Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

nimeuliza hivi:- iman ya mungu hana mwana Muhammad Kaitoa wapi wakati kwenye agano la kale ana mwana na wana?.
Allah anakubali kuitwa Baba ama mtu kusema Allah ana mwana?.

Ni kuwa Mungu mwenyewe alitamka hivyo .

Mungu hana mwana

Hata agano jipya Yesu hamna mahali alijiita yeye ni mwana wa Mungu
 
vizuri!! kwa hiyo ishu ya kula na kunya ilianzia Garilaya,uko kabla ya kila kitu kuwepo alikuwa hali wala hanyi,right?.

Maneno hayo unayapata kitabu gani ??

Wakati Yesu mwenyewe anasema

Yohana 5:37 , Yesu alisema kwamba hakuna mtu ambaye amewahi kumwona Mungu wakati wowote au kusikia sauti yake. ?????
 
Bomb smuggled into guesthouse months before Haniyeh killed - report​

Ismail Haniyeh was killed by an explosive device that was secretly smuggled into the guesthouse he was staying inside in Tehran, the New York Times reports.
The newspaper, citing several Middle Eastern officials, reports that the bomb was hidden "approximately two months ago" in the guesthouse which was run and protected by the Islamic Revolutionary Guards Corps in northern Tehran.
The bomb was then detonated remotely once it was made clear the Hamas chief was inside, according to sources.
It is still not clear how the bomb was placed in the guesthouse.
Earlier today Iranians turned out to mourn the Hamas leader at his funeral.
His body will then be flown to Qatar, where Haniyeh was usually based, for burial tomorrow.
Iran and Hamas have accused Israel of carrying out the strike that killed Haniyeh hours after he attended the inauguration of Iran's new president in Tehran on Wednesday.
But Israeli officials have not claimed responsibility for the attack.
Iranians attened funeral procession for Ismail Haniyeh

Iranians attened funeral procession for Ismail

T14 Armata Aleyn dudus
==========================
Mossad ni wauaji wazuri ila bado wanategemea Marekani kuwakusanyia taarifa muhimu.
 
Limeng'ang'ana utazani lilishawahi hata kuwa na jirani mwarabu.
Surat Al-Hujurat (49:13):
"Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni nyote kutoka mwanamume na mwanamke, na tumekufanyeni mataifa na makabila ili mpate kujuana. Hakika aliye bora kwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule ambaye ni mcha Mungu zaidi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye taarifa."

Aya hii inaonyesha kwamba utambulisho wa mtu kwa Mwenyezi Mungu hautegemei asili ya kabila au nchi bali ni kwa kumcha Mungu. WAKIRISTO LEO LAZIMA MAJI MTAITA MMA. UKIJA NA HOJA MBOVU UNAJIBIWA KWA HOJA MADHUBUTI
 
Ni kuwa Mungu mwenyewe alitamka hivyo .

Mungu hana mwana

Hata agano jipya Yesu hamna mahali alijiita yeye ni mwana wa Mungu
Yesu aliposema "Yule mnaemuita Mungu wenu ndiye Baba yangu alikusudia nini,maalim?".
Kuna nabii yoyote aliwai Sema mungu hana mwana kando na Muhammad?.
nikikupa verse mingi Mungu anasema ana mwana utaacha ibada yako ya kipagani?
 
Maneno hayo unayapata kitabu gani ??

Wakati Yesu mwenyewe anasema

Yohana 5:37 , Yesu alisema kwamba hakuna mtu ambaye amewahi kumwona Mungu wakati wowote au kusikia sauti yake. ?????
eeh,Sogea kwa China kidogo ya hiyo verse.
inaendelea kusema" hakuna aliyemuona Mungu wakati wowote isipokuwa mwanae ambaye ndiye chapa yake".
 
Yaani mtu kaamka na hang over yake ya mipombe michafu bila ushahidi analaumu kuwa Chadema wanashangilia kuuwawa kwa gaidi la kipalestina, angetuweke basi hata officia statement ya Chadema wakifurahia kifo hicho, lakini anataka kutushirikisha utopolo wake tu. Huu ni wenda wazimu hata, Mods wanatakiwa threads kama hii ya uzushi wazifute.
Saudia na Jordan na Egypt ambao ni waarabu wanafurahia halafu jinga moja muislamu wa kuchovya wa kasulu anateseka
 
Ukishangaa ya Mussa utaona ya Farau. Wenyewe kutwa wanalalamika wanatekwa lakini kifo cha Haniya wanafurahia. Hii inathibitishwa hapa JF Baada ya user wanaaosupport Chadema ndio hao hao leo wanafurahia.

cc

GENTAMYCINE

Mungu wa mbinguni saidia Waisrael wateketeze vibaka wote maana Israel ni Taifa lako teule.
 
Yesu aliposema "Yule mnaemuita Mungu wenu ndiye Baba yangu alikusudia nini,maalim?".
Kuna nabii yoyote aliwai Sema mungu hana mwana kando na Muhammad?.
nikikupa verse mingi Mungu anasema ana mwana utaacha ibada yako ya kipagani?

Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.

Mara nyingi waliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu.

Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80.

Mahasimu zake wa Kiyahudi walimzulia kuwa alidai kuwa ni Mfalme wa Mayahudi ili kumchongea kwa watawala wa Kirumi, na kuwa alidai kuwa ni Mwana wa Mungu ili apate kuchusha kwa Mayahudi.
 
Walid bin Khalid alikuwa mmoja wa viongozi maarufu na mashuhuri wa kiislamu katika historia ya mapema ya Uislamu. Hapa kuna maelezo kuhusu yeye:

  1. Jina Kamili: Walid bin Khalid bin al-Walid, mara nyingi hutajwa kama Walid bin Khalid, ni mwana wa Khalid bin al-Walid, mmoja wa mashujaa wakuu wa vita katika historia ya Kiislamu.
  2. Taarifa za Maisha: Walid bin Khalid alikuwa mtoto wa Khalid bin al-Walid, ambaye alijulikana kwa umaarufu wake katika vita vya Kiislamu na alipewa jina la "Saifullah" (Upanga wa Mwenyezi Mungu). Walid alikuwa sehemu ya familia yenye ushawishi mkubwa katika Uislamu wa mapema.
  3. Sifa na Heshima: Walid bin Khalid alihusishwa na maisha ya kijeshi na alijulikana kwa kuwa na sifa nzuri za kiutu na uongozi. Aliendelea kuwa na ushawishi katika jamii ya Kiislamu kutokana na sifa za baba yake na mchango wake kwa jamii.
  4. Mchango Wake: Walid bin Khalid alishiriki katika mapambano ya kijeshi na kazi za kijamii ambazo zilisaidia kuimarisha Uislamu. Hata hivyo, taarifa zake zinaweza kuwa ndogo katika maandiko ya kihistoria ikilinganishwa na baba yake, Khalid bin al-Walid, ambaye alikuwa na mchango mkubwa katika vita vya mapema vya Kiislamu.
Kwa ujumla, Walid bin Khalid alikuwa na umuhimu katika historia ya mapema ya Uislamu kutokana na ushiriki wake katika shughuli za kijeshi na familia yenye ushawishi. maarufu.
Umuhimu wa kuivamia Israel pasipo na sababu.
 
Ukishangaa ya Mussa utaona ya Farau. Wenyewe kutwa wanalalamika wanatekwa lakini kifo cha Haniya wanafurahia. Hii inathibitishwa hapa JF Baada ya user wanaaosupport Chadema ndio hao hao leo wanafurahia.
Usijali Haniya atafufuliwa na allah muda mfupi sana ujao wanaochekelea kifo chake wataumbuka. Kwa sasa muache Haniya kwanza yupo kapakatwa na mtume SAW yupo kifuani kwake anakula raha za peponi.
 
Walid bin Khalid alikuwa mmoja wa viongozi maarufu na mashuhuri wa kiislamu katika historia ya mapema ya Uislamu. Hapa kuna maelezo kuhusu yeye:

  1. Jina Kamili: Walid bin Khalid bin al-Walid, mara nyingi hutajwa kama Walid bin Khalid, ni mwana wa Khalid bin al-Walid, mmoja wa mashujaa wakuu wa vita katika historia ya Kiislamu.
  2. Taarifa za Maisha: Walid bin Khalid alikuwa mtoto wa Khalid bin al-Walid, ambaye alijulikana kwa umaarufu wake katika vita vya Kiislamu na alipewa jina la "Saifullah" (Upanga wa Mwenyezi Mungu). Walid alikuwa sehemu ya familia yenye ushawishi mkubwa katika Uislamu wa mapema.
  3. Sifa na Heshima: Walid bin Khalid alihusishwa na maisha ya kijeshi na alijulikana kwa kuwa na sifa nzuri za kiutu na uongozi. Aliendelea kuwa na ushawishi katika jamii ya Kiislamu kutokana na sifa za baba yake na mchango wake kwa jamii.
  4. Mchango Wake: Walid bin Khalid alishiriki katika mapambano ya kijeshi na kazi za kijamii ambazo zilisaidia kuimarisha Uislamu. Hata hivyo, taarifa zake zinaweza kuwa ndogo katika maandiko ya kihistoria ikilinganishwa na baba yake, Khalid bin al-Walid, ambaye alikuwa na mchango mkubwa katika vita vya mapema vya Kiislamu.
Kwa ujumla, Walid bin Khalid alikuwa na umuhimu katika historia ya mapema ya Uislamu kutokana na ushiriki wake katika shughuli za kijeshi na familia yenye ushawishi. maarufu.
Kwa msaada wa AI
 
Back
Top Bottom