let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Viongozi wengi wa Hamas kabla ya Sinwar wameuawa na Israel ila bado Hamas haikufutika wala mzozo haukumalizika.
Kuwaua viongozi wa Hamas sio suluhisho la kudumu la mgogoro huu wa miaka 75, suluhu ya kudumu ni Palestine ipate nchi yao na ukaliaji kimabavu (occupation) ufike mwisho.
FRANC THE GREAT zitto junior
Hakuna cha Occupation, Kuna sababu kubwa nyingine ambayo watu wanaihepa kuizungumzia kwasababu wanazozijua wao.
Kama issue ingelikuwa ni Occupation,basi leo Hamas na Hezbollah zingelikuwa zinaishambulia Jordan pia.
maana, 77 % ya Eneo la Palestine , Jordan ilijemega na kujitangazia Uhuru wake.
Jordan ilikuwa ni Palestina pia kwenye[BRITISH MANDATE OF PALESTINE],lakini hawa wapiganie uhuru wa Palestine( kama mnavyowaita) hawana shida na Jordan iliyochukua 77 %ya eneo la Palestine. ila wanashida na Israel tu, iliyochukua kaeneo kadogo kabisa.
Ukitembea karibu na misikiti na kusikiliza mawaidha yanayohusu huu mzozo utajua why Jordan haishambuliwi na Hamas.na uko ndiyo utajua sababu HALISI,na sio hii ya OCCUPATION.