Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila kwa same yetu hasa mashariki hapana kiongozi mama kaboyoka hatufai kabsa ,nenda magharibi kiasi David amejitahid kwa kiasi fulani, barabar ya same chome ,vudee ameiboresha , ukija same hadi kisiwan barabar ipo vizur nenda mashariki barabar zake dake ni tabu sana
 
Huyu hajaanza leo,alinunuliwa na ccm toka zamani na ndio alisababisha kura za maruhani za huko pemba wakati wa marehemu seif sharrif hamad
 
Kuna huyu na yule wa ACT WASALITI WOTE WAANIKWE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Amebaki Malando,Saidi kubenea, Ester bulaya na Yeriko nyerere.

List ni ndefu sana ila wakiondoka hao upinzani kwaanza kushamili kiasi.
KWA bulaya hapo naweza sema ni kweli.
Maana haingii akili mdee akawa ameshikwa akili mpaka akasaliti chama.
Ila yeriko naona unamuonea tu
 
Kuna wakati unakuwaga na akli sana ..ila somtyme sjui huwa unamuazimisha nani..ahsante kwa kutambua kuwa CCM ni zaidi ya chama cha siasa....neno chama kwa CCM ni geresha tuuu..hyo ni dola usishangae kusikia hata Trump ni member wa CCM
CCM ni DINI Si CHAMA Cha siasa. Kama China na Mao.
 
CCM ni DINI Si CHAMA Cha siasa. Kama China na Mao.
Mkuu

"Catholic church movement" ccm

Mzee mmoja aliwahi niambia!!

Nilibisha

Lakini nilipokuja kujua ofisi za idara nyeti zipo st. Peters pale nikaanza kuamini kidogo!!

Labda ni kweli Siamini BADO!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…