Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muhimu, Jiandikishe kwenye Orodha ya Mpiga kura wa Serikali za Mitaa Tarehe 11 - 20/10/2024 ili uweze kushiriki Uchaguzi.
 
Tuililie Tanzania yetu kwanza...hao nduguzo weusi wanaotekwa na kuuliwa je hawakuumi...hawakustahili kufanyiwa maandamano? Waafrika waafrikaa☹️
Huyo anafanya kejeli sio muislamu ndio tatizo lao kuna yule boss ya Dp world , uliona wapi watu wakaandaman kwa mambo ya nje ?

Mfano : congo hakuna hata uzi wakuelezea kinachoendelea ila homeless ni wengi sana , kule Ukraine ushabiki umepungua kwa vile wote ni dini moja , waliobaki wanahamishia hasira zao kwa waislamu ila watambue hata kule Ukraine wakristo wanakufa sana ila hawasemi pamoja na congo .
 
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muhimu, Jiandikishe kwenye Orodha ya Mpiga kura wa Serikali za Mitaa Tarehe 11 - 20/10/2024 ili uweze kushiriki Uchaguzi.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 1
Mossad sijui Israel sijui Mayahudi yaani wanaamua tu week hii nani tumweke kwenye target. Wanamla kichwa. Si sawa. Yahya Sinwar ni kiongozi mkubwa sana wa Hamas. Wamemuua

Serikali isinyamaze. Hili suala si dogo Israel wana tick tu kwenye kidaftari chao
✅ TAYARI

Si sawa hata kidogo. Wameonesha na video Sinwar amebaki na fimbo tu kafunikwa na mavumbi mpaka kwenye ulimi. Huu ni udhalilishaji. Si sawa. Tuandamaneni jamani.

Ritz Jagina Malaria 2 Adiosamigo tukitoka msikiliza Sheikh Kitinku leo tuandamaneni Serikali itoe tamko kuwakemea hawa Israel. Tena Ritz unakumbuka hawa Israel walihukumiwa kule South Africa? Unakumbuka zile threads ukionesha kuwa watafungwa muda si mrefu? Kumbushia wafungwe please. Wamezidi kwa kweli.
Ripoti zinasema wamekutana nae bila kutarajia
 
Naona makundi ya magaidi,Hamas na Hezbollah yanageuka kuwa gorillla kwa kukosa uongozi.Kila anayeteuliwa anapelekwa jongomeo!
 
Hakufia kwenye handaki,kafa anapigana,akipigania haki na uhuru wa watu wake,najua wanamuita jambazi,gaidi na kila jina baya.Hata Madiba makaburu walimuita gaidi,lakini alikuwa anapigania haki ya watu wake.Yahya Sinwar ni shujaa,kafaa kishujaa.
 
Back
Top Bottom