Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

kwakuwa hizbullah inafadhiliwa na iran ni jambo la kawaida tu iran kumtoa kamanda wake akawape mafunzo hizbullah na hiyo haiifanyi hizbullah isiwe kikundi cha wahuni na wavuta bangi. Kama iran karusha makombora tel aviv nao warushe tehran kulipiza kisasi halafu tumjue mbabe wa middle east ni nani? Kuliko kuendelea kuogopana kama majogoo.
 
sasa aliyekuambia ukirusha kombora na mimi natakiwa nirushe kombora ni nani? we usinipangie mimi cha kufanya, mimi kama nina uwezo wa kukupiga bila kurusha kombora je?
 
mbabe wa middle east si anajulikana tu?
 
unasema israel hapigani na iran ila kauliwa naslara na haniya iran ndo imerusha makombora sasa jiulize hapo ndo utapata jibu
 
sasa unarusha makombora 180 alafu yote yanatunguliwa angani moja linadondokea milimani na wewe unajiita kidume?
hata israel na yeye alirusha makombora zaidi ya 100 iran yakadunguliwa yote na hayakuleta madhara au ulikuwa umekufa wakati yanarushwa ndio umefufuka leo? Au ulikuwa haujazaliwa ndio umezaliwa leo?
 
unasema israel hapigani na iran ila kauliwa naslara na haniya iran ndo imerusha makombora sasa jiulize hapo ndo utapata jibu
achana na habari za kuuwawa kwa hao wanywa gongo na vizee vilivyojichokea mimi ninazungumzia vita kamili(an all out war)kati ya waajemi na wajukuu wa musa. Israel anangoja nini kumpiga iran mbona lebanon anaingia tu kila siku?
 
unasema israel hapigani na iran ila kauliwa naslara na haniya iran ndo imerusha makombora sasa jiulize hapo ndo utapata jibu
achana na habari za kuuwawa kwa hao wanywa gongo na vizee vilivyojichokea mimi ninazungumzia vita kamili(an all out war)kati ya waajemi na wajukuu wa musa. Israel anangoja nini kumpiga iran mbona lebanon anaingia tu kila siku?
 
unasema israel hapigani na iran ila kauliwa naslara na haniya iran ndo imerusha makombora sasa jiulize hapo ndo utapata jibu
achana na habari za kuuwawa kwa hao wanywa gongo na vizee vilivyojichokea mimi ninazungumzia vita kamili(an all out war)kati ya waajemi na wajukuu wa musa. Israel anangoja nini kumpiga iran mbona lebanon anaingia tu kila siku?
 
sasa unarusha makombora 180 alafu yote yanatunguliwa angani moja linadondokea milimani na wewe unajiita kidume?
Na hizo manati (makombora) za msaada za iran zikaua mpalestina mmoja hiki zikushindwa kuu hata sisimizi wa kiyahudi
 
unasema israel hapigani na iran ila kauliwa naslara na haniya iran ndo imerusha makombora sasa jiulize hapo ndo utapata jibu
shida iko wapi na wao israel si warushe tu makombora?
 
Umewaza mbali sana
Ila inatakiwa iwe hivyo tuachane na hawa wanasiasa wa majukwaani wanatuangusha sana
 
achana na habari za kuuwawa kwa hao wanywa gongo na vizee vilivyojichokea mimi ninazungumzia vita kamili(an all out war)kati ya waajemi na wajukuu wa musa. Israel anangoja nini kumpiga iran mbona lebanon anaingia tu kila siku?
Ukikata mti unaaanza na matawi kwanza mpaka yaishe then unagusha mti wote
Ila kwenye vita huwezi pigana bila hesabu
Iran ni kichaa anajitupia kila kitu baada ya proxy wake kufinywa kila kona ila usione kobe amekaa kimya
 
Kajiunge huko, Yesu kafungua night club LA

View: https://youtu.be/Hu5_bmDA-Gk?si=CzmQgra6w3Mbijit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…