KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kinachosikitisha zaidi ni kwa hawa viongozi kufanya wanayofanya wakati huu ambapo yote tuliyodhani wanayapinga yanapozidi kushamiri zaidi huko wanakokwenda.
Hili ni jambo la kusikitisha kama ni kweli Mbatia naye, kama Dr Mihogo, na yeye anaelekea huko!
Lakini huu sio wakati wa kukaa chini na kulialia. Mapambano na yaendelee. Nchi hii haina upungufu wa wazalendo wa kweli.