Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

"Sisi kama kawaida yetu tulikuwa kitaa tunawatafuta magaidi na kuwadondosha mmoja mmoja, tukawa tumefika hii sehemu tukala vichwa kadhaa. Kisha tukatuma Drone kule ndani kucheck mazingira. Ndo tukamwona fala/bwege mmoja anairushia drone fimbo. Yule mdunguwaji wetu akaona huyu fala hana akili ngoja tu ampumzishe. Kesho yake ndo tunasikia yule jamaa ni Yahya Sinwar"


Ritz Sir John Roberts Adiosamigo

Hili jambo limenisikitisha sana. . Angalau angekufa anapambana. Kafa akirushia drone fimbo? KAFA KIFALA SANA. HAKURUSHA HATA TEKE.
 
 
Hivi umesoma ulichoandika?sidhani hata kama umekielewa. Israel inapambana na watu ambao waliwachokoza kuteka na kuua watu wao. So wana haki kuwaua na wao. Wawe watoto au wazee. Wameshakufa zaidi ya wapalestine 40,000 kwa mujibu wa Al Jazeera.
 
"Ni nani anayeweza kutumaini kuwa salama? ni nani aliye na tahadhari ya kutosha?
Jilinde awezavyo, kila wakati ni shambulio." ~ Horace
 
Kama upo kiushabiki kwangu siko hivyo. siwezi shabikia watu kuuana eti tu kisa mimi ni mkristo na yule
ni mwislamu hayo ni yenu mapunguani wenye ubongo wa mavi ya nyoka. sipati faida wala hasara.
 
Kama upo kiushabiki kwangu siko hivyo. siwezi shabikia watu kuuana eti tu kisa mimi ni mkristo na yule
ni mwislamu hayo ni yenu mapunguani wenye ubongo wa mavi ya nyoka. sipati faida wala hasara.
Dini yako siiijui and i dont care. Anayeishi kwa upanga atakufa kwa upanga.period.
 
Adolf Hitler alikuwa sahihi kuwaangamiza hawa wa Israel Kwa sababu wanaua watu hovyo ambao waliwakuta kwenye ardhi yao1948
 
Hahaha wanasema wamenda pima DNA kama yeye sababu askari wa Israel wanamfananisha kama yeye.

Hawafahamiki hawa siwalisema wamemuwa Yahya Sinwar toka July au April
Kidole kimekatwa kikapelekwa kwenda kucheki Finger prints na DNA na kujulikana kuwa ni Gaidi la Ayatolah Yahaya Sinwar.

Unataka kubisha nini?!
 
Unaona ulivyo hutumii akili sasa!?
Kiongozi ni raia wa kawaida!?
Viongozi sio sawa na raia wa kawaida.
Tunazungumzia kumuua raia kawaida kama Israel wanavyoua raia wa Gaza mahospitalini na nyumba za makazi.
Pia kuhusu Isfahan lile shambulio lilifeli na kila mtu anajua.
Kuuawa kwa majenerali kulishalipizwa kisasi.
Na nishakwambia huko Lebanon Hizbollah kuna wanajeshi wa IRGC ambao ndio wanaongoza operations.
Na hizo drone ambazo Hizbollah wanatumia ni Iranian made.
Ni yale yale tu askari wa Israel wanauliwa indirect na Iran kama Israel inavyoua viongozi kwa kuvizia.
Ngoma droo.
Tunataka tumuone Israel akirusha mabomu kwenye makazi ya raia kama anavyorusha Gaza
Nadhani hapo utakua umenielewa.

Hao askari wa Israel wanaokufa huko kusini mwa Lebanon ni usaidizi wa Iran.
 
Jordan kwa miaka mingi imepokea na kuhifadhi malaki ya wakimbizi wa kipalestina waliofukuzwa kwenye ardhi zao baada ya taifa la kiyahudi kuanzishwa mwaka 1948.

Jordan imesimama bega kwa bega na Wapalestina kwa miongo kadhaa, hivyo haiwezi kushambuliwa na Hamas.
 
Unajipa moyo
 

Your browser is not able to display this video.
 
kama sio wazo la kijinga na october 7, 2023, huyu mzee angeendelea kula zake bata pale gaza, huku akienjoy upepo wa bahari, leo kala chuma, wakubwa wenzake wote wamekufa, gaza yote imegeuzwa mgodi, mateso ya kujitakia kabisa.
nina hakika iran ndio iliyowaingiza mkenge, pole yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…