Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Amekuolea shangazi yako ama wewe ni wifi yake?
 
Acha kelele wewe hamas wa chanika

Kwenda vitani haimaniishi eti ndio shupavu

Vita ni akili

Vita sio uswahili wenu
Kwahiyo unataka ujifungie chumbani halafu uitwe shujaa?

Ushujaa hauji kwa kujifichaficha bali kuwa mstari wa mbele kwenye mapambano halisi.

Sinwar ni shujaa aliyeamua kupigania maslahi ya nchi yake dhidi ya wavamizi na utawala haramu wa Mazayuni.

Israel ni nchi uchwara iliyoundwa na UN mwaka 1948 kutumikia maslahi ya wazungu hapo mashariki ya kati.

Kwanini haushangai silaha na fedha zinapelekwa kuisaidia Israel kutoka mataifa ya ulaya na Marekani?

Jibu ni nchi feki iliyoundwa ili kuhakikisha maslahi ya ulaya na Marekani yanalindwa.
 
Hivi unadhani ukimuua Sinwar ndiyo hiyo nchi feki itakuwa na utulivu?

Hamas sio mtu bali Ideology iliyojengwa kizazi hadi kizazi na hapo atateuliwa kiongozi mwingine haraka kuliongoza kundi ndio ujue Netanyahu anachanganyikiwa akijua kumuua mtu mmoja ama 10 ndio amemaliza kazi.

Jiulize aliuliwa Haniyeh lakini Hamas haikutetereka hata kidogo na huyu amekufa ila bado vijana shababi wapo imara kabisa kuendeleza mapambano.
 
Msemaji wao kasema mateka hawatoi mpaka wapalestina walioshikwa waachiliwe.
 
akiteliwa mwingine nae ataliwa kichwa tuu unachotakiwa ujue ni kwamba wayahudi nao wanapenda vita kuliko kuishi yani wale nao vita ndo maisha yao ya kila siku
 
na kwa nini wewe haushangai silaha na fedha zinapelekwa kuisaidia hamas zinatoka iran na mataifa ya kiarabu?

jibu ni kwamba waarabu hawamtaki myahudi akae hapo mashariki ya kati.. sababu ya maslahi yao ya kidini
 
raia wangapi wa iran wameuliwa na israel? nasralah ameuliwa na general wa iran au huyo sio raia wa iran? kiongozinwa hamas ameuliwa ndani ya iran na hakuuliwa peke yake walifuka na wasaidizi wa haniya, israel imeua mageneral wa iran kwenye ubalozi wao wa syria..alaf eti iran inalipiza kwa kurusha vijikombora uchwara.. makombora yote ya iran hakuna yaliyofanya mashambulizi ya maana nchini israel..pia ujue kwamba israel ilifanya shambulizi nchini iran kule isfahan..

wewe unauliwa mageneral wako eti wewe unalipiza kwa kurusha vikombora uchwara.. ulitakiwa na wewe ukaue mageneral wa israel ndo tutajua kwamba wewe ni kidume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…