Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Israel wana hasira na Iran kwasab Iran iliwaonesha dharau ikatuma drone mchana kweupee IDF wakajiharishia Lo Israel wanataka waoneshe mabavu ili kulinda reputation.
Sasa kama Gaza kamji kadogo vile hakana hata teknolojia wala jeshi la maana wameshindwa kukafuta wanatumia nguvu nyingiiii lakini ni miaka 75 sasa inakata kanchi ka watu bado kapo kanahemea mipira lakini hakakubali kufa sjui Iran vita watachkua mda gani. Naona huyo mungu wao alowaahidi hio ardhi sjui kawachokaaa🤣🤣🤣🤣75 years ndo nini sasa kwa jitihada hizo mungu si angeshawapea haki yao jaman wamejitutumua sana😂😂😂
Kwani lengo kufuta mji wa Gaza?
 
Yani kiongozi Namba moja wa Hamas kauawa wewe unakimbilia kudai watu wameshindwa vita. Walipiga sawasawa mnadai wanaua watoto na wanawake, walipiga kiongozi mkuu mnadai ni hasira za kushindwa vita. Hivi unaelewa maana ya kushindwa.
Akili za warabu wa buza wanazijua wenyewe. Kapigwa kamanda wao sasa wanatapatapa tu. Hawaeleweki Wanataka nani apigwe vitani.
 
Kumbe ndio mkadanganywa kuwa mtu anayekula na kunya akacheza na watoto wenzake kuwa ni mungu ,
Usitoke nje ya mada. Kama unataka mijadala ya kidini, kuna forums zake. Tujikite tu kwenye vita vya Israel dhidi ya maadui zake
 
Usitoke nje ya mada. Kama unataka mijadala ya kidini, kuna forums zake. Tujikite tu kwenye vita vya Israel dhidi ya maadui zake
Ndiyo umeukumbuka Sasa , Ungalijiambia mwenyewe kwanza.
Utaelewa tu kuwa Yesu si Mungu
 
Mkorogo wa Sunni vs Shia ni mkubwa kuliko Waislamu wanavyowachukia Wayahudi na Wakristu. Haina namna Middle East inaweza ku survive bila USA/ UK intervention

Kumbe unaweza kuandika mambo ya sunni na Shia 😜😜
 
Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Palestina kwa kuwa:-

1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina

2. Kabla ya Ukoloni wa Mwingereza mwaka 1917 kulikuwa utawala wa Dola ya Ottoman, hii pia haikuwa Palestina

3. Mamluks wa kutoka Misri walitawala eneo hilo kabla ya Dola ya Ottoman kati ya mwaka 1249-1517, hii haikuwa Palestina

4. Kabla ya ujio wa Mamluk wa Misri eneo hilo lilikuwa chini ya utawala wa dola ya Kikurdi ya Ayubid-Arab kuanzia 1169-1260, hii pia haikuwa Palestina

5. Kablabya Dola ya Ayubid kukikuwa utawala wa Frankish, hii pia haikuwa Palestina
.
6. Kati ya mwaka 750- 1177 eneo hilo lilikuwa chini ya utawala Umayyad na Fatmid, hawa nao hawakuwa wa Palestina

7. Dola ya Byzantine ilitawala eneo hili kuanzia mwaka 313- 636, hawa hawakuwa wa Palestina

8. Kabla ya dola ya Byzantine eneo hili lilitawaliwa na wa Sassanids kuanzia mwaka 602-628, hii haikuwa Palestina

9. Kabla ya Dola ya Sassanids kulikuwa na Dola ya Byzantine tena, hii haikuwa Palestina

10. Kabla ya Dola ya Byzantine kulikuwa na Dola ya Kirumi kuanzia mwaka 63 BC - 336 AD, hii haikuwa Palestina

11. Kabla ya Dola ya Kirumi kulikuwa na utawala wa Hasmonean kuanzia mwaka 140 BC- 37BC, hawa walikuwa Wagiriki siyo Palestina

12. Kabla ya Hasmonean kulikuwa na Dola ya Seleucid kuanzia mwaka 198 BC- 135 BC, hawa walikuwa Wagiriki siyo Palestina

13. Kabla ya Seleucid eneo hili lilitawaliwa na Dola Alexander The Great kuanzia mwaka 330 BC- 315 BC

14. Kabla ya Alexander The Great eneo hilo lilikuwa chini ya Dola ya Persia kuanzia 545 BCE- 538. BCE

15. Kabla ya Dola ya Persia eneo hilo lilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Babylon kuanzia 597 BC- 539 BC, hawa walitoka Iraq ya sasa na hawakuwa wa Palestina

16. Kabla Dola ya Babylon haijaivamia Jerusalem ilikuwa chini ya himaya 2 za Israel na Yuda kuanzia mwaka 722 BC, hizi hazikuwa Palestina

17. Kabla ya Utawala wa Israel na Yuda kulikuwa na utawala wa Israel 930 BC, hii haikuwa Palestina

18. Kabla ya Israel kulikuwa utawala wa makabila 12 ya wana wa Yakobo ambao ndiyo Israel, ndiyo kipindi cha Mfalme Saul, hii haikuwa Palestina.

19. Kabla ya makabila 12 kulikuwa utawala wa dola ndogo ndogo za Caanan, nayo haikuwa Palestina
 
Ayatollah Khamenei alichukizwa na kitendo cha viongozi wa Hamas kuishi maisha ya anasa Doha huku wakichochea raia maskini wa Gaza waanzishe uchokozi na Israel

Hizo anasa uliwapa wewe ??
 
Back
Top Bottom