Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

iran hana jeuri yeyote ya kulipiza kisasi wameuliwa watu kwenye ardhi yake, kauliwa haniya nchini kwake na hadi leo hawajui haniya alikufa kwa namna gani, na hajafanya chochote zaidi ya kurusha vikombora uchwara vyote vimeishiwa mafuta angani vikayeyuka juu huko, kapigwa ubalozini kwake syria na megeneral wake wote wakauliwa... kapigwa nasralah lebanon na general wa iran akauliwa..yeye kaishia kurusha vikombora uchwara havijaleta maafa yeyote israel, sasa hivi kinasubiriwa kibabu khamenei siku zake zinahesabiwa
Mkuu embu ongea usiropoke.
-Tukio la May la Iran kulipuliwa balozi yake alilipiza kwa kulipua Israel kwa missiles and drones 300.
-Tukio la Ismail Haniyeh na viongozi wengine alilipiza Oktoba mosi kwa kurusha hypersonic missiles.
Na zile hypersonic missiles zimeleta madhara ikiwemo kuharibu Nevatim airbase.
Kila mtu aliona katika vyo vya habari namna makombora yalivyoshuka katika ardhi ya Israel.
Pia nakusisitiza usisahau kuwa operations za Hibzollah zinaongozwa kwa usaidizi wa makamanda wa Iran.
Ndio maana unaona askari wa Israel wanakufa huko mpakani mwa Israel na Lebanon.
Naona unazidi kuropoka unajiaibisha tu hapa.
 
wanalipua hadi beirut sababu huko kuna mindombinu yao hujasikia wanalipua mabenk yao yanayotakatisha hela?
😂😂😂😂😂Aiseee kwahiyo kulipua benki zao zinazotoa huduma za kifedha kwa taasisi yao na wananchi ndio mbinu ya kuvita!?
Je utawaweza Hizbollah kwa kufanya hivyo!?
Aisee unajisikia hata unachoongea wewe!??
 
hahahaaaa....Hezbolah hajawahi kuua IDF 300 shehe hizo ni stori za wavaa vizibao kwenye mkeka. wangekua na jeuri hiyo wasingeuliwa kama kuku wangekua na ujanja huo uongozi wote wa kijeshi wasingeuliwa kama bata..hivo wewe unawezaje kufanya shambulizi kama hilo ilhali wewe mwenyewe kijilinda tuu ni changamoto? hezbola na iran ni wafamaji maneno mengi kama waswahili wa kipemba
Ushahidi uliletwa humu ndani ambao unaukataa ni wewe.
Kuuliwa kwa viongozi sio justification kuwa Hizbollah hajiwezi.
Anajiweza na ameshafanya shambulio sana tu.
Inaonekana wewe ni mweupe we taarifa.
Nenda katafute shambulio la wiki mbili zilizopita la Kiryat Shmona na shambulio la wiki moja iliyopita ya kambi ya Binyamina.
Katizame IDF wangapi waliuawa na walijeruhiwa.
Naona kama nabishana na mtu ambaye ni mchache wa taarifa.
Sasa hivi IDF ina mpango wa kuongeza kikosi mpakani jiulize kwanini wanaongeza kikosi mpakani.
 
mashambukizi ya iran kwa israeli yanatokana na nini? bro?
Basi bro uliingilia mjadala wa tofauti.
Mimi nilikua najadiliana na mkuu Vesuvius kuhusu shambulio la Iran la makombora lililotokea Oktoba mosi mwaka huu la kulipa kisasi cha Ismail Haniyeh na makamanda wa Iran waliouawa Beirut.
 
kama umekuwa si mkristo umekuwa myahudi mweusi ??

Tuondoleeni upumbavu....Hakula lolote la kupigania lands hapo......Ni kueneza dini tu...!Agenda nzima ni Uislamu....Soma Charter ya Hamas na Hezbollah....Mkuu Jagina.....Huu ni ukweli msioweza kuukimbia...! Chuki yenu Juu Mayahudi....Juu ya Makafiri iko wazi....That is your going lo loose thi battle! ....Allah is very weak.....Kauli mbiu yenu Ni Allah Akbar....Allah Akbar.....Tafadhali danganyeni wasio na akili......!
 
Hayo uliyoyaandika kwani hao waliovamia ajenda yao ni nini ??
 
Ukiishi maisha wanayoishi wapalestina ni heri pawe na vita kola siku,msiofuatilia habari za palestine mnadhani hali huwa shwari tu na palestine ndiyo walioanza
Eti heri pawe na vita Kila siku😏 yani wewe ambae upo Tanzania unakula na kujigaragaza ndie unae wasemea wenzio walioko vitani sio? Acheni tabia za ubinafsi
 
Eti heri pawe na vita Kila siku😏 yani wewe ambae upo Tanzania unakula na kujigaragaza ndie unae wasemea wenzio walioko vitani sio? Acheni tabia za ubinafsi

Watetea dini ya Allah.....!Pole na msiba na misiba tarajiwa......! Hiyo land mnayoipigiani mtaipata Kiama......! Yahya Sinawar kaondoka na vifo vya 40,000! Anayekuja naamini ata double hii idadi....Bila hata futi moja ya nchi....! Vita na vita matokeo yale yale...! Iko kazi...

Hamas: What has happened to its most prominent leaders?​

1729573328311.png
 
Hizbollah missile launch site zao zipo mpakani na Israel katika milima na pia wanatumia kambi za jeshi kuu la Lebanon.
Command Centre ipo Syria haipo Lebanon.
Umefeli bro.
Nasralah ameuliwa kwenye jengo wenye makazi ya kiraia akliwa kajificha chini huko.. we shehe ubwabwa umevimbiwa nini?
 
Ushahidi uliletwa humu ndani ambao unaukataa ni wewe.
Kuuliwa kwa viongozi sio justification kuwa Hizbollah hajiwezi.
Anajiweza na ameshafanya shambulio sana tu.
Inaonekana wewe ni mweupe we taarifa.
Nenda katafute shambulio la wiki mbili zilizopita la Kiryat Shmona na shambulio la wiki moja iliyopita ya kambi ya Binyamina.
Katizame IDF wangapi waliuawa na walijeruhiwa.
Naona kama nabishana na mtu ambaye ni mchache wa taarifa.
Sasa hivi IDF ina mpango wa kuongeza kikosi mpakani jiulize kwanini wanaongeza kikosi mpakani.
hivi viongozi wako wote wa juu wanauliwa alafu unasema unajiweza? kama kujilinda tu mwenyewe changamoto vita utaiwezea wapi? shambulio la kambi ya binyamina lilileta maafa ya wanajeshi wanne walikufa according to the media, drone ilifeli kua detected na radar, na hizo failures ni kawaida hakuna system iliyo 100% efficiency hata urusi pamoja na kua na radar kali lakini drone za ukraine hua zinapenya na kuhit target, hao wanajeshi 300 waliuliwa wapi shehe kipoozeo?
 
Mkuu embu ongea usiropoke.
-Tukio la May la Iran kulipuliwa balozi yake alilipiza kwa kulipua Israel kwa missiles and drones 300.
-Tukio la Ismail Haniyeh na viongozi wengine alilipiza Oktoba mosi kwa kurusha hypersonic missiles.
Na zile hypersonic missiles zimeleta madhara ikiwemo kuharibu Nevatim airbase.
Kila mtu aliona katika vyo vya habari namna makombora yalivyoshuka katika ardhi ya Israel.
Pia nakusisitiza usisahau kuwa operations za Hibzollah zinaongozwa kwa usaidizi wa makamanda wa Iran.
Ndio maana unaona askari wa Israel wanakufa huko mpakani mwa Israel na Lebanon.
Naona unazidi kuropoka unajiaibisha tu hapa.
cha kwanza iran hana hypersonic misiles, ambae hadi sasa ana hypesonic duniani ni mrusi peke yake, amerca yuko kwenye majaribio ya mwisho mwisho, hao wavaa kobasi tech ya hypersonic hawana na hawawezi kua nayo ..upoo hapo shehe ubwabwa?

kuhusu suala la kufa vitani ni kawaida hakuna vita ambayo askari hawafi, hezbolah wao wamesema wameshaua askari 50 wa israel, israel imesema imeshaua wapiganaji 1500 wa hezbolah, sasa hapo wewe angalia nani ndo anaepewa kichapo?

cha pili hayo makombora 300 ni kama alilipiza kisasi hewa hivi mfano mimi nakupiga wewe nakuvunja taya alafu wewe unanirushia ngumi zote nazizuia sasa hapo utasema umelipiza kisasi au nimekupiga? kisasi lazima kilete madhara kama ambayo wewe umeletewa madhara? makombora ambayo iran alirusha israel ilikua ni kujitutumua tuu ili kurudisha uaminifu kwa raia wake.. lakini hakuna madhara yoyote yaliyofika..hakuna mtu aliyekufa.. yalitunguliwa angani, mengine yalidondoka hewani yenyewe yaliishiwa nguvu..sasa hicho nacho utaita kulipiza kisasi?
 
😂😂😂😂😂Aiseee kwahiyo kulipua benki zao zinazotoa huduma za kifedha kwa taasisi yao na wananchi ndio mbinu ya kuvita!?
Je utawaweza Hizbollah kwa kufanya hivyo!?
Aisee unajisikia hata unachoongea wewe!??
wanalipua mabenk yao ili kuharibu mifumo yao ya fedha, ndio hiyo ni mbinu ya kivita kwani hujui,,,hivi mfano wewe unakuja kupoigana na mimi..mimi nikaharibu sehemu ambayo ndo unapata chakula ambacho ndo unakula ili ushibe upate nguvu ya kuja kupigana na mimi na ukakosa fedha ya kununua silaha..je jeuri ya kuja kunipiga utapatia wapi? adui yako mwombee njaa.. shehe ubwabwa mbona wewe mzito kufikiri?
 
Watetea dini ya Allah.....!Pole na msiba na misiba tarajiwa......! Hiyo land mnayoipigiani mtaipata Kiama......! Yahya Sinawar kaondoka na vifo vya 40,000! Anayekuja naamini ata double hii idadi....Bila hata futi moja ya nchi....! Vita na vita matokeo yale yale...! Iko kazi...

Hamas: What has happened to its most prominent leaders?​

View attachment 3132237
Yaani mumepata kiwewe kwa kupata kichapo cha watu wasio na serikali wala silaha wala jeshi wala nchi? Ukafiri ni msiba
 
Mbona una frame swali lako kinyume....Iran ndi miaka yote inataka Israel isiwepo chini ya Jua......ndio Maana kuna Hmasa na Hezbollah.....

Poleni Mkuu.....Hii ndio destruction Gaza....Mlitaka wenyewe...

View attachment 3130132
IDF walitegemea Gaza ikiwa hivyo hakuna mtu atarusha ata jiwe ila ndio kwanza anaona hajafanya kitu anapiga marudio akitoka wahuni wanatoka humo humo wanakula vichwa vifaru
 
wanalipua mabenk yao ili kuharibu mifumo yao ya fedha, ndio hiyo ni mbinu ya kivita kwani hujui,,,hivi mfano wewe unakuja kupoigana na mimi..mimi nikaharibu sehemu ambayo ndo unapata chakula ambacho ndo unakula ili ushibe upate nguvu ya kuja kupigana na mimi na ukakosa fedha ya kununua silaha..je jeuri ya kuja kunipiga utapatia wapi? adui yako mwombee njaa.. shehe ubwabwa mbona wewe mzito kufikiri?
Still you are an idiot jinga wewe.
Hizo benki zinatoa huduma za kifedha kwa raia wa Lebanon sio Hizbollah.
Hizbollah financial aid inatoka Iran mpuuzi wewe.
Silaha zinatoka Iran na kupitishwa Syria ambayo ndio command centre.
Lipua benki za biashara halafu uone nini utapata.
 
Back
Top Bottom