Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

Dive

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
895
Reaction score
1,489
Kuna habari zimeenea kuwa kuna kiongozi mmoja mkubwa wa upinzani nchini Tanzania amenunuliwa aende CCM. Kwa kuangalia upepo wa mambo namuona mpare ndugu JAMES MBATIA aliyekuwa NCCR Mageuzi. Japo ni tetesi na zitakuja kuwa kweli naiweka CV yake hapa.

pic+mbatia.jpg


JAMES MBATIA PROFILE

James Francis Mbatia was born on 10th June 1964 in Tanzania. He is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and member of parliament for Vunjo constituency.

James Mbatia Education Background
2007 – 2009: Diploma in International Civil Engineering Management, University of Hanze-Netherlands.
2008: Certificate in Basic Elements of Safety and Health, University of Hanze-Netherlands.
1987 – 1992: Degree in Civil Engineering, University Of Dar es Salaam ( Not Completed)
1984 – 1986: “A” Level, Tambaza Secondary,Dar es Salaam
1980 – 1983: “O” Level, Kilimanjaro Boys, Kilimanjaro
1973 – 1979: Primary Education, Iwa-Kirua Vunjo,Moshi.

James Mbatia Political Career
2012 – 2015: Nominated Member of Parliament.
Since 2000: National Chairman, NCCR-Mageuzi.
1995 – 2000: Member of Parliament for Vunjo constituency
1994 – 2000: Secretary Department of Organization and Election, NCCR-Mageuzi
1992 – 1994: National youth chairman,

NCCR-Mageuzi.
 
Ni haki yake iwe bure au kwa malipo. Siasa ni maslahi zaidi kuliko harakati
 
Nina ushahidi wa kutosha haikuwa bahati mbaya yeye kuteuliwa kuwa mbunge kutoka kwenye chama cha NCCR na Kikwete.
Hata Jussa wa CUF na sasa hivi ACT alishawahi kuteuliwa na Dkt Kikwete

Unajua chanzo cha Mbatia kuanza kuhisiwa ni TISS?

Mwanzoni mwa Miaka ya 2000 alipatiwa Flat ya kuishi ya NSSF Mbezi Beach Makonde na aliekuwa DG wake Dr Dau

Gari yake ilisajiliwa sambamba na Gari Mia moja za Usalama ambazo zilikuwa na Plate number zinazoanzia na TZR , ( Gari nyingi za TISS wakati huo zilikuwa TZR) sasa Wazee wa Mjini tukashangaa Gari yake ikapewa plate number ( -TZR....) sambamba na za kijitonyama watu wakahisi kapewa na Mfumo kumbe na Dada yake anaeishi Duniani

Kwa hiyo Puuzeni tetesi na Uvumi wowote wa kumhusisha Mh. Mbatia na mambo hayo
 
Back
Top Bottom