Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Iran imefutika ?Kila siku upo hapa ukiwasifia Iran kuwa ni kiboko wa Makafiri wa Israel na Marekani,leo hii unawadisi.
Pole sana,naona umeumiaNaipenda Iran sana, ila nahisi kama ipo overrated sana!
Haujui Historia Arrafat alitumia hela nyingi za PLO kula bata na kusafiri. Arafat angejinyima na kutumia pesa aliyopata kwa ajili ya kuikomboa Israel wapalestina wangefika mbali. Tatizo kubwa la waarabu wanabaguana wao kwa wao. Hakuna umoja uarabuni ndio maana wa-Palestina, wa-Iraq na wa-Afghanistan wanakimbilia Ulaya na Marekani.Kiboko yao alikuwa Arafat tu, yule ndio mwamba.
Israel under Mossad duniani inaogopwa ndio maana mpaka USA huwezi waambia kitu Kuhusu Israel. Nausishangae jamaa wapo Israel wanakunywa chai au USA. No stressing 😞Hivi inakuaje maagent wa Israel wanaingia na kutoka Tehran watakavyo? Iran nadhani sio powerful kama inavyosemwa
Hao kidon wanashindwa nini kuwatafuta mateka HUKO ghazaSpecial unit of Israel called Kidon.... Acha kabisa Dunia imesimama usiku. Wakati Israel wakiwa ktk moja ya operation ngumu kabisa kuwahi tokea. Iran lazima aseme poooo.. Hezbollah Naye lazima aseme poo sidhani kama atarusha mabomu tena. Maana wamesha ambiwa wanakitaka kichwa cha mkuu wao. Kuifuta Hamas nijambo linawezeka
Arafat aliuwawa kwa sumu, kesi iliendela France alipopelekwa hadi kupelekea kufumua kaburi lake ili wathibitishe na kweli walikuta sumu kwenye mifupaAlikufa natural death, hakuuawa.
Wapo ambapo wanakimbilia? Sababu ni vita sio maisha ....Marekani anaunda makundi ya kigaidi ili nchi hizo zisitawalike .Haujui Historia Arrafat alitumia hela nyingi za PLO kula bata na kusafiri. Arafat angejinyima na kutumia pesa aliyopata kwa ajili ya kuikomboa Israel wapalestina wangefika mbali. Tatizo kubwa la waarabu wanabaguana wao kwa wao. Hakuna umoja uarabuni ndio maana wa-Palestina, wa-Iraq na wa-Afghanistan wanakimbilia Ulaya na Marekani.
Ni kweli mkuu, hii inadhihirisha jamaa wana watu wengi wazito ndani ya vyombo vya usalama Iran.Iran security established imeshakuwa 'compromised' na vyombo vya kijasusi kutoka maadui wa Iran.....ndio maana hao wauaji wanaweza kutekeleza matukio aina hiyo na kutoroka bila kukamatwa.
Isitoshe Mossad imeajiri mawakala wake wengi tu ndani ya Iran wanafanya hizo kazi za kijasusi (espionage) kwa niaba yao.
T14 Armata dudus Aleyn
Zilipendwa achana na Israel huwo ndio ujumbe kwa Dunia. Achana na Israel bifu lao nilakizazi mpaka kizazi. Angalia German Nazi leo hakuna mtu tena ukiwa na bahati mbaya wana assassinated family nzimaArafat aliuwawa kwa sumu, kesi iliendela France alipopelekwa hadi kupelekea kufumua kaburi lake ili wathibitishe na kweli walikuta sumu kwenye mifupa
Angalia Aljezeera Arafat documentary ipo
😂😂😂😂😂😂😂Ndugu yangu huyo jamaa ni chizi mara elfu kumi yako wewe.Wewe punguani,Hako kanchi ka mashoga zako unakokashabikia hamna kitu.
Hata baba wa Taifa alikalaani
Iran sio nchi mnadanganywa na mitandao , wa-Iran wenye taaluma wameishakimbia nchi yao. Wengi wako Marekani na Ujerumani. Waliobaki Iran ni watu wasio na taaluma wala utaalamu. Nchi haina tena wanasayansi unategemea nini ? Tatizo watanzania hatusafiri . Nimekaa nao huku ujerumani wanajifunza lugha haraka sana huko kwao kuanzia Kijerumani mpaka kifaransa na kuja kutafuta maisha sehemu nyingine.In addition to that hii ni msg nzito kwa Iran na washirika wake wamefanya tukio ambalo Iran imebaki uchi. Mbaya kuliko yote Huwa Israel ha confirm kwenye matukio mazito kama haya.
Ila dah hamna kitu huku tunaona kitu,,,,,,sie wa asili tunasema hao wa dini za majahazi wafumuane tu maana naona upande mmoja wapo wazee wa bwana wa mabwana na upande wa pili wale wazee wa mpira haram, wafumuane tu ,Hollywood watuletee kideo kizuriWewe punguani,Hako kanchi ka mashoga zako unakokashabikia hamna kitu.
Hata baba wa Taifa alikalaani
Hahahahah naona Bwana Utamu umekuwa mdogo kama piriton, hii ndio Israel brazaaa akiaumua jambo lake hashindwi.Mbona kuna tetenasi kwamba ni kombora tokea kurdistan
Ila kwavyovyote itavyokua hili la haniye ni uzembe ulioje na inatakiwa iran wajitathmini
Ama wao wamehusika kwanamna moja ama nyengine
Anahesabiwa kila hatua anayopiga. Yoyote akijitolea kuwa kiongozi wa kundi lolote la kigaidi kati ya Hamas, Hezbollah,n.k ajihesabie mfu anaetembea.Bado Hassan Nasralah yule wa Hezbolah
Kanaishi Kwa mgongo wa USAIla dah hamna kitu huku tunaona kitu,,,,,,sie wa asili tunasema hao wa dini za majahazi wafumuane tu maana naona upande mmoja wapo wazee wa bwana wa mabwana na upande wa pili wale wazee wa mpira haram, wafumuane tu ,Hollywood watuletee kideo kizuri