Ziko wapi nipewe basi...!!!
👀Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile.
Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya kukosa fahamu na amepoteza angalau mguu mmoja baada ya kujeruhiwa vibaya wakati wa shambulio la anga lililomuua babake, kulingana na ripoti ya The Sun.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth pia aliunga mkono madai hayo, akisema katika mkutano na waandishi wa habari kwamba huenda Mojtaba alikuwa ameathirika kimaumbile pia.
Gazeti la udaku la Uingereza liliripoti kuwa mtoto wa kiume wa Ayatollah Ali Khamenei mwenye umri wa miaka 56 alipata majeraha mabaya na kwa sasa anaendelea na matibabu mjini Tehran. Vyanzo vilivyonukuliwa na gazeti la The Sun vilidai kuwa kiongozi huyo mpya "alipoteza angalau mguu mmoja na pia amepata madhara makubwa ya tumbo au ini".
Iran Supreme Leader Mojtaba Khamenei likely in coma, US says he is disfigured
A report claims Iran’s new Supreme Leader Mojtaba Khamenei lost a leg and is in coma after an airstrike that killed his father, raising questions about who is directing the war.www.indiatoday.in
Dp world imepigwa kombora huko, toa tamko!!Magaidi yanashikishwa adabu.
Mimi natamba na bandari zangu.Dp world imepigwa kombora huko, toa tamko!!
🥰😍😍😍😍😍👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿Huyu Mojtaba ndani ya wiki tuu toka kuteuliwa kwake amekuwa maarufu kuliko hata baba yake! 😁
Huyu jamaa wenda ni kichwa zaidi ya baba yake, haiwezekani Marekani iwe na hofu namna hii na huyu jamaa.
Anyway! Kila la kheri bwana Mojtaba. 😁
Taarifa za kijasusi zadai siku ile ya kwanza ya mashambulizi baadae alitoroshwa na ndege ya kijeshi ya Russia na alipofika Moscow akafanyiwa upasuaji wa mguu na upasuaji huo ulifanikiwa kwa 101%.Huyu Mojtaba ndani ya wiki tuu toka kuteuliwa kwake amekuwa maarufu kuliko hata baba yake! 😁
Huyu jamaa wenda ni kichwa zaidi ya baba yake, haiwezekani Marekani iwe na hofu namna hii na huyu jamaa.
Anyway! Kila la kheri bwana Mojtaba. 😁
Taarifa za kijasusi zadai siku ile ya kwanza ya mashambulizi baadae alitoroshwa na ndege ya kijeshi ya Russia na alipofika Moscow akafanyiwa upasuaji wa mguu na upasuaji huo ulifanikiwa kwa 101%.
Upasuaji huo wadaiwa kufanyika katika moja ya hospitali zenye madaktari bingwa wa upasuaji.
Ikiwa atapona kabisa Majtaba nae ataishi kwa wasiwasi na kutembelea mguu wa bandia.
Baba yake marehemu Khamenei nae alikuwa na mkono wa kulia wa bandia ambao ulipandikizwa baada ya jaribio la kumuua lilofanyika mwaka 1981 wakati alipokuwa akitoa hotba katika msikiti wa Abuzar uliopo mjini Tehran..
Huyu kosa lake lipi mpaka asakwe hivi ?...
Mtoto wa gaidi ni gaidiHuyu kosa lake lipi mpaka asakwe hivi ?...
Ugaidi wake ni upi ?...Mtoto wa gaidi ni gaidi
Fuatilia taarifa za Ayatollah Khomeini ameua raia wake wangapiUgaidi wake ni upi ?...
Hii vita haina uhalali wowote zaidi ya ubeberu tu.Fuatilia taarifa za Ayatollah Khomeini ameua raia wake wangapi