gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
kwakuwa hizbullah inafadhiliwa na iran ni jambo la kawaida tu iran kumtoa kamanda wake akawape mafunzo hizbullah na hiyo haiifanyi hizbullah isiwe kikundi cha wahuni na wavuta bangi. Kama iran karusha makombora tel aviv nao warushe tehran kulipiza kisasi halafu tumjue mbabe wa middle east ni nani? Kuliko kuendelea kuogopana kama majogoo.kabla ya kusema nakurupuka ulitakiwa ujiulize kamanda wa Iran aliyeuliwa wakiwa pamoja naslarah alikua anafanya nini lebanon? tumia akili za kichwani sio za matakoni, israel hajajibu we ulitaka ajibu vipi? ulitaka na yeye arushe makombora sio? acha ukichaa wewe