Mkuu embu ongea usiropoke.iran hana jeuri yeyote ya kulipiza kisasi wameuliwa watu kwenye ardhi yake, kauliwa haniya nchini kwake na hadi leo hawajui haniya alikufa kwa namna gani, na hajafanya chochote zaidi ya kurusha vikombora uchwara vyote vimeishiwa mafuta angani vikayeyuka juu huko, kapigwa ubalozini kwake syria na megeneral wake wote wakauliwa... kapigwa nasralah lebanon na general wa iran akauliwa..yeye kaishia kurusha vikombora uchwara havijaleta maafa yeyote israel, sasa hivi kinasubiriwa kibabu khamenei siku zake zinahesabiwa
-Tukio la May la Iran kulipuliwa balozi yake alilipiza kwa kulipua Israel kwa missiles and drones 300.
-Tukio la Ismail Haniyeh na viongozi wengine alilipiza Oktoba mosi kwa kurusha hypersonic missiles.
Na zile hypersonic missiles zimeleta madhara ikiwemo kuharibu Nevatim airbase.
Kila mtu aliona katika vyo vya habari namna makombora yalivyoshuka katika ardhi ya Israel.
Pia nakusisitiza usisahau kuwa operations za Hibzollah zinaongozwa kwa usaidizi wa makamanda wa Iran.
Ndio maana unaona askari wa Israel wanakufa huko mpakani mwa Israel na Lebanon.
Naona unazidi kuropoka unajiaibisha tu hapa.