Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Kwanini wasiende UAE au Saudia Arabia maana huko kuna kilakitu poa na hawana vita ? Wanahangaika kwenda nchi ambazo inabidi wajifunze klugha mpya na hakuna maadili ya kiislamu. Nasubiri jibu Sheikh wanguWapo ambapo wanakimbilia? Sababu ni vita sio maisha ....Marekani anaunda makundi ya kigaidi ili nchi hizo zisitawalike .
Marekani atoe majeshi kule ndio hapatokuwa na vita .
Nchi za Asia ndio wananchi wake wanapenda kukaa kwao sio kusafiri mara kwa mara , tatizo ni vita .
Msikilize Traore juzi aliongelea hilo suala .