Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Bora kuoa wanawake wengi kuliko kuoana kama mnavyofanya kanisani wajinsia moja
Wewe tayari ushapata na kama bado unangojea nini?πŸ€”
 
Kwani wanted na nani? Mbona hata kina Mandela nao waliwahi kuwa wanted? Vipi kama wanao wa want nao ni wanted?
 
Kiboko yao alikuwa Arafat tu, yule ndio mwamba.
Arafat hakuwa gaidi, alikuwa raisi wa mamlaka ya Palestine. Mbona alikuwa huru anaenda popote duniani. Washington, Paris. Mrithi wake ni Abbas
 
Sasa unatuambia sisi magaidi wa kibongo bongo tufanyaje? Kama warabu wenzao Misri na Saudia wanakula maisha tu
 
Analysis nzuri, angalau sisi wa D mbili tunakuwa kwenye page moja wa wajuzi wa mambo.
 
Kosa alilofanya Iran ni kujitutumua na kushambulia ndani ya Israeli ilihali uwezo huo haa na hata uwezo wa kujilinda hana maana mara nyingi anakutwa off-guard.
Inamaana hata Rais aliyefariki kwenye ajili ya Helkopta itakuwa ni mkono wa Muyahudi?
 
Pye Pye Pye....fyuuuu mamaee hao ndo Israel ukiweka ugoko wanaweka chuma....🀣🀣
 
Bora kuoa wanawake wengi kuliko kuoana kama mnavyofanya kanisani wajinsia moja
Wewe tayari ushapata na kama bado unangojea nini?πŸ€”
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wavaa makobazi bado sana mimi ni Mkristo Mkatoliki. Lakini naomba niulize swali ushoga Tanzania umejaa Bara au visiwani ? Na matukio ya kuruka ukuta uani au kula ndogo yamejaa bara au visiwani ? Namalizia kwa swali la mwisho Dini iliyoweka himaya kubwa Visiwani na Bara ni zipi na zipi ? Nasubiri jibu sheikh wangu.
 
Inamaana hata Rais aliyefariki kwenye ajili ya Helkopta itakuwa ni mkono wa Muyahudi?

Yes, tunaassume hivyo maana hata Iran mwenyewe hajui zaidi yakusisitiza shida ni Ukungu ilihali ilikuwa convoy ya 3x Helicopter na iliyombeba Rais ilikuwa katikati lakini ikavanish kwenye radar ilihali hizi mbili ziko operational.

Gaps ndio zinatutia shaka kwa Taifa kubwa kama Iran yenye uadui na super powers, kwanza unatumiaje Helicopter iliyotengenezwa na adui, tena kubeba high profile leader ambaye anawindwa usiku mchana, hii ilionyesha udhaifu wa Hali ya juu maana kwenye Helicopter Kuna electronics chips hasa control box ambazo unaweza kuwasiliana nazo remotely na hata kushutdown engine au device nyingine muhimu zakuiweka angani Helicopter.
 
Umeongea vema mkuu.
Ila Iran anazo self guided missiles.
Na ndio hizo ambazo alitumia kulipua kambi ya USA 2018 kulipiza kisasi cha Qassem Soleiman pale Iraq.
Na ndio kombora hizo alizotumia kupiga tena kwa pigo moja maficho ya Mossad pale Kurdistan.
Na ndio hayo Hizbollah alitumia kulipua kambi ya Galilee ya Northern Israel.Na tokea October mpaka mwezi uliopita Hizbollah karusha kama 680 target tofauti na yakafikia lengo tena alikua akirusha moja moja sio kwa mfululizo.
Iran ana varieties of missiles mkuu,hata hayo guided missiles Iran anayo na amewahi kutumia na yakaleta madhara.Pia Iran na Hizbollah wana stock ya kutosha,wakiamua kupiga pigo basi wanabadili silaha na huoni zikirushwa nyingi.
-Kulipuliwa kwa sehemu nyeti za Iran Mathalan nuclear sites mara nyingi zimekua zikifanyika kwa pandikizi wa ndani ya Iran ila sio nje,mwaka huu walifanya shambulio Isfahan ila likapanguliwa na kombora kuangukia pembeni.
Kuuliwa kwa wanasayansi na watu nyeti wa Iran mkuu ni japo linalowezekana kiwepesi kwasababu Iran kuna Jewish community ya Watu tarkiban laki 8.
Hivyo kuweka pandikizi wa Mossad ni rahisi sana,tofauti na Iran hana jamii yake Israel.

-Iran dome zimeonesha failure mkuu,mifano ipo mingi sana.
October 7 Hamas walirusha maroketi tena hafifu 5000 maroketi 2300 nzima yamepenya.Sasa unajiuliza kama maroketi 5000 nusu yake yamepenya je yangekuwa makombora yangepenya mangapi!?
Israel inapata madhara mkuu kwasababu kila mara imekua inapata internal displacement na imeonesha Israel sio miongoni mwa mataifa salama kutembelea.
Kinachomuokoa ni unconditional aids and grants kutoka USA na UK.
Laa sivyo hata uchumi wake ungekuwa unapotea.
Syria,Lebanon ,Yemeni,Iraq haya mataifa hayakuharibika kwa vita za Israel.
Kuna crisis nyingi haya mataifa yamepitia.
Ila all at all vita sio kitu kizuri maana ina athari ya pande zote mbili.
 
Watu huwa wana set mambo yao, halafu wanatulia kama hawapo huku wakiwaachieni kauhuru mjione mmebakiza hatua chache kabla hamjsjiita washindi.
Hii inayoendelea sasa ni safishadafisha. Mafia Families walikuwa wanatumia sana hii. Ikishaamriwa msafishwe na laboa baada ya tukio fulani, basi watakuwekea mtu wa kujufuatilia kila uendapo, siku amri ikitike kundi lenu linakuwa linaookea taarifa za vifo tu, huyu kafia kanisani, yule kafia hotelini nchi fulani, mwingine kafia nchi nyingine kwa kugongwa na gari wakati akivuka barabara, meingine kanyongwa na kajaba aliyekuwa naye hotelini nchi fulani, mwingine bomu, mwingine risasi, mwingine madaktari walijichanganya badala ya kumuwekea drip yenye damu wakamuwekea drip yenye maziea.
 
Stupid reason. Yani wewe babu yako aondoke kwenye ardhi X, alafu miaka 100 ipite urudi wewe kwenye ardhi X udai ni ya kwako kwasababu babu yako aliimiliki.. Do you even hear yourself?
Kuna sheria inamtaka mtu asirudi kwenye ardhi yake baada ya miaka 100?.
nb: Hao waliorudi ni kama 35% tu..inayobaki ilikuwepo hapo hawajawai hata kufika Spain.
 

Mkuu, gaps ndio zinakufanya uwe dhaifu na kupigika kirahisi, kama tunakubaliana ndani ya Iran kuna pro-israeli na ndio wanawezesha high profile kuwa eliminated unafikiri unawezaje kuwa salama kijeshi maana hao hao informers ndio wanaweza hata kujua stock ya ammunition yako na namna inafanya production nk.

Vita yeyote inaanzia kwenye ujasusi, ukifeli kwenye ujasusi maana yake hata vitani unaweza kufail vibaya, ndio maana kuna wakati gharama za ujasusi zinaweza kuwa kubwa kuliko vita yenyewe maana ujasusi pia unaweza kuepusha vita kwa kuimaliza kabla haijaanza.
 
wayahudi wapo milioni kumi waarabu wapo milioni mia nne ulitarajia vita iishe ndani ya muda gani?
 
Sawa ngoja tuupe muda nafasi.
 
wayahudi wapo milioni kumi waarabu wapo milioni mia nne ulitarajia vita iishe ndani ya muda gani?
Kumbe Gaza na Hamas wapo milioni 400!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nilikua sijui kama Gaza na Hamas wana idadi ya milioni mia nne.
 
Na badoo yaan hii ni trela picha linakuja
Mpaka mnyee
Ngoja waoneshane makali
Kipindi sadam Hussein anatafutwa, kuna wa Islam kitaani, walijitapa kwamba USA haiwezi, kumpata, akapatikana akanyongwa, likaja janga LA ISS, wale islam walikuwa wanaona ufahari mkristo akichinjwa, wengine zile video wakawa wana save kwenye simu, wakisikia allah akabar,wakati mchinjaji anafanya yake, wanaona wameuweza ukrsto, nikawaambia, it's matter of time, tutawamaliza ISS,
Sasa kwenye issue ya Gaza, Hamas, na viongozi wake kuuliwa, tena ndani ya Iran, nawaona maswaiba zangu islam, jinsi mavi yalivyowabana, hawaamini kinachotokea,
Mala hii, lazima tuwatindue malinda
 
Kuuawa kwa viongozi haikuanza leo.
Na wala haitazuia Iran na axis of resistance kufanya kazi.
Subirini kisasi kulipwa.
 
Kumbe Gaza na Hamas wapo milioni 400!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nilikua sijui kama Gaza na Hamas wana idadi ya milioni mia nne.
unajua kusoma kweli? nimeandika waarabu wewe unasema gaza na hamas, unachojua wewe ni kwamba israel anapigana na hamas tuu? unajua israel anatungua drones ngapi za wahouthi na hezbolah? kweli we chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…