Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
We wacha story nyingi wao wenyewe Israel walikuwa hawakutegemea kama ni yeye walidhani ndugu yake. Walikuwa wanazua uwongo oh jamaa anajificha kumbe jamaa anapigana. Technology ya israel na US yote ni fake tu oh tunamuona Sinwar chini ya tunnels anakimbia kila kukicha 😄 Wamemkuta kwenye tunnels???,,,??,,?Wanajeshi wengi wanamjua kwa picha tu mostly of IDF ni makid tu age 20-26 Sinwar hadi anatoka jela 2010 sijui 2021 walikuwa shule za misingi... so kuona sura inafana na Sinwar imebidi wakampime for surely. nadhani mwezi mmoja uliopita kuna mwili pia waliubeba wakidhani ni Sinwar.
Ila niwapeni Pole Muslim world kwa kufiwa na kipenzi chenu Sinwar.. i hope mtaachia mateka ili muishi another exchange of your life.
Nasikia Arabs kule Gaza wameshangilia news ya kudedishwa Sinwar je ni Kweli?
Yahya Sinwar alikuwa akiomba kifo hicho cha ushujaa kuna video nyingi alikuwa anasema anaomba Mungu akifa awe sio kalala kitandani awe kafaa kishujaa ambao ni Mashahiidi