Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,368
- 12,964
Me mwenyew sijuiKwani huyu mwamba ni nani, sorry for ask? 🙏
Me mwenyew sijuiKwani huyu mwamba ni nani, sorry for ask? 🙏
Uwongo, trump toka Jana kawaomba Italy wamwambie Iran wayajenge, Iran walikataa, Iran kwa sasa hakuna kiongozi mmoja kama khameneiKIJANA ATAKI KUWAONA MABIKIRA 72 MAPEMA HUKO HAHAHA ANA AKILIII
Wapewe dosi
Walizungumza ijumaa,wakakubaliana j3 wakutane,watu wanajadili na uongozi wa juu minutes za mazungumzo wakashambuliwaWaliamini hakuna vita wakati mameli, Madege, na wanajeshi wametia kambi Bahraini mwezi mzima.
Kweli?
Acha mikwara mbuzi jombis.Ijue mipaka yako, hata watu wenye kiburi kama farao walianguka pia..
Ulikuwepo ama umesimuliwa na Sheikh ubwabwa wakati mnafakamia Futari?Walizungumza ijumaa,wakakubaliana j3 wakutane,watu wanajadili na uongozi wa juu minutes za mazungumzo wakashambuliwa
Tatizo unafuatilia akina maria Sarungi na radio MariaUlikuwepo ama umesimuliwa na Sheikh ubwabwa wakati mnafakamia Futari?
Dogo wee vizia daku achana na wanaume tujadili geopolitics kwa welediTatizo unafuatilia akina maria Sarungi na radio Maria
Wameuliwa zaidi ya wanajeshi 500 Trump hataki wa USA wajuwe anatafuta deal ya haraka haraka. Labda yeye ndiye kuwapigia Uran aongee nao.
Tazana Israel inavyo sambaratishwa
View: https://youtu.be/zbBrhWe9Bpc?si=OuDCF4f4aSLM6TBG
One way or another, but going forward pale Iran ni lazima UTAWALA WA KISEKYULA (Secular Government) wenye kutoa Uhuru wa Kuabudu kwa DINI zote Urudi. Hii ina maanisha kuwezesha Unabii wa Biblia katika Mathayo 24:14 utimie. Ayatollah na Genge lake hawakung'amua hilo; sasa imewagharimu maisha yaoUS President Donald Trump said on Sunday that Iran's new leadership wants to talk to him and that he has agreed.
“They want to talk, and I have agreed to talk, so I will be talking to them. They should have done it sooner. They should have given what was very practical and easy to do sooner. They waited too long,” Trump said in an interview with The Atlantic on Sunday.
Asked whether the conversation would happen today or tomorrow, Trump said, “I can’t tell you that.” He added that some of the Iranians involved in negotiations in recent weeks were no longer alive.
“Most of those people are gone. Some of the people we were dealing with are gone, because that was a big—that was a big hit,” he said. “They should have done it sooner, Michael. They could have made a deal. They should’ve done it sooner. They played too cute.”
kumbe imeshambulia "kambi ya Marekani iyopo Iraq" kwanini wasishambulie Washinton DC ? Yani mabumunda mnaona hayo ni mafanikio kushambulia kajikambi hayo wairae wapeleke mikundyu yao WashintonKwa hiyo kwanza tumekubaliana kuwa Iron Dome, Patriot na THAAD si ya kutegemeka?
Sasa hivi tunavyoongea Iran imeshambulia kambi ya Marekani hapo Iraq
walisema watapiga waliopo, wastaafu na wajao, niambie Ahmedinejad na Mojtaba wako wapi?
Anashambulia pale ambapo vikosi vya adui viko karibu yake, utamruka adui aliye karibu yako uende mbali?kumbe imeshambulia "kambi ya Marekani iyopo Iraq" kwanini wasishambulie Washinton DC ? Yani mabumunda mnaona hayo ni mafanikio kushambulia kajikambi hayo wairae wapeleke mikundyu yao Washinton
Haahaaa vipi unabii wako uchwara umetimia? Yaani ndio maana hawa manabii na mitume wanapiga pesa ikitokea kamgogoro kidogo tu basi ni unabii sasa leo sijui mnaweka wapi sura zenu!!One way or another, but going forward pale Iran ni lazima UTAWALA WA KISEKYULA (Secular Government) wenye kutoa Uhuru wa Kuabudu kwa DINI zote Urudi. Hii ina maanisha kuwezesha Unabii wa Biblia katika Mathayo 24:14 utimie. Ayatollah na Genge lake hawakung'amua hilo; sasa imewagharimu maisha yao
Ahmedinejad mbona msibani alikuwepowalisema watapiga waliopo, wastaafu na wajao, niambie Ahmedinejad na Mojtaba wako wapi?
Hizo ni porojo tu za kujifariji.Anashambulia pale ambapo vikosi vya adui viko karibu yake, utamruka adui aliye karibu yako uende mbali?