Kiongozi Mkuu mpya wa Iran ameomba poo, ataka maongezi na Trump

KIJANA ATAKI KUWAONA MABIKIRA 72 MAPEMA HUKO HAHAHA ANA AKILIII

Wapewe dosi
Uwongo, trump toka Jana kawaomba Italy wamwambie Iran wayajenge, Iran walikataa, Iran kwa sasa hakuna kiongozi mmoja kama khamenei
 
Walizungumza ijumaa,wakakubaliana j3 wakutane,watu wanajadili na uongozi wa juu minutes za mazungumzo wakashambuliwa
Ulikuwepo ama umesimuliwa na Sheikh ubwabwa wakati mnafakamia Futari?
 
One way or another, but going forward pale Iran ni lazima UTAWALA WA KISEKYULA (Secular Government) wenye kutoa Uhuru wa Kuabudu kwa DINI zote Urudi. Hii ina maanisha kuwezesha Unabii wa Biblia katika Mathayo 24:14 utimie. Ayatollah na Genge lake hawakung'amua hilo; sasa imewagharimu maisha yao
 
Hao mashia wa Iran ni ndugu na wayahudi..Iran ina idadi kubwa ya wayahudi katika jiji la Isfahan. Mtume Muhammad (s a.w) alisema kuwa Al-masih Dajjal (masihi wa uongo/mpinga kristo) atatokea upande wa mashariki katika jiji la Isfahan akiongozana na idadi ya mayahudi 70,000 wakiwa wamevalia persian shawl.

Tishio pekee la utawala wa kibeberu wa Marekani na Wayahudi ni Dola ya kiislam....na wanajua fika ndio maana wanapinga sana Islamic caliphate isisimame. Kwasababu wanajua Khilafa ina jeshi la wanaume wanaopenda kufa kuliko kuishi
 
Trump na Jews walijua haya yatatokea miezi kadhaa iliyopita
Watu walinunua Shares na stocks wakijua haya yanatokea

Wamenunua hisa kwenye makampuni ya mafuta ( angalia shares zitakavyopanda)
Wamenunua pia hisa kwenye makampuni ya mafuta
Angalia ni billions of barrels za mafuta zipo kwenye mkondo wa Hermuz

Sisi tubaki tunashangilia Khamenei na Rafsanjani kuuwawa

Wenzetu wameula
 
Kwa hiyo kwanza tumekubaliana kuwa Iron Dome, Patriot na THAAD si ya kutegemeka?

Sasa hivi tunavyoongea Iran imeshambulia kambi ya Marekani hapo Iraq
kumbe imeshambulia "kambi ya Marekani iyopo Iraq" kwanini wasishambulie Washinton DC ? Yani mabumunda mnaona hayo ni mafanikio kushambulia kajikambi hayo wairae wapeleke mikundyu yao Washinton
 
Haahaaa vipi unabii wako uchwara umetimia? Yaani ndio maana hawa manabii na mitume wanapiga pesa ikitokea kamgogoro kidogo tu basi ni unabii sasa leo sijui mnaweka wapi sura zenu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…