaa wangetolewa.
Hivyo inaonekana hapa kwamba, kuna viongozi wa ngazi za chini wa Chadema waliojua mpango huu, bila kuwashirikisha viongozi wote wa makao makuu.
Kiongozi pekee wa juu aliyejua mpango huu toka mwanzo ni Mdee akiwa kama mwenyekiti wa Bawacha, na ndie alishiriki kuwakusanya wengine wakaenda bungeni kuapa kwa siri, kumbe ndio maana mwishowe akaibusu picha ya mwendazake ile siku ya kumuaga sababu alikuwa msiri wake.
Kulingana na maelezo hayo hapo juu, ndio nimeanza kupata picha kuhusu ile forgery, aulizwe Mdee naamini atakuwa na maelezo sahihi ya kutosha kuitolea majibu.
Umesoma taarifa iliyoletwa hapa, au umekuja na majibu yako ya kukariri?niliandika juzi '…Maadui wakubwa wa Chadema wapo Kamati kuu ya Chadema…'
uratibu wa kupata majina ya Wabunge 19 ulifanywa ndani ya Kamati kuu japo inawezekana nje ya vikao rasmi
japo wenyewe wapo busy kupambana na Zitto na Dr Slaa
Chadema ikitaka kujiiimarisha said inabidi 'ishushe engine' ya Kamati kuu na kupandisha upya
Inafikirisha nini?“Tulianza kumtafuta, lakini maelezo tuliyopata Hanje alichukuliwa saa 3:00 asubuhi na kiongozi aliyekuja gerezani akishirikiana na mbunge wa zamani wa viti maalum Dodoma,walioondoka naye, tulijibiwa hawapo na Hanje.”
Hii sentensi ndiyo inafikirisha sana wakipatilana hawa wataeleza hata removal order iliandikwa na nani kwa maelekezo ya nani.
Hao mbona wameshajulikana, ndio waliwezesha usaliti wa wakina Mdee kutendeka kwa Chadema.“Tulianza kumtafuta, lakini maelezo tuliyopata Hanje alichukuliwa saa 3:00 asubuhi na kiongozi aliyekuja gerezani akishirikiana na mbunge wa zamani wa viti maalum Dodoma,walioondoka naye, tulijibiwa hawapo na Hanje.”
Hii sentensi ndiyo inafikirisha sana wakipatilana hawa wataeleza hata removal order iliandikwa na nani kwa maelekezo ya nani.
AMENMagufuri alivyoichafua nchi yetu ni SAWA na kunya mavi sebuleni.
Hayo yote ni makovu ya uchaguzi wa 2020.
Tushukuru mungu kuingilia kati.
Huyo kiongozi aliyetokea ndani ya gereza ni nani na mbunge wa zamani wa viti maalumu Dodoma ni nani ukiwajua hao mchoro mzima utajulikana.Inafikirisha nini?
niliandika juzi '…Maadui wakubwa wa Chadema wapo Kamati kuu ya Chadema…'
uratibu wa kupata majina ya Wabunge 19 ulifanywa ndani ya Kamati kuu japo inawezekana nje ya vikao rasmi
japo wenyewe wapo busy kupambana na Zitto na Dr Slaa
Chadema ikitaka kujiiimarisha said inabidi 'ishushe engine' ya Kamati kuu na kupandisha upya
Hapo ndio unaona umecheza mind game ya hatari, na unaamini tutapotea maboya kweli. Nimecheeeka.
Umeambiwa ALIYEWAHI KUWA KIONGOZI..... And that can be anyone from Mashinji to Patrobas or whatever sasa Kamati kuu inaingiaje?niliandika juzi '…Maadui wakubwa wa Chadema wapo Kamati kuu ya Chadema…'
uratibu wa kupata majina ya Wabunge 19 ulifanywa ndani ya Kamati kuu japo inawezekana nje ya vikao rasmi
japo wenyewe wapo busy kupambana na Zitto na Dr Slaa
Chadema ikitaka kujiiimarisha said inabidi 'ishushe engine' ya Kamati kuu na kupandisha upya
Kwa utawala ule lolote linawezekana.Nani huyo? Gazeti la Mwananchi.
Mratibu wa uhamasishaji wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Twaha Mwaipaya-- ambaye aliachiwa pamoja na Nusrat, anasimulia jinsi walivyotolewa gerezani saa 1 jioni.
Nusrat, Mwaipaya na wenzao walikuwa gereza la Isanga Dodoma wakishtakiwa kwa tuhuma za kufanya mkusanyiko usio halali, kudhihaki wimbo wa Taifa, kujaribu kuvujisha siri za halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida na kutoa lugha za kuudhi.
Mwaipaya alisema baada ya kutoka gerezani walifanya mawasiliano na Aisha Madoga ambaye ni mwenyekiti wa baraza hilo wa Mkoa Dodoma ili kumjulisha kuwa wapo huru.
“Tulisubiri muda wa dakika 20. Mtu wa kwanza kuja alikuwa (jina limehifadhiwa) aliyewahi kuwa kiongozi wa Chadema, akitokea ndani ya lango la gereza,” alisema.
“Mimi na wezangu tulishangaa sana kumuona kiongozi huyo na tulimuuliza kumbe hakuwa mbali? Akajibu alikuwa na fununu kuwa tutaachiwa, lakini hakumwambia mtu yeyote ndiyo maana ‘nipo hapa’.”
Mwaipaya alisema kiongozi huyo aliwachukua na kuwapeleka hoteli iliyopo eneo la Kito kwa ajili ya kupata chakula cha pamoja na baadaye Madoga aliwasili.
Alisema baadaye Hanje aliomba kuondoka na mwenyekiti huyo Bavicha mkoa wa Dodoma ili akapumizike.
“Hatukuwa na wasiwasi kwa sababu wote ni wanawake. Hatukuona haja kumzuia, lakini niliagiza Bavicha jimbo la Dodoma kufanya jitihada za kuhakikisha usalama wa Hanje. Walikwenda hadi nyumbani kwa Madogo. Walivyofika Hanje aliomba akampumzike hotelini kutokana na hali ya taharuki aliyokuwa nayo.
“Akapelekwa hotelini na kuhifadhiwa hapo pamoja na kuwekewa ulinzi wa siri na Bavicha. Kesho yake nilimpigia simu Hanje kupitia kwa Madoga, lakini niliambiwa ameshatoka hotelini na hajulikani alikoelekea,” alisema Mwaipaya.
“Tulianza kumtafuta, lakini maelezo tuliyopata Hanje alichukuliwa saa 3:00 asubuhi na kiongozi aliyekuja gerezani akishirikiana na mbunge wa zamani wa viti maalum Dodoma, walioondoka naye, tulijibiwa hawapo na Hanje.”
Alisema jambo hilo lilizua taharuki kwa Chadema lakini baadaye taarifa zikianza kusambaa kuwa wanachama 19 wangeapa kuwa wabunge wa viti maalum, jambo lililoishtua Bavicha.
Huyo atakuwa Katambi tu😀😀Umeambiwa ALIYEWAHI KUWA KIONGOZI..... And that can be anyone from Mashinji to Patrobas or whatever sasa Kamati kuu inaingiaje?
Kamati kuu haijawahi kuwa na mpasuko hata siku moja otherwise Siku Dr Slaa anaondoka ama Zitto anafukuzwa chama kingepasuka kati kwa kati
Umeambiwa ALIYEWAHI KUWA KIONGOZI..... And that can be anyone from Mashinji to Patrobas or whatever sasa Kamati kuu inaingiaje?
Kamati kuu haijawahi kuwa na mpasuko hata siku moja otherwise Siku Dr Slaa anaondoka ama Zitto anafukuzwa chama kingepasuka kati kwa kati
Hoja zako ni za kudhani..... unasema baadhi ya wake kina nani hao ambao unadhani waume zao walikuwa aware.unajua kuwa baadhi ya wake wa wajumbe wa Kamati kuu ni miongoni mwa Wabunge hao?
ina maana Waume zao hawakuwa aware na mchezo huo?
ukiwa too emotional huwezi elewa ila naheshimu hisia zako kwny suala hili
Mzee K alininyima kupanunua hapo.Hapa Kito bar!!
niliandika juzi '…Maadui wakubwa wa Chadema wapo Kamati kuu ya Chadema…'
uratibu wa kupata majina ya Wabunge 19 ulifanywa ndani ya Kamati kuu japo inawezekana nje ya vikao rasmi
japo wenyewe wapo busy kupambana na Zitto na Dr Slaa
Chadema ikitaka kujiiimarisha said inabidi 'ishushe engine' ya Kamati kuu na kupandisha
Hata Dr Tlaa alimkuta Mushumbusi pale pale Ufipa.Kumbe kuna fursa za wachumba mle!Makatibu wakuu wa Chadema huwa wanajiolea hapo hapo Ufipa
Gelo frendi wangu wa zamani alikuwa na tabia kama ya huyo na wenzake! Hata aende kwa pilato ni NO!Aliyewahi kuwa kiongozi wa Chadema. Nani huyo? Gazeti la Mwananchi.
=========================