Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Marafidhwah (mashia) wanajulikana kwa khiyana katika historia.

Salahuddin (Allah amrehemu) kabla ya kuikomboa Al Quds (Jerusalem) kutoka katika mikono ya crusaders aliwabonda kwanza mashia wa Misri. Hakwenda kuikomboa al Quds kutoka katika mikono ya crusaders huku mgongoni mwake kuna 'Ubaydiyyun (mashia walioitawala Misri).

Kina Khamenei, HezboShaytaan na Houthi sio wa kuwaamini.

Watu wanaomtukana na kumkufurisha Amiri wa Waumini 'Umar na wenzake katika maswahaba (Allah Awaridhie wote) walioikomboa Al Quds mwanzo kabisa kutoka kwa warumi na kuifungua kwa ajili ya Uislam, hawawezi kuikomboa al Quds sasa kama ambavyo hawakuweza kuikomboa ilipochukuliwa tena na crusaders na kuja kukombolewa na Waislam akina Salahuddin. Wao ni watu wakuwafanyia njama na khiyana tu Waislam.

Allah awasamehe na awarehemu ndugu zetu Waislam wote waliouawa katika vita hii. Allah awanusuru ndugu zetu wanyonge na wadhaifu.
 
unajua kusoma kweli? nimeandika waarabu wewe unasema gaza na hamas, unachojua wewe ni kwamba israel anapigana na hamas tuu? unajua israel anatungua drones ngapi za wahouthi na hezbolah? kweli we chizi
Huyo uliyemjibu kakusudia kumaliza vita ya Hamas.
Inaonekana una tatizo la uelewa.
Houthi nao wasingeshambulia kama si USA na UK kupeleka misaada Israel ya kijeshi.
 
Kulingana na nyakati tulizoko, NB going to the Mark 2000yrs, hizi vita they are going to get nasty 😳. Kibaya zaidi waislamu wakiaminishwa na Quran yao kuwa watawaangamiza wayahudi na baadae wakristo ili dola ya kiislamu ishike hatamu duniani kote wanawatanguliza maskini wapalestina wawatu vitani wakiwaaminisha kuwa wanapigana vita ya Allah
Unaweza kuweka Aya ya QUR'AN inayozungimzia haya?!
 
Huo ni ujumbe wa Israel kwa maadui zake wote popote pale walipo duniani, hata kama ukiwa Tandahimba huwezi kuwa salama.

Hawa Israel tukubali tukatae Mungu amewajalia akili sana kitendo kilichopelekea hata Hitler kuwachukia sana, Dunia inatakiwa ielewe kwenye mishipa ya damu ya wayahudi kunatembea damu ya Albert Einstein hivyo umakini na mikakati hatari waliyokuwa nayo sio vitu vya kubahatisha ni natural gifts.

Hivyo myahudi akitaka kukumaliza huwezi kumkwepa mahala popote, hata Aldof Eichmann mmoja wa mastermind wa Holocaust hakuamin alivyojikuta mikononi mwa Wa-Israel licha ya kukimbilia kujificha vijiji vya ndani ndani huko Argentina 1960.

Kwa yanayotekea hawa jamaa hawabahatishi, Hizi nchi za Yemen, Iran and the likes kama wanataka vita na Israel wafanye risk assessment vizuri mara nyingi watamba wana silaha zinazofika sehemu yeyote ndani ya Israel. Wanasahau kitu kimoja cha muhimu katika medani za kivita kuwa "War is all about mindsent and well organized intelligence".

Unaweza kuwa na silaha zinazofika kila mahala lakini zikawa intercepted zote.

Kitendo cha Israel mmoja kuumiza vichwa nchi karibia zote za mashariki ya kati inabidi wajue Israel ana kitu cha ziada kwenye medani za vita na ushushu ambacho labda wao hawana.
 
FB_IMG_17224106296485695.jpg
 
shehe ubwabwa vita ya israel na arabs haijaanza leo wala jana inawezekana ulikua hata hujazaliwa hiki unachokiona hapa ni muendelezo tuu wa vita..israel hapigani na hamas bali anapigana na arabs..hao hamas ni kama ground tu ya kupigania
Huyo uliyemjibu kakusudia kumaliza vita ya Hamas.
Inaonekana una tatizo la uelewa.
Houthi nao wasingeshambulia kama si USA na UK kupeleka misaada Israel ya kijeshin
 
Mossad wako busy kipindi hiki kuliko wakati wowote.. .
Netanyahu alishakula kiapo kusaka magaidi popote pale walipo
Tukiwaambia kobaaz kuwa myahudi ni habari nyingine huwa wanabisha haya sasa naye kawahishwa kuzimu bado huyu shetani Sinwar yahaya huyu ndo most wanted ibilisi kabisa huyu siku akipatikana mayahudi watamgawana
 
Huo ni ujumbe wa Israel kwa maadui zake wote popote pale walipo duniani, hata kama ukiwa Tandahimba huwezi kuwa salama.

Hawa Israel tukubali tukatae Mungu amewajalia akili sana kitendo kilichopelekea hata Hitler kuwachukia sana, Dunia inatakiwa ielewe kwenye mishipa ya damu ya wayahudi kunatembea damu ya Albert Einstein hivyo umakini na mikakati hatari waliyokuwa nayo sio vitu vya kubahatisha ni natural gifts.

Hivyo myahudi akitaka kukumaliza huwezi kumkwepa mahala popote, hata Aldof Eichmann mmoja wa mastermind wa Holocaust hakuamin alivyojikuta mikononi mwa Wa-Israel licha ya kukimbilia kujificha vijiji vya ndani ndani huko Argentina 1960.

Kwa yanayotekea hawa jamaa hawabahatishi, Hizi nchi za Yemen, Iran and the likes kama wanataka vita na Israel wafanye risk assessment vizuri mara nyingi watamba wana silaha zinazofika sehemu yeyote ndani ya Israel. Wanasahau kitu kimoja cha muhimu katika medani za kivita kuwa "War is all about mindsent and well organized intelligence".

Unaweza kuwa na silaha zinazofika kila mahala lakini zikawa intercepted zote.

Kitendo cha Israel mmoja kuumiza vichwa nchi karibia zote za mashariki ya kati inabidi wajue Israel ana kitu cha ziada kwenye medani za vita na ushushu ambacho labda wao hawana.
Hamas wa Buza watabisha.
 
shehe ubwabwa vita ya israel na arabs haijaanza leo wala jana inawezekana ulikua hata hujazaliwa hiki unachokiona hapa ni muendelezo tuu wa vita..israel hapigani na hamas bali anapigana na arabs..hao hamas ni kama ground tu ya kupigania
Nimelenga kipengele cha Hamas naona unahamisha mada.
 
Huko Tehran wasiwasi umetanda sanaaa kama Lebanon na Yemen, hakukaliki kwa viongozi..!!
 
Wapi imeandika wakati utabiri wa pale mpaka ule msikiti umeshatajwa itakavyokuwa , usilee ufunuo hapa 😀 😀 Wewe israel sio nduguyako acha shobo wanawatemea mate kama wanyama .

Usiongee hakuna vita waislamu na dini nyingine , zaidi ni chuki baina ya watu ila hakuna vita ..
Waislamu wanavita na wakristo
 
Yes, tunaassume hivyo maana hata Iran mwenyewe hajui zaidi yakusisitiza shida ni Ukungu ilihali ilikuwa convoy ya 3x Helicopter na iliyombeba Rais ilikuwa katikati lakini ikavanish kwenye radar ilihali hizi mbili ziko operational.

Gaps ndio zinatutia shaka kwa Taifa kubwa kama Iran yenye uadui na super powers, kwanza unatumiaje Helicopter iliyotengenezwa na adui, tena kubeba high profile leader ambaye anawindwa usiku mchana, hii ilionyesha udhaifu wa Hali ya juu maana kwenye Helicopter Kuna electronics chips hasa control box ambazo unaweza kuwasiliana nazo remotely na hata kushutdown engine au device nyingine muhimu zakuiweka angani Helicopter.
Iran ni overrated tena sana tu, na infact bila msaada wa russia, china wangekuwa hoi sana hao
 
Mungu wa biblia anaweza hata kukamatwa akiwa na kijana aliyeweka chupi begani pia anaweza hata akipata kibano kumlilia Mungu wake wa kweli Na machozi ya damu kumtoka au vipi?
Iwapo unaamini katika uweza wa Mungu, hilo lisikupe tabu, maana Mungu aweza kujigeuza kuwa binadamu na wakati huohuo ni mungu

Katika hali hiyo ya kujigeuza katika uweza wake usio na mipaka, aweza kuishi maisha ya kibinadamu kabisa ili hali pia ni Mungu Muumbaji

Lakini mungu wa Quran hana uwezo wa kuzaa bila mke kama Mungu wa Biblia, cha kushangaza Shetani wa Quran anauwezo wa kuzaa bila mke

mkuu, huoni kwamba mwenye kutiliwa mashaka juu ya uweza usio na mipaka ni huyo mungu wa Quran?
 
Back
Top Bottom