let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Jordan kwa miaka mingi imepokea na kuhifadhi malaki ya wakimbizi wa kipalestina waliofukuzwa kwenye ardhi zao baada ya taifa la kiyahudi kuanzishwa mwaka 1948.
Jordan imesimama bega kwa bega na Wapalestina kwa miongo kadhaa, hivyo haiwezi kushambuliwa na Hamas.
Jordan haikuwafukuza Wapalestina kwa kuwaua na kupora ardhi zao kama magaidi wa kizayuni walivyofanya mwaka 1948.SWALI LANGU NI KWAMBA:, KWANINI WAPIGANIA UHURU WA PALESTINE HAWAISHAMBULII JORDAN ILHALI JORDAN NI SEHEMU YA PALESTINE?.
Unashangaza sana kwa Ubishi wa kijinga, mpaka Aljazeera, vyombo vya Egypt na Palestina nao ni Waongo?Hahaha wanasema wamenda pima DNA kama yeye sababu askari wa Israel wanamfananisha kama yeye.
Hawafahamiki hawa siwalisema wamemuwa Yahya Sinwar toka July au April
Yahya al-Sinwar continued to fight until the last drop of blood
😁😁!
cha kwanza israel harushi mabomu kwenye makazi ya raia, bali magaidi ndo wanawatumia raia kama ngao uliwata wawaache?Unaona ulivyo hutumii akili sasa!?
Kiongozi ni raia wa kawaida!?
Viongozi sio sawa na raia wa kawaida.
Tunazungumzia kumuua raia kawaida kama Israel wanavyoua raia wa Gaza mahospitalini na nyumba za makazi.
Pia kuhusu Isfahan lile shambulio lilifeli na kila mtu anajua.
Kuuawa kwa majenerali kulishalipizwa kisasi.
Na nishakwambia huko Lebanon Hizbollah kuna wanajeshi wa IRGC ambao ndio wanaongoza operations.
Na hizo drone ambazo Hizbollah wanatumia ni Iranian made.
Ni yale yale tu askari wa Israel wanauliwa indirect na Iran kama Israel inavyoua viongozi kwa kuvizia.
Ngoma droo.
Tunataka tumuone Israel akirusha mabomu kwenye makazi ya raia kama anavyorusha Gaza
Nadhani hapo utakua umenielewa.
Hao askari wa Israel wanaokufa huko kusini mwa Lebanon ni usaidizi wa Iran.
Amecontinue wapi fighr wakati alikuwa anawakimbia Vitoto vya IDF 21 Age akazame handaki lingine.. amefight wapi au ile fimbo na mashoto kama demu hahahaha.. yaani hadi drone iligeuka kutizama karusha nini huyu? kucheki fimbo drone nadhani ilicheka, mwenzio anawish angekubali makubaliano.. aliambiwa awekewe njia ahame nchi ya wayahudi akambwera akijua vita ya Hezbollah na Iran zitaidhoofisha Israel kumbe Allah yupo upande wa Israel hahahaha Allah hadeal na Magaidi wala mashabiki wakeYahya al-Sinwar continued to fight until the last drop of blood
no wanapigana na vikundi dhaifu vya wahuni wavuta bangi tu just imagine hao magaidi hawana vifaru,icbm,iron dome au david sling unashindwaje kuwaua kama kuku.Israel Akili mingi ila Kuna watu watatu humu jf hawawezi kukubali. Nitamshauri Benjamin awalipue wenyewe ili waamini
Wewe ni nani kwa israel kupanga idf ifanye vile wewe unataka? Eti unataka kuona wafanye hivi ama vile. Direction ya vita iko chini ya makamanda wa idf, Wewe utabaki hapahapa jf utapata taarifa za furaha na huzuni ya kinachoendelea kupitia Al-Jazeera na mitandaoni kisha kujadili na wana jf hapahapa.o
Tunataka tumuone Israel akirusha mabomu kwenye makazi ya raia kama anavyorusha Gaza
Nadhani hapo utakua umenielewa.
iran ni wavuta bangi sio? hakuna muarabu anayeweza kupigana na israel face to face mana mziki wake wanaujua na walishajaribu walichokipata wanakijua waono wanapigana na vikundi dhaifu vya wahuni wavuta bangi tu just imagine hao magaidi hawana vifaru,icbm,iron dome au david sling unashindwaje kuwaua kama kuku.
Dah!! Ila hawa jamaa washenzi kweli...
Ndio vita, nahisi hata yeye alijua mwisho wake haupo mbali, ndio maana alipigana bega kwa bega na askari wake.Endellea kulamba vumbi kumnnnnnina zako
Hizi picha ni murua kabisaaa
Wazee wa gahaawa wanaumia roho😂
View attachment 3128986
mbona unakurupuka kama mtu asiejitambua? Israel hapigani na iran na hajawahi kupigana na iran hata siku moja na mimi siizungumzii iran navizungumzia vikundi vya wanamgambo kama hamas,hizbullah ambavyo vinafadhiliwa na iran. Si ni juzi tu hapa iran karusha makombora 180 israel na hadi sasa hivi israel hajajibu yupo kimya unasemaje iran hawezi kupigana na israel? Iran sio waarabu na hawajawahi kuwa waarabu.iran ni wavuta bangi sio? hakuna muarabu anayeweza kupigana na israel face to face mana mziki wake wanaujua na walishajaribu walichokipata wanakijua wao
anwar sadat rais wa misri alisema ukipigana na israel unapigana na ulaya nzima na hicho ndicho alichokipata kwenye six days war
..walichobaki ni kupigana nae via proxy war.. ndo mana iran anatengeneza vikundi kama hezbola na kufadhili makundi mengine ili kupambana nae indirect
kabla ya kusema nakurupuka ulitakiwa ujiulize kamanda wa Iran aliyeuliwa wakiwa pamoja naslarah alikua anafanya nini lebanon? tumia akili za kichwani sio za matakoni, israel hajajibu we ulitaka ajibu vipi? ulitaka na yeye arushe makombora sio? acha ukichaa wewembona unakurupuka kama mtu asiejitambua? Israel hapigani na iran na hajawahi kupigana na iran hata siku moja na mimi siizungumzii iran navizungumzia vikundi vya wanamgambo kama hamas,hizbullah ambavyo vinafadhiliwa na iran. Si ni juzi tu hapa iran karusha makombora 180 israel na hadi sasa hivi israel hajajibu yupo kimya unasemaje iran hawezi kupigana na israel? Iran sio waarabu na hawajawahi kuwa waarabu.
sasa unarusha makombora 180 alafu yote yanatunguliwa angani moja linadondokea milimani na wewe unajiita kidume?mbona unakurupuka kama mtu asiejitambua? Israel hapigani na iran na hajawahi kupigana na iran hata siku moja na mimi siizungumzii iran navizungumzia vikundi vya wanamgambo kama hamas,hizbullah ambavyo vinafadhiliwa na iran. Si ni juzi tu hapa iran karusha makombora 180 israel na hadi sasa hivi israel hajajibu yupo kimya unasemaje iran hawezi kupigana na israel? Iran sio waarabu na hawajawahi kuwa waarabu.