let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Jordan kwa miaka mingi imepokea na kuhifadhi malaki ya wakimbizi wa kipalestina waliofukuzwa kwenye ardhi zao baada ya taifa la kiyahudi kuanzishwa mwaka 1948.
Jordan imesimama bega kwa bega na Wapalestina kwa miongo kadhaa, hivyo haiwezi kushambuliwa na Hamas.
SWALI LANGU NI KWAMBA:, KWANINI WAPIGANIA UHURU WA PALESTINE HAWAISHAMBULII JORDAN ILHALI JORDAN NI SEHEMU YA PALESTINE?.