Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Huyo ni mwanaume sio nyie mafala.

Pole Mkuu....naona akili zako zime
Lini mkuu....mwisho wa dunia....!

Ndio maana nimekuuliza......Kuipata nchi hiyo ni kufikirika.....Kila vita mnaanza moja......Mwisho ni kama kama uliowafikia hawa....

1729365053258.png
 
Ukikata mti unaaanza na matawi kwanza mpaka yaishe then unagusha mti wote
Ila kwenye vita huwezi pigana bila hesabu
Iran ni kichaa anajitupia kila kitu baada ya proxy wake kufinywa kila kona ila usione kobe amekaa kimya

Mbona una frame swali lako kinyume....Iran ndi miaka yote inataka Israel isiwepo chini ya Jua......ndio Maana kuna Hmasa na Hezbollah.....

Poleni Mkuu.....Hii ndio destruction Gaza....Mlitaka wenyewe...

1729367265749.png
 
achana na habari za kuuwawa kwa hao wanywa gongo na vizee vilivyojichokea mimi ninazungumzia vita kamili(an all out war)kati ya waajemi na wajukuu wa musa. Israel anangoja nini kumpiga iran mbona lebanon anaingia tu kila siku?
acha kukariri sio kila vita ni kuingia vitani vita ulimwengu huu wa kisasa zinapiganwa kwa style nyingi usifikiri hizi zama ni za zile vita za mapanga
 
acha kukariri sio kila vita ni kuingia vitani vita ulimwengu huu wa kisasa zinapiganwa kwa style nyingi usifikiri hizi zama ni za zile vita za mapanga
kama staili ipi ya kitofauti na huko lebanon na gaza,khan yunus mbona hawapigani kwa staili nyingine?
 
kama staili ipi ya kitofauti na huko lebanon na gaza,khan yunus mbona hawapigani kwa staili nyingine?
unakumbuka makaburu walivyokuwa wanapigana na wananchi wa afrika ya kusini chini ya umkontho we sizwe ya nelson mandela?
 
Back
Top Bottom