Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Soma vizuri ujue canaan ni kina nani
 

Usituandikie pumba za kwenye biblia ambazo hizo biblia zenyewe zimeandika kuwa waandishi wake hawajulikani na mumejazwa maneno ya watu

msikilize waziri mkuu wa israeli huyu anavyosema



View: https://www.youtube.com/watch?v=R5IIwCz2IsM
 
Hii inakwenda kuwa vita kubwa mbaya mashariki ya kati........

Na hii vita itaamua nani mtawala na mbabe ndani ya mashariki ya kati
Hawa Waarabu wamemkosea nini Mola wao, mbona wanapigwa namna hii? Yaani wanachapwa kama watoto na ni wengi kweli lakini hamna wanachoweza kufanya! Dah, walipo kosea pakubwa sana wajitafakari!
 
Jana mwingine kaondoka leo wana mwingine pia.
Mzee wa kobazi aandae msuli tu wataondoka nae soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…