Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Kwanini wasiende UAE au Saudia Arabia maana huko kuna kilakitu poa na hawana vita ? Wanahangaika kwenda nchi ambazo inabidi wajifunze klugha mpya na hakuna maadili ya kiislamu. Nasubiri jibu Sheikh wanguWapo ambapo wanakimbilia? Sababu ni vita sio maisha ....Marekani anaunda makundi ya kigaidi ili nchi hizo zisitawalike .
Marekani atoe majeshi kule ndio hapatokuwa na vita .
Nchi za Asia ndio wananchi wake wanapenda kukaa kwao sio kusafiri mara kwa mara , tatizo ni vita .
Msikilize Traore juzi aliongelea hilo suala .
Arafat? Au nani ? Kama ni Arafat aliua kwa njia ya sumu, ilimtafuta taratibuAlikufa natural death, hakuuawa.
Endelea kuota. Hivyo ndio wanamalizwaKanaishi Kwa mgongo wa USA
Noma sana!Israel under Mossad duniani inaogopwa ndio maana mpaka USA huwezi waambia kitu Kuhusu Israel. Nausishangae jamaa wapo Israel wanakunywa chai au USA. No stressing π
Hawajawahi Isha ,hawajaanza Leo Wala JanaEndelea kuota. Hivyo ndio wanamalizwa
ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! na mapambano ya kwenda kunywa pombe akhera!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! da!!!mapambano ya kuwawahi mabikra 72 au sio
Uliona wapi mbona wzungu wapo kule ? Ebu jaribu kufany tafiti acha uongo ....kusoma ni sehemu yoyote na biashara zinafanyika hapo German wanazunguka sana .Kwanini wasiende UAE au Saudia Arabia maana huko kuna kilakitu poa na hawana vita ? Wanahangaika kwenda nchi ambazo inabidi wajifunze klugha mpya na hakuna maadili ya kiislamu. Nasubiri jibu Sheikh wangu
Huyo Fuad Shukr nadhani hawakumuua, niliona Al Jazeera na CNN.Katika hali isiyotegemewa, Israel imeamua kuanza winda vichwa vya nyoka.
Siku ya jana walishambulia na kuua wakubwa huko Lebanon
Waliouawa ni COS wa Hezbollah Bwana Shukr
Isivyotegemea kapiga ndani ya Iran na kumuua Kiongozi wa Hamas Haniyeh
Israel kaona njia pekee ni kuwatoa viongozi.
Hahahahah Bwana Utam akili umeanza kukurudi sasa na kutambua kuwa Iran ni Chui wa karatasi,safi sana.Sio uongo
Safi ushaanza kuutambua ukweliHakuna lolote
Kwa unaniambia wazungu wanainfluence tamaduni za kiislamu zibadilishwe Saudia Arabia na UAE. Kwamba mwanamke anaweza kutembea na bikini barabarabani Saudia na UAE ? Labda sijawahi kufika huko nisaidie ndugu yangu.Uliona wapi mbona wzungu wapo kule ? Ebu jaribu kufany tafiti acha uongo ....kusoma ni sehemu yoyote na biashara zinafanyika hapo German wanazunguka sana .
Elimu zipo kila kona naona bado hamna unachojua , ukienda Irana wazungu wapo na ndio hao wanalazimisha mila zao .
Kujifunza lugha ni dhambi ? mMona sioni logic yako zaidi ya utoto na ubaguzi wa kimaskini ?
Nchi za Asia ukitoa zenye vita zilizobaki watu wao wanapenda kukaa kwao , Kule Dubai wazungu wanafuata nn ? maana ni mwengi kuliko wenyeji ..
Wapo ambapo wanakimbilia? Sababu ni vita sio maisha ....Marekani anaunda makundi ya kigaidi ili nchi hizo zisitawalike .
Marekani atoe majeshi kule ndio hapatokuwa na vita .
Nchi za Asia ndio wananchi wake wanapenda kukaa kwao sio kusafiri mara kwa mara , tatizo ni vita .
Msikilize Traore juzi aliongelea hilo suala .
Mkuu nakisikia alipigwa bomu matakoni, Kwa akili yako unadhani kuna wakumshinda israel kwenye uwanja wa mapambano, ukumbuke walianza na wanae wa kiume watatu, yaani hawataki masalia ya magaidi jews ni watu hatari sanaHawajawahi Isha ,hawajaanza Leo Wala Jana
Mkuu umetumia bomu la nuclear hapa kushambuliaIran: Israel ikivamia Lebanon magaidi wote tutajaa Lebanon
Israel: Naua kingozi wa Madaigi hapo Beirut na Tehran what a message!?, it is just wow
Kwa maana nyingine Israel inamwambia Iran wewe nyoko, nitakufira wewe na wake zako chumbani kwako π π π π
Aisee!Hamas wamefeli pakubwa mno, wameshindwaje kumlinda kiongozi wao Mkuu? Sasa kama kiongozi kauawa kuna nini tena? Warushe taulo basi.
Sasa wewe ndio umeongea mkuu.Ila dah hamna kitu huku tunaona kitu,,,,,,sie wa asili tunasema hao wa dini za majahazi wafumuane tu maana naona upande mmoja wapo wazee wa bwana wa mabwana na upande wa pili wale wazee wa mpira haram, wafumuane tu ,Hollywood watuletee kideo kizuri
Ndivyo alivyokuambia?Nasikia jamaa alipigwa bomu matakoni akaanguka kama gunia, na mlinzi wake akala ya kifua