Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Huyo ni mwanaume sio nyie mafala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mwanaume sio nyie mafala.
Yupo kuzim akiendelea kumbong'olea allah huku akfanyiwa upididy mtungo
nchi ya watu ipi? kama hujui historia nyamaza,huu ni ujuha wa hali ya juu,lakini ipo siku wapalestina watapata haki yaoUhuru wakiwa wapi ? Kwenye nchi ya watu?
nchi ya watu ipi? kama hujui historia nyamaza,huu ni ujuha wa hali ya juu,lakini ipo siku wapalestina watapata haki yao
Huyo ni mwanaume sio nyie mafala.
Lini mkuu....mwisho wa dunia....!
Kuna kitu unachanganyaHahaha wanasema wamenda pima DNA kama yeye sababu askari wa Israel wanamfananisha kama yeye.
Hawafahamiki hawa siwalisema wamemuwa Yahya Sinwar toka July au April
Huyo ni mwanaume sio nyie mafala.
Ukikata mti unaaanza na matawi kwanza mpaka yaishe then unagusha mti wote
Ila kwenye vita huwezi pigana bila hesabu
Iran ni kichaa anajitupia kila kitu baada ya proxy wake kufinywa kila kona ila usione kobe amekaa kimya
acha kukariri sio kila vita ni kuingia vitani vita ulimwengu huu wa kisasa zinapiganwa kwa style nyingi usifikiri hizi zama ni za zile vita za mapangaachana na habari za kuuwawa kwa hao wanywa gongo na vizee vilivyojichokea mimi ninazungumzia vita kamili(an all out war)kati ya waajemi na wajukuu wa musa. Israel anangoja nini kumpiga iran mbona lebanon anaingia tu kila siku?
wewe una mawazo ya kizamani sana asee. inaonesha wewe ulizaliwa kabla ya uhurushida iko wapi na wao israel si warushe tu makombora?
acha kukariri sio kila vita ni kuingia vitani vita ulimwengu huu wa kisasa zinapiganwa kwa style nyingi usifikiri hizi zama ni za zile vita za mapanga
we subiri tu siku ambayo hata wewe hutaaminiLini mkuu....mwisho wa dunia....!
subiri tu upo siku na hata hikinulichoandika utalia kwa aibuAnasahau Pagers na Walkie Talkies...
kama hujui historia funga hilo bakuli lako hizbollah na hamas hazikuanzishwa na irani,mavi weMbona una frame swali lako kinyume....Iran ndi miaka yote inataka Israel isiwepo chini ya Jua......ndio Maana kuna Hmasa na Hezbollah.....
Poleni Mkuu.....Hii ndio destruction Gaza....Mlitaka wenyewe...
View attachment 3130132
Iko siku utajuta ulichoandika fisi we
unajua msumbiji ilitawaliwa na wareno miaka 400,lakini ilifika siku ikawa huru,basi na wewe tuliza makalio ipo sikuPole Mkuu....naona akili zako zime
Ndio maana nimekuuliza......Kuipata nchi hiyo ni kufikirika.....Kila vita mnaanza moja......Mwisho ni kama kama uliowafikia hawa....
View attachment 3130092
kama staili ipi ya kitofauti na huko lebanon na gaza,khan yunus mbona hawapigani kwa staili nyingine?acha kukariri sio kila vita ni kuingia vitani vita ulimwengu huu wa kisasa zinapiganwa kwa style nyingi usifikiri hizi zama ni za zile vita za mapanga
ndio ukome kuparamia vitu usivyovijua.wewe una mawazo ya kizamani sana asee. inaonesha wewe ulizaliwa kabla ya uhuru
unakumbuka makaburu walivyokuwa wanapigana na wananchi wa afrika ya kusini chini ya umkontho we sizwe ya nelson mandela?kama staili ipi ya kitofauti na huko lebanon na gaza,khan yunus mbona hawapigani kwa staili nyingine?