Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

Hivyo vyama intelijensia zao ni zero kabisa.Hovyo yani
Kuna mwanga fulani unaonekana haya ndiyo yanaitwa mapandikizi inabidi intelijensia ya hivi vyama ziwe imara bila hivyo sijui wananchi watasubiria sana.
 
Nina wasiwasi na upeo wenu wa kupambanua mambo

Ni kitu gani kinaonesha Mbatia ni tiss
Kufukuzwa chuo?

Nonsense!

Halafu mbatia alipofukuzwa chuo alifungua kesi na kuishinda serikali na mahakama ikaamuru arudishwe chuoni, alipoandikiwa barua ya kurudishwa, akakataa kurudi.

Sio kweli kwamba aliomba kurudishwa chuoni serikali ikakataa.
Easy easy mkuu.

Hapa ni kisima cha mawazo uhuru kila mtu anachangia kwa kile anajua,sasa wazo lako au langu sio conclusion na kubeza mtu kwamba ana upeo mdogo si neno sahihi,jaribu kuwa msikivu hata kwa hao wenye upeo mdogo ukichanganya labda wewe mwenye upeo mkubwa utafika mbali ila mbona kama umepanic mkuu?
 
Mnataka kutuhamisha ili tusiendelee kuhoji madudu yaliyovumbuliwa na CAG? Tumewastukia
 
a nondo ni mtoto wa mwewe Nina uhakika 100% kwasababu Nina watu umweweni na Getini
 
Hivi kumbe mshkaji hajawahi kufanyakazi sehemu yeyote baada ya masomo??

Yani aliingia kwenye siasa moja kwa moja?
Una maana gani. Kufanya kazi mpaka uwe mtumishi wa serikali?
 
Mzee Mbatia hana impact kwenye siasa za hivi karibuni ..... ahame asihame yote kheri.
 
Hata Jussa wa CUF na sasa hivi ACT alishawahi kuteuliwa na Dkt Kikwete
Unajua chanzo cha Mbatia kuanza kuhisiwa ni TISS?
Mwanzoni mwa Miaka ya 2000 alipatiwa Flat ya kuishi ya NSSF Mbezi Beach Makonde na aliekuwa DG wake Dr Dau
Gari yake ilisajiliwa sambamba na Gari Mia moja za Usalama ambazo zilikuwa na Plate number zinazoanzia na TZR , ( Gari nyingi za TISS wakati huo zilikuwa TZR) sasa Wazee wa Mjini tukashangaa Gari yake ikapewa plate number ( -TZR....) sambamba na za kijitonyama watu wakahisi kapewa na Mfumo kumbe na Dada yake anaeishi Duniani
Kwa hiyo Puuzeni tetesi na Uvumi wowote wa kumhusisha Mh. Mbatia na mambo hayo

T
Nilitaka nishangae Tanzania kwa viwanda vya uongo hatujambo
 
Back
Top Bottom