Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kuna wakati unakuwaga na akli sana ..ila somtyme sjui huwa unamuazimisha nani..ahsante kwa kutambua kuwa CCM ni zaidi ya chama cha siasa....neno chama kwa CCM ni geresha tuuu..hyo ni dola usishangae kusikia hata Trump ni member wa CCM
Ccm dola imeshakata pumzi, vijana mnaoendelea kuwapa vijiti nao hawaelewi wasimamie wapi. Kizazi kimebadilika, kizazi hiki hakiamini tena habari ya mwenge wa uhuru na matambiko ya muungano.