Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

Yericko huyuhuyu kilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 eti kilaza!!

Nikukumbushe kitu zamani system nilikuwaa sijui kama inaendelea sasa lazima aidha afukuzwe chuo asimalize halafu anakuwa kama depressed kumbe ndio wale wale,usishangae siku dogo Abdul ni wale wale mkuu.

Mbona ujamshuku mzee wa elimu ya hapa na pale mkuu?
 
..Mbatia alifukuzwa chuo kikuu wakati wa utawala wa Raisi Mwinyi kwasababu alikuwa ktk ya viongozi walioongoza mgomo wa wanafuzi wa udsm.

..na alifukuzwa akiwa amebakisha mwaka 1 amalize shahada yake ya uhandisi chuo kikuu Dsm.

..pamoja na kuomba arejee kumalizia masomo yake serekali ilimkatalia.
Ndio style
 
Umemtendea kitu kibaya sana mh Mbatia kwa kuamua kumlisha jambo ambalo huna uhakika nalo
Kuna habari zimeenea kuwa kuna kiongozi mmoja mkubwa wa upinzani nchini Tanzania amenunuliwa aende CCM. Kwa kuangalia upepo wa mambo namuona mpare ndugu JAMES MBATIA aliyekuwa NCCR Mageuzi. Japo ni tetesi na zitakuja kuwa kweli naiweka CV yake hapa.

View attachment 1074059

JAMES MBATIA PROFILE

James Francis Mbatia was born on 10th June 1964 in Tanzania. He is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and member of parliament for Vunjo constituency.

James Mbatia Education Background
2007 – 2009: Diploma in International Civil Engineering Management, University of Hanze-Netherlands.
2008: Certificate in Basic Elements of Safety and Health, University of Hanze-Netherlands.
1987 – 1992: Degree in Civil Engineering, University Of Dar es Salaam ( Not Completed)
1984 – 1986: “A” Level, Tambaza Secondary,Dar es Salaam
1980 – 1983: “O” Level, Kilimanjaro Boys, Kilimanjaro
1973 – 1979: Primary Education, Iwa-Kirua Vunjo,Moshi.

James Mbatia Political Career
2012 – 2015: Nominated Member of Parliament.
Since 2000: National Chairman, NCCR-Mageuzi.
1995 – 2000: Member of Parliament for Vunjo constituency
1994 – 2000: Secretary Department of Organization and Election, NCCR-Mageuzi
1992 – 1994: National youth chairman,

NCCR-Mageuzi.

In God we trust
 
Kweli naona kama hawajamtendea haki kwa kumlisha kitu ambacho hakuna mwenye uhakika
Hata Jussa wa CUF na sasa hivi ACT alishawahi kuteuliwa na Dkt Kikwete

Unajua chanzo cha Mbatia kuanza kuhisiwa ni TISS?

Mwanzoni mwa Miaka ya 2000 alipatiwa Flat ya kuishi ya NSSF Mbezi Beach Makonde na aliekuwa DG wake Dr Dau

Gari yake ilisajiliwa sambamba na Gari Mia moja za Usalama ambazo zilikuwa na Plate number zinazoanzia na TZR , ( Gari nyingi za TISS wakati huo zilikuwa TZR) sasa Wazee wa Mjini tukashangaa Gari yake ikapewa plate number ( -TZR....) sambamba na za kijitonyama watu wakahisi kapewa na Mfumo kumbe na Dada yake anaeishi Duniani

Kwa hiyo Puuzeni tetesi na Uvumi wowote wa kumhusisha Mh. Mbatia na mambo hayo

In God we trust
 
Umemtendea kitu kibaya sana mh Mbatia kwa kuamua kumlisha jambo ambalo huna uhakika nalo

In God we trust
Naomba uelewe maana ya tetesi mkuu Mmawia kupitia kuconnect dots na kuwaza nje ya box sio kwamba namdefame. Tusubirie ni mwanasiasa mkubwa atajulikana au kuna mtu atakuja kumtaja na itadhihirika hizi tetesi ni ukweli.
 
Back
Top Bottom