Kiongozi Mkuu mpya wa Iran ameomba poo, ataka maongezi na Trump

Kiongozi Mkuu mpya wa Iran ameomba poo, ataka maongezi na Trump

Rais wa Marekani Donald Trump amesema wamefanikiwa kushambulia kusambaratisha na kuzamisha meli 9 kubwa na muhimu za jeshi la wanamaji la Iran.

Kupitia mtandao wake wa Truth Social Trump ameandika kuwa si hivyo tu bali wameweza kushambulia Makao makuu ya Jeshi la wanamaji la Iran.

"Nimejulishwa hivi punde kwamba tumeteketeza na kuzamisha meli 9 za Jeshi la Wanamaji la Iran, baadhi yao zikiwa kubwa na muhimu kiasi.

Tunaendelea kushambulia zilizosalia nao pia hivi karibuni watakuwa wakielea chini kabisa ya bahari". Ameongeza "Katika shambulio tofauti, kwa kiasi kikubwa tuliharibu Makao Makuu ya Jeshi lao la Wanamaji.

Mbali na hayo, Jeshi lao la Wanamaji linaendelea vizuri sana"
 
Nitashangaa sana kama Robert Heriel Mtibeli nae anaamini Iran atatoboa hii vita.

Yaani mtu anaekwambia Iran atashinda ni eidha pro muslim au pro Russia/China kama braza Xi Jinping japo yeye ukiigusa China hakika umemchokoza.

Ila ukiwa timamu ni wazi Iran alishapoteza muda mrefu hii vita hata kabla ya kuianza.
Anashambulia base za USA ambazo zipo kwa majirani zake, turn out anajiingiza kwenye mgogoro na majirani zake pia.

Trump na Mr Nyau wamechanga karata zao vyema, wamempa jina baya Iran, wamemshambulia, wameua viongozi wakuu nk

Ati Iran anatoa onyo tena kua wakirudha kombora tena basi wao watatusha makombora 7000+. Sasa mpaka kiongozi wenu anauawa bado hawatake action zaidi ya matamko!! Ajabu.
Kama Marekani anajiamini adeploy boots on the ground hapo Iran aone

Marekani imefeli lengo lake lilikuwa kuondoa utawala ameshindwa

Mpaka Nyau anaomba eti Wairan waingie mitaani kuandamana, Wahabeshi wamemkataa

Pili kushambuliwa kwa kambi zake hapo Middle East kumeonyesha kuwa Patriot na THAAD ni takataka
 
Mkuu unampangia Mmarekani apigane vipi vita, yaani unaona nikikuchapa kwa drones nashinda halafu nipeleke watu na tech yote hii??

Siwabezi Iran wanajitahidi mno, wana nguvu kwelikweli ila sio za kuwazidi US na Nyau.

Mkuu mpaka sasa tathmini yako ikoje juu ya hii vita??
 
Marekani na Israel wamefeli hawajafikia lengo lao la kuuondoa utawala wa sasa wa Iran.

Na bado IRGC leo wameshambulia Tel Aviv, Miyahudi 9 imekufa
 
Marekani na Israel wamefeli hawajafikia lengo lao la kuuondoa utawala wa sasa wa Iran.

Na bado IRGC leo wameshambulia Tel Aviv, Miyahudi 9 imekufa
sasa wayahudi 9 kufa ikifananishwa na viongozi wakuu wa Irani waliopasuliwa mikundyu na kuwahishwa kunywa pombe side gani imeloose zaidi
 
sasa wayahudi 9 kufa ikifananishwa na viongozi wakuu wa Irani waliopasuliwa mikundyu na kuwahishwa kunywa pombe side gani imeloose zaidi
Kama bado Iran wana uwezo wa kushambulia ndani kabisa ya mipaka ya Israel na kuua Miyahudi wanastahili pongezi. Iron Dome zimefeli

So kufikia hapa tunajifunza kuwa missiles za Iran haziwezi kuzuiwa na Iron Dome, Patriot wala THAAD
 
Screenshot_2026-03-01-22-03-58-085_com.whatsapp~2.jpg
Screenshot_2026-03-01-15-37-06-576_com.whatsapp~2.jpg
Screenshot_2026-03-01-14-50-52-654_com.android.chrome~2.jpg
Screenshot_2026-03-01-14-44-13-910_com.android.chrome~2.jpg
 
Kama bado Iran wana uwezo wa kushambulia ndani kabisa ya mipaka ya Israel na kuua Miyahudi wanastahili pongezi. Iron Dome zimefeli

So kufikia hapa tunajifunza kuwa missiles za Iran haziwezi kuzuiwa na Iron Dome, Patriot wala THAAD
Tuache irone dome vipi mifumo ya ulinzi ya Iran mixa aliyopewa na Russia na bado VIONGOZI WAKUU wamepasuliwa mikundyu, je hiyo mifumo haijafeli ?! Yani kama mikundyu ya viongozi inapasuliwa je mkundyu wa nani upo salama Iran ?
 
Tuache irone dome vipi mifumo ya ulinzi ya Iran mixa aliyopewa na Russia na bado VIONGOZI WAKUU wamepasuliwa mikundyu, je hiyo mifumo haijafeli ?! Yani kama mikundyu ya viongozi inapasuliwa je mkundyu wa nani upo salama Iran
Kwa hiyo kwanza tumekubaliana kuwa Iron Dome, Patriot na THAAD si ya kutegemeka?

Sasa hivi tunavyoongea Iran imeshambulia kambi ya Marekani hapo Iraq
 
Wewe gaidi acha porojo nendeni msibani mkamzike gaidi mwenzenu ameshaenda kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
Unajua wewe ulinichekeshs sana kusema Mtume aliye tabiriwa hajui kusoma ukasema ni Wayahudi huko Jerusalem. Wakati Mtume atakuwa wa upande wa Uarabuni

Isaya 29:12 BHN - “Kisha kitabu hupewa mtu asiye na elimu, ikasema, Tafadhali soma hivi;
Ufafanuzi: Waislamu wanaamini kuwa hii inalingana na uzoefu wa Mtume Muhammad (saww) kwani hakuwa na elimu (Ummi) na alipokea Kurani kupitia ufunuo wa mdomo, sio usomaji rasmi.
Tofauti za Kimuktadha: Wakosoaji wanasema kwamba katika muktadha, Isaya 29 ni unabii kuhusu upofu wa kiroho wa Israeli (Isaya 29:10-13), sio nabii wa baadaye huko Arabia.
Marejeo Nyingine: Baadhi ya tafsiri pia zinaunganisha Isaya 42:1-11—inayomtaja “mtumishi” anayeleta haki kwa Mataifa na anatoka katika vijiji vya Kedari (mzao wa Ishmaeli)—hadi Mtume Muhammad.

Any way poleni sana Iran anachakaza aisay
 
Back
Top Bottom