Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

kabla ya kusema nakurupuka ulitakiwa ujiulize kamanda wa Iran aliyeuliwa wakiwa pamoja naslarah alikua anafanya nini lebanon? tumia akili za kichwani sio za matakoni, israel hajajibu we ulitaka ajibu vipi? ulitaka na yeye arushe makombora sio? acha ukichaa wewe
kwakuwa hizbullah inafadhiliwa na iran ni jambo la kawaida tu iran kumtoa kamanda wake akawape mafunzo hizbullah na hiyo haiifanyi hizbullah isiwe kikundi cha wahuni na wavuta bangi. Kama iran karusha makombora tel aviv nao warushe tehran kulipiza kisasi halafu tumjue mbabe wa middle east ni nani? Kuliko kuendelea kuogopana kama majogoo.
 
sasa aliyekuambia ukirusha kombora na mimi natakiwa nirushe kombora ni nani? we usinipangie mimi cha kufanya, mimi kama nina uwezo wa kukupiga bila kurusha kombora je?
 
kwakuwa hizbullah inafadhiliwa na iran ni jambo la kawaida tu iran kumtoa kamanda wake akawape mafunzo hizbullah na hiyo haiifanyi hizbullah isiwe kikundi cha wahuni na wavuta bangi. Kama iran karusha makombora tel aviv nao warushe tehran kulipiza kisasi halafu tumjue mbabe wa middle east ni nani? Kuliko kuendelea kuogopana kama majogoo.
mbabe wa middle east si anajulikana tu?
 
mbona unakurupuka kama mtu asiejitambua? Israel hapigani na iran na hajawahi kupigana na iran hata siku moja na mimi siizungumzii iran navizungumzia vikundi vya wanamgambo kama hamas,hizbullah ambavyo vinafadhiliwa na iran. Si ni juzi tu hapa iran karusha makombora 180 israel na hadi sasa hivi israel hajajibu yupo kimya unasemaje iran hawezi kupigana na israel? Iran sio waarabu na hawajawahi kuwa waarabu.
unasema israel hapigani na iran ila kauliwa naslara na haniya iran ndo imerusha makombora sasa jiulize hapo ndo utapata jibu
 
sasa unarusha makombora 180 alafu yote yanatunguliwa angani moja linadondokea milimani na wewe unajiita kidume?
hata israel na yeye alirusha makombora zaidi ya 100 iran yakadunguliwa yote na hayakuleta madhara au ulikuwa umekufa wakati yanarushwa ndio umefufuka leo? Au ulikuwa haujazaliwa ndio umezaliwa leo?
 
unasema israel hapigani na iran ila kauliwa naslara na haniya iran ndo imerusha makombora sasa jiulize hapo ndo utapata jibu
achana na habari za kuuwawa kwa hao wanywa gongo na vizee vilivyojichokea mimi ninazungumzia vita kamili(an all out war)kati ya waajemi na wajukuu wa musa. Israel anangoja nini kumpiga iran mbona lebanon anaingia tu kila siku?
 
unasema israel hapigani na iran ila kauliwa naslara na haniya iran ndo imerusha makombora sasa jiulize hapo ndo utapata jibu
achana na habari za kuuwawa kwa hao wanywa gongo na vizee vilivyojichokea mimi ninazungumzia vita kamili(an all out war)kati ya waajemi na wajukuu wa musa. Israel anangoja nini kumpiga iran mbona lebanon anaingia tu kila siku?
 
unasema israel hapigani na iran ila kauliwa naslara na haniya iran ndo imerusha makombora sasa jiulize hapo ndo utapata jibu
achana na habari za kuuwawa kwa hao wanywa gongo na vizee vilivyojichokea mimi ninazungumzia vita kamili(an all out war)kati ya waajemi na wajukuu wa musa. Israel anangoja nini kumpiga iran mbona lebanon anaingia tu kila siku?
 
sasa unarusha makombora 180 alafu yote yanatunguliwa angani moja linadondokea milimani na wewe unajiita kidume?
Na hizo manati (makombora) za msaada za iran zikaua mpalestina mmoja hiki zikushindwa kuu hata sisimizi wa kiyahudi
 
View attachment 3129191

Kama nchi Tanzania haitakuja kuendelea kamwe kama Wanajeshi/Wapiganaji wakuu wa TISS hawatakuwa wanakuwa nafasi kubwa kubwa Serikalini.

Ukiangalia Israel cabinet yote ni Watu waliowahi kumwaga damu kuilinda nchi yao... That is special
Umewaza mbali sana
Ila inatakiwa iwe hivyo tuachane na hawa wanasiasa wa majukwaani wanatuangusha sana
 
achana na habari za kuuwawa kwa hao wanywa gongo na vizee vilivyojichokea mimi ninazungumzia vita kamili(an all out war)kati ya waajemi na wajukuu wa musa. Israel anangoja nini kumpiga iran mbona lebanon anaingia tu kila siku?
Ukikata mti unaaanza na matawi kwanza mpaka yaishe then unagusha mti wote
Ila kwenye vita huwezi pigana bila hesabu
Iran ni kichaa anajitupia kila kitu baada ya proxy wake kufinywa kila kona ila usione kobe amekaa kimya
 
Amecontinue wapi fighr wakati alikuwa anawakimbia Vitoto vya IDF 21 Age akazame handaki lingine.. amefight wapi au ile fimbo na mashoto kama demu hahahaha.. yaani hadi drone iligeuka kutizama karusha nini huyu? kucheki fimbo drone nadhani ilicheka, mwenzio anawish angekubali makubaliano.. aliambiwa awekewe njia ahame nchi ya wayahudi akambwera akijua vita ya Hezbollah na Iran zitaidhoofisha Israel kumbe Allah yupo upande wa Israel hahahaha Allah hadeal na Magaidi wala mashabiki wake

Kajiunge huko, Yesu kafungua night club LA

View: https://youtu.be/Hu5_bmDA-Gk?si=CzmQgra6w3Mbijit
 
Hahaha wanasema wamenda pima DNA kama yeye sababu askari wa Israel wanamfananisha kama yeye.

Hawafahamiki hawa siwalisema wamemuwa Yahya Sinwar toka July au April

1729352264765.png
 
Back
Top Bottom