Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kupoteza maafisa wa ngazi za juu ndani ya muda mfupi, ndio kushindwa kwenyewe.Base zote wanajeshi wa USA wamekimbia hahaha wengine wanefatwa na drones kwenye mahotel kipi cha kufanya Iran atake kuongea na USA.