Kiongozi mkubwa wa CHADEMA alikuwa na fununu ya kutolewa kwa Nusrat gerezani

“Tulianza kumtafuta, lakini maelezo tuliyopata Hanje alichukuliwa saa 3:00 asubuhi na kiongozi aliyekuja gerezani akishirikiana na mbunge wa zamani wa viti maalum Dodoma,walioondoka naye, tulijibiwa hawapo na Hanje.”

Hii sentensi ndiyo inafikirisha sana wakipatilana hawa wataeleza hata removal order iliandikwa na nani kwa maelekezo ya nani.
 
Umesoma taarifa iliyoletwa hapa, au umekuja na majibu yako ya kukariri?

Kamati Kuu inaingia vipi hapo?

Nakuona unahangaika kujiliwaza ulivyoandika; "uratibu wa kupata majina ya wabunge 19 ulifanywa na KK, japo inawezekana nje ya vikao rasmi"

Ulichoandika hapo juu ni sawa na kupiga ramli tu.
 
Inafikirisha nini?
 
Hao mbona wameshajulikana, ndio waliwezesha usaliti wa wakina Mdee kutendeka kwa Chadema.
 
Sema tu ni kwamba CCM haina mshipa wa aibu, lakini hili suala kwa mtu mwaminifu kabisa kabisa ni aibu, ni aibu kubwa saana.
 

Hapo ndio unaona umecheza mind game ya hatari, na unaamini tutapotea maboya kweli. Nimecheeeka.
 
ndio uhuru wa kidemokrasia

Wewe ukicheka, mwingine anatukana, mwingine anakasirika mwingine anapuuza

Mashabiki serious wa Siasa za Nchi hii nawahurumia sana

Hapo ndio unaona umecheza mind game ya hatari, na unaamini tutapotea maboya kweli. Nimecheeeka.
 
Umeambiwa ALIYEWAHI KUWA KIONGOZI..... And that can be anyone from Mashinji to Patrobas or whatever sasa Kamati kuu inaingiaje?

Kamati kuu haijawahi kuwa na mpasuko hata siku moja otherwise Siku Dr Slaa anaondoka ama Zitto anafukuzwa chama kingepasuka kati kwa kati
 
Kwa utawala ule lolote linawezekana.
 
Huyo atakuwa Katambi tu😀😀
 
unajua kuwa baadhi ya wake wa wajumbe wa Kamati kuu ni miongoni mwa Wabunge hao?

ina maana Waume zao hawakuwa aware na mchezo huo?

ukiwa too emotional huwezi elewa ila naheshimu hisia zako kwny suala hili
 
unajua kuwa baadhi ya wake wa wajumbe wa Kamati kuu ni miongoni mwa Wabunge hao?

ina maana Waume zao hawakuwa aware na mchezo huo?

ukiwa too emotional huwezi elewa ila naheshimu hisia zako kwny suala hili
Hoja zako ni za kudhani..... unasema baadhi ya wake kina nani hao ambao unadhani waume zao walikuwa aware.
 
Huna hoja
 
Gelo frendi wangu wa zamani alikuwa na tabia kama ya huyo na wenzake! Hata aende kwa pilato ni NO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…