Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muhimu, Jiandikishe kwenye Orodha ya Mpiga kura wa Serikali za Mitaa Tarehe 11 - 20/10/2024 ili uweze kushiriki Uchaguzi.
 
Tuililie Tanzania yetu kwanza...hao nduguzo weusi wanaotekwa na kuuliwa je hawakuumi...hawakustahili kufanyiwa maandamano? Waafrika waafrikaa☹️
Huyo anafanya kejeli sio muislamu ndio tatizo lao kuna yule boss ya Dp world , uliona wapi watu wakaandaman kwa mambo ya nje ?

Mfano : congo hakuna hata uzi wakuelezea kinachoendelea ila homeless ni wengi sana , kule Ukraine ushabiki umepungua kwa vile wote ni dini moja , waliobaki wanahamishia hasira zao kwa waislamu ila watambue hata kule Ukraine wakristo wanakufa sana ila hawasemi pamoja na congo .
 
Ripoti zinasema wamekutana nae bila kutarajia
 
Naona makundi ya magaidi,Hamas na Hezbollah yanageuka kuwa gorillla kwa kukosa uongozi.Kila anayeteuliwa anapelekwa jongomeo!
 
Hakufia kwenye handaki,kafa anapigana,akipigania haki na uhuru wa watu wake,najua wanamuita jambazi,gaidi na kila jina baya.Hata Madiba makaburu walimuita gaidi,lakini alikuwa anapigania haki ya watu wake.Yahya Sinwar ni shujaa,kafaa kishujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…